Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Hahahahaaa..........Ila Kenya wamezidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa..........Ila Kenya wamezidi
Akiri ni nini
Waziri wa Afya alisema kulingana na takwimu zao, karibia 90% ya maambukizi mapya yalitokea usiku kulingana na wale waliohojiwa baada ya kupatikana na corona..... Alisema uchunguzi wao ulionyesha watu wengi walio agiziwa na serekali kufanya self-quarantine kwa siku 14 walikua mchana wanafywatilia maagizo ya serekali lakini ikifika usiku jamaa watatoka nje na kuingia mitaani, kwenda sokoni, kutembelea marafiki na hata kukutana na watu wengi nk....Corona kwenu inaambukizwa usiku ikifika saa 11 asubuhi mnajazana barabarani maana muda huo kunakuwa hakuna corona eti mpaka jioni nchi ya watu wanajipambanua kama wasomi mnaletewa maamuzi ya kijinga na kipumbavu na nyie mnaangalia tu.
Umeeleza vizuri sanaWaziri wa Afya alisema kulingana na takwimu zao, karibia 90% ya maambukizi mapya alitokea usiku..... Alisema uchunguzi wao ulionyesha watu wengi walioagiziwa na serekali kufanya self-quarantine kwa siku 14 walikua mchana wanafywatilia maagizo ya serekali lakini ikifika usiku jamaa watatoka nje na kuingia mitaani, kwenda sokoni, kutembelea marafiki nk....
Alisema walishirikiana hadi na Safaricom ku track GSP location za watu wambao walikua wanafaa kua ndani ya self-quaranteen, ikifika usiku wengi wao walikua wanakiuka hizo sheria... Alafu mbali na hapo, pia matatu na magari ya umma yalikua yakifika usiku hakuna mtu anafwata maagizo ya usafi ndani ya magari ya umma au kuosha mikono na sanitizer au kukaa umbali wa 1m hataukiwa ndani ya gari..... etc
Kutokana na hizo observations ndo wakaamua kuzuia watu kutoka nje usiku manake hakuna mtu alikua anafwata haagizo ya wizara ya Afya giza linapoingia!!!1111
Kwahivyo usidhani watu hawana akili wanapo weka sera kama hizi..
Ila mchana ni ruksa kutoka na kutembea ovyo au siyo? Ni mwenye akili pungufu tu atakubaliana na maelezo yako hayo mkuu!Waziri wa Afya alisema kulingana na takwimu zao, karibia 90% ya maambukizi mapya yalitokea usiku kulingana na wale waliohojiwa baada ya kupatikana na corona..... Alisema uchunguzi wao ulionyesha watu wengi walio agiziwa na serekali kufanya self-quarantine kwa siku 14 walikua mchana wanafywatilia maagizo ya serekali lakini ikifika usiku jamaa watatoka nje na kuingia mitaani, kwenda sokoni, kutembelea marafiki na hata kukutana na watu wengi nk....
Alisema walishirikiana hadi na Safaricom ku track GSP location za watu wambao walikua wanafaa kua ndani ya self-quaranteen, ikifika usiku wengi wao walikua wanakiuka hizo sheria na kuingia mitaani... Alafu mbali na hapo, pia matatu na magari ya umma yalikua yakifika usiku hakuna mtu anafwata maagizo ya usafi ndani ya magari ya umma au kuosha mikono na sanitizer au kukaa umbali wa 1m hata ukiwa ndani ya gari..... etc
Kutokana na hizo observations ndo wakaamua kuzuia watu kutotoka nje usiku manake hakuna mtu alikua anafwata maagizo ya wizara ya Afya ya usafi giza linapoingia!!!1111
Kwahivyo usidhani watu hawana akili wanapo weka sera kama hizi..
Mmmh na wewe unakubaliana kuwa mchana ruksa ila usiku tu ndiyo ugonjwa hautaambukiza!!?
Hiyo ndio kazi ya curfew yenyewe, watu wanazingatia maagizo yote ya wizara ya afya mchana. Bar zinafungwa, magari yanafata agizo kuhusu kubeba abiria, kwenye migahawa wanauza 'take away' tu. Ila giza likiingia kila mtu anarudi kwenye mazoea ya zamani. Yoweri M7 pia ametoa agizo la curfew ya saa moja usiku nchini Uganda. Kulingana na mleta mada, sisi wote wengine ni wapumbavu, isipokuwa tu wale ambao wanapambana na 'kaugonjwa kadogo ka corona' wakitumia maombi na mwili wa Yesu. Museveni declares 7pm curfew, 14-day lockdown for private carsUmeeleza vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni wafuata upepo tu ngoja nimwiite MK254 njoo ujibu hoja mkuu!!?
