Hanjawahi kufanya liver transplant, hamna uwezo wala vifaa vya kufanya liver transplant, leta ushahidi kama mlishawshi kufanya liver transplant.
Hamjawahi kufanya "Cochlear implant, hamna uwezo wa wataalam wala vifaa hapo KNH, Muhimbili hiyo procedures tinaifanya kila siku. Kusini mwa jangwa la Sahara, Muhimbili ni Hospitali pekee inayofanya hii procedure, nje ya South Africa.
Muhimbili ni Hospitali pekee inayofanya "operations" za Ubongo bila kufungua kichwa kusini mwa jangwa la Sahara, Kenya hakuna hivyo vifaa hata katika private Hospitals zenu, kama unabisha lete ushahidi.
Kenya mpo nyumba sana katika huduma za Afya, hamuiwezi Tanzania hata kidogo. Weka ushahidi wa mambo yafuatayo.
1)Kama KNH ilishafanya Cochlear implant
2)Liver & Bone marrow transplant
3)Kenya nzima kuna vifaa vya kufanya operation za Ubongo bila kufungua kichwa
4)Weka idadi ya Operations za Moyo zinazofanyika kwa mwaka mmoja Kenya yote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using
Jamii Forums mobile app