Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Na nyie saidieni tuone kama mtaweza PATA ushindi kama wa YangaMipango na mikakati yao nje ya uwanja ndio inawalipa, wala sio uwezo wa wachezaji, wakifika mji wa watu wanakwenda kusaidia watoto au yatima, hii sio jambo la bure, mara kutoa damu (wakati majumbani kwao kuna ndugu na jamaa wanaomba kuchangiwa damu wanakaziwa) mara kutoa misaada kwa yatima wakati kuna maskini kibao hawawasaidii.
Uganga huo naamini wazee aa utopolo mtatoboa tu, kila la heri
Kwani simbwa mmezuiwa kutoa misaada? Na iyo misaada inacheza namba ngapi uwanjani kuifanya timu ishinde? Wenzenu wakati wanafanya usajili na maandalizi nyie mlikuwa angani kwenye safari zisizokuwa na kichwa wala miguu, leo hii waliojiandaa vyema wanavuna matunda yao unakuja na hadithi za kimaskini kama hizi za kijinga kijinga!Mipango na mikakati yao nje ya uwanja ndio inawalipa, wala sio uwezo wa wachezaji, wakifika mji wa watu wanakwenda kusaidia watoto au yatima, hii sio jambo la bure, mara kutoa damu (wakati majumbani kwao kuna ndugu na jamaa wanaomba kuchangiwa damu wanakaziwa) mara kutoa misaada kwa yatima wakati kuna maskini kibao hawawasaidii.
Uganga huo naamini wazee aa utopolo mtatoboa tu, kila la heri
Nalo nenoNi Yanga tu ndio timu pekee duniani inayoongoza kwa kufanya timu pinzani inazocheza nazo kuonekana dhaifu na ambazo hazikutakiwa kua kwenye mashindano husika.
kumbe GENTAMYCINE huwa yuko sahihi kwa ayasemayo kwani hata juzi aliandika hapa na kusema kuwa yanga sc inatumia sharti hili la mganga la kusaidia yatima hasa watoto na kuchangia damu ili jihi lao la mafanikio lifurahi na wawe wanashinda hata mechi iliyo ngumu kwao.Mipango na mikakati yao nje ya uwanja ndio inawalipa, wala sio uwezo wa wachezaji, wakifika mji wa watu wanakwenda kusaidia watoto au yatima, hii sio jambo la bure, mara kutoa damu (wakati majumbani kwao kuna ndugu na jamaa wanaomba kuchangiwa damu wanakaziwa) mara kutoa misaada kwa yatima wakati kuna maskini kibao hawawasaidii.
Uganga huo naamini wazee aa utopolo mtatoboa tu, kila la heri
Popoma ana ID's nyingi mpaka basi! Huyu jamaa sijui ni tapeli!Kwani zile ID zako mbili zote zimepigwa ban hadi ukaja na hii ya 3?
Ona sasa nyingine hii hapa! 🤔kumbe GENTAMYCINE huwa yuko sahihi kwa ayasemayo kwani hata juzi aliandika hapa na kusema kuwa yanga sc inatumia sharti hili la mganga la kusaidia yatima hasa watoto na kuchangia damu ili jihi lao la mafanikio lifurahi na wawe wanashinda hata mechi iliyo ngumu kwao.
Ila wewe jamaa ni zaidi ya malayakumbe GENTAMYCINE huwa yuko sahihi kwa ayasemayo kwani hata juzi aliandika hapa na kusema kuwa yanga sc inatumia sharti hili la mganga la kusaidia yatima hasa watoto na kuchangia damu ili jihi lao la mafanikio lifurahi na wawe wanashinda hata mechi iliyo ngumu kwao.
Achana na hao mapimbi. Yangaaaa...Ni Yanga tu ndio timu pekee duniani inayoongoza kwa kufanya timu pinzani inazocheza nazo kuonekana dhaifu na ambazo hazikutakiwa kua kwenye mashindano husika.
Kama mnakumbuka Manara alipokuwa Simba aliwahi kusema Simba itachukua ligi kuu 10 years back to back. Jeuri ile ilitokana na mganga ambaye aliletwa na Manara. Na wakati ule Simba pia walikuwa wakitoa misaada kila wanapoenda kucheza mechi. Baada ya kufukuzwa Simba na kwenda Yanga Manara alihama na mganga huyo ndio maana unaona utamaduni wa misaada umehamia upande wa pili.Mipango na mikakati yao nje ya uwanja ndio inawalipa, wala sio uwezo wa wachezaji, wakifika mji wa watu wanakwenda kusaidia watoto au yatima, hii sio jambo la bure, mara kutoa damu (wakati majumbani kwao kuna ndugu na jamaa wanaomba kuchangiwa damu wanakaziwa) mara kutoa misaada kwa yatima wakati kuna maskini kibao hawawasaidii.
Uganga huo naamini wazee aa utopolo mtatoboa tu, kila la heri
Kama mnakumbuka Manara alipokuwa Simba aliwahi kusema Simba itachukua ligi kuu 10 years back to back. Jeuri ile ilitokana na mganga ambaye aliletwa na Manara. Na wakati ule Simba pia walikuwa wakitoa misaada kila wanapoenda kucheza mechi. Baada ya kufukuzwa Simba na kwenda Yanga Manara alihama na mganga huyo ndio maana unaona utamaduni wa misaada umehamia upande wa pili.