Umenifunza msamiati mpya wewe 'msomi'. Unahitaji kuludi shuleni.Corona kwenu inaambukizwa usiku ikifika saa 11 asubuhi mnajazana barabarani maana muda huo kunakuwa hakuna corona eti mpaka jioni nchi ya watu wanao-jipambanua kama wasomi mnaletewa maamuzi ya kijinga na kipumbavu kama hivi
Halafu na nyie mnaangalia tu duh! kwamba corona kwenu ipo usiku tu duh! mchana inahama na kuludi jioni.
Kwa hiyo mchana ni ruksa kutoka home siyo? Sasa mleta mada anauliza corona mchana haiambukizi? Ukitilia maana watu mchana ni wengi mitaani kuliko usiku? Kwani mkisema tu kwamba mlishindwa kuimplement lockdown yenu ya mchana mkaamua kudanganya watoto kwa kuweka curfew ya usiku ni sawa tu mkuu!! Kubali tu mkuu yaishe!Mbona hii haihitaji kuumiza akili kuelewa, watu wengi hukiuka mbinu zote na maagizo yote ya tahadhari usiku kuliko mchana. Kwa mfano daladala zote mchana watu wananawa mikono kabla kuingia, halafu kwenye viti mnakaa watu wachache tu, yaani askari mchana wanafuatilia kwa umakini sana kuhakikisha kila mtu anafuata maagizo, ila zikitimia usiku kwenye giza watu wanafanya yao, wengine wanajifungia kwenye vlabu vya pombe na kunywa kimya kimya.
Hivyo imewekwa kwamba zikitimia saa moja kila mtu awe kwake, hamna kurandaranda, leo nilikua nafanya mazoezi nikiwa narudi nikachelewa kama dakika tano, yaani nikafika kwangu 19:05pm, barabara yote ilikua tupu, aisei nilikua mwenyewe mpaka nikapata wasiwasi nitakamatwa.
Waziri wa Afya alisema kulingana na takwimu zao, karibia 90% ya maambukizi mapya yalitokea usiku kulingana na wale waliohojiwa baada ya kupatikana na corona..... Alisema uchunguzi wao ulionyesha watu wengi walio agiziwa na serekali kufanya self-quarantine kwa siku 14 walikua mchana wanafywatilia maagizo ya serekali lakini ikifika usiku jamaa watatoka nje na kuingia mitaani, kwenda sokoni, kutembelea marafiki na hata kukutana na watu wengi nk....
Alisema walishirikiana hadi na Safaricom ku track GSP location za watu wambao walikua wanafaa kua ndani ya self-quaranteen, ikifika usiku wengi wao walikua wanakiuka hizo sheria na kuingia mitaani... Alafu mbali na hapo, pia matatu na magari ya umma yalikua yakifika usiku hakuna mtu anafwata maagizo ya usafi ndani ya magari ya umma au kuosha mikono na sanitizer au kukaa umbali wa 1m hata ukiwa ndani ya gari..... etc
Kutokana na hizo observations ndo wakaamua kuzuia watu kutotoka nje usiku manake hakuna mtu alikua anafwata maagizo ya wizara ya Afya ya usafi giza linapoingia!!!1111
Kwahivyo usidhani watu hawana akili wanapo weka sera kama hizi..
Halafu naona siku hizi wameongeza kuzungumza kizungu chao cha ugoko, utafikiri hiyo ndio dawa ya kujikinga na virusi vya corona.
Kwa hiyo mchana ni ruksa kutoka home siyo? Sasa mleta mada anauliza corona mchana haiambukizi? Ukitilia maana watu mchana ni wengi mitaani kuliko usiku? Kwani mkisema tu kwamba mlishindwa kuimplement lockdown yenu ya mchana mkaamua kudanganya watoto kwa kuweka curfew ya usiku ni sawa tu mkuu!! Kubali tu mkuu yaishe!
Tatito la Kenya hawatatui tatizo kwa kutumia akili wanajifanya wanakwenda na wakati wanapenda kuiga mambo ya kizungu kizungu kila kitu data ndio maana wanafeli hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Is there a lockdown in Tanzania?One death reported today,
How it stands
Tanzania 19. 1 death
Kenya 50, 2 deaths.
Any Question?
Sent using Jamii Forums mobile app
Do not blame them it is their education system that fails them. They are covered by blind nationalism and ignorance too much, to see that the world around them is moving on while they are crumbling into pieces. Their beloved south africa is currently unable to pay its debts leading to a junk rating by Moody's and all other rating agencies, and the south african economy will contract by 2% this year.