Uganda Yatangaza Nia Ya Kuchukua Jimbo la Ituri la DRC

Ukiachana na Rwanda nchi nyingine ukanda huu itayo kufa Kifo kibaya ni UG
 
Atafanya nini na analea Mali ya Baba yake.

WE jiulize, unadhani babab yako angekuwa na kampuni angejali unaakili au huna, au wewe ni mkakamavu au la? Ungekuwa unaele elea humo humo tu kama Kaneirugaba.

Tizama Azam, Angalia Zanzibar, Libya na kwingineko, Ndiyo binadamu tulivyo.

Tukiisha pata tuatafuta walinzi wa mali zetu na tunataka turithishane milele.
 

Kati nchi wanachama wa EAC unadhani nchi au Raisi gani ana uwezo wa kuwaongoza wenzake kutatua migogoro inayojitokeza?

..Tanzania

..Kenya.

..Uganda.

..Burundi.

..Rwanda.

..Somalia.

..South Sudan.

..DRC.
 
Kati nchi wanachama wa EAC unadhani nchi au Raisi gani ana uwezo wa kuwaongoza wenzake kutatua migogoro inayojitokeza?

..Tanzania

..Kenya.

..Uganda.

..Burundi.

..Rwanda.

..Somalia.

..South Sudan.

..DRC.
Hakuna. Tanzania ilikuwa awamu zilizopita kwa sasa nayo nadhani imepoteza ushawishi wa masuala ya diplomasia.
 
20 February 2025
Bunia, Ituri
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

UPDF YAJIZATITI JIMBO LA ITURI NCHINI DR CONGO
Baada ya kuongeza askari wa UDPF katika divisheni ya Mlimani (Mount Division) kufuatia agizo la mkuu wa majeshi ya Uganda

View: https://m.youtube.com/shorts/GZJLXegW8KU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…