'Uganga' wa kusaidia yatima unawalipa Yanga, watafika mbali huku tukilalamika kuwa wanacheza na timu mbovu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Mipango na mikakati yao nje ya uwanja ndio inawalipa, wala sio uwezo wa wachezaji, wakifika mji wa watu wanakwenda kusaidia watoto au yatima, hii sio jambo la bure, mara kutoa damu (wakati majumbani kwao kuna ndugu na jamaa wanaomba kuchangiwa damu wanakaziwa) mara kutoa misaada kwa yatima wakati kuna maskini kibao hawawasaidii.

Uganga huo naamini wazee aa utopolo mtatoboa tu, kila la heri
 
Na nyie saidieni tuone kama mtaweza PATA ushindi kama wa Yanga
 
Mipango na mikakati yao nje ya uwanja ndio inawalipa, wala sio uwezo wa wachezaji, wakifika mji wa watu wanakwenda kusaidia watoto au yatima, hii sio jambo la bure, mara kutoa damu (wakati majumbani kwao kuna ndugu na jamaa wanaomba kuchangiwa damu wanakaziwa) mara kutoa misaada kwa yatima wakati kuna maskini kibao hawawasaidii.

Uganga huo naamini wazee aa utopolo mtatoboa tu, kila la heri
Kwani simbwa mmezuiwa kutoa misaada? Na iyo misaada inacheza namba ngapi uwanjani kuifanya timu ishinde? Wenzenu wakati wanafanya usajili na maandalizi nyie mlikuwa angani kwenye safari zisizokuwa na kichwa wala miguu, leo hii waliojiandaa vyema wanavuna matunda yao unakuja na hadithi za kimaskini kama hizi za kijinga kijinga!
 
Nasikitika katika jukwaa pendwa limeongezeka zuzu jingine sasa yapo mawili.
Kwa mitazamo hii unafahamu fika hii mizuzu imekulia mazingira gani kwa tafsiri rahisi hii mizuzu/mipopoma imetokea familia zenye dhiki na uchawi usiomithirika sasa inafikiri kila kitu ni ulozi tu jf yangu hii mizwazwaa inashusha heshima ya jukwaa.
 
Mipango na mikakati yao nje ya uwanja ndio inawalipa, wala sio uwezo wa wachezaji, wakifika mji wa watu wanakwenda kusaidia watoto au yatima, hii sio jambo la bure, mara kutoa damu (wakati majumbani kwao kuna ndugu na jamaa wanaomba kuchangiwa damu wanakaziwa) mara kutoa misaada kwa yatima wakati kuna maskini kibao hawawasaidii.

Uganga huo naamini wazee aa utopolo mtatoboa tu, kila la heri
kumbe GENTAMYCINE huwa yuko sahihi kwa ayasemayo kwani hata juzi aliandika hapa na kusema kuwa yanga sc inatumia sharti hili la mganga la kusaidia yatima hasa watoto na kuchangia damu ili jihi lao la mafanikio lifurahi na wawe wanashinda hata mechi iliyo ngumu kwao.
 
Ila wewe jamaa ni zaidi ya malaya
 
Mipango na mikakati yao nje ya uwanja ndio inawalipa, wala sio uwezo wa wachezaji, wakifika mji wa watu wanakwenda kusaidia watoto au yatima, hii sio jambo la bure, mara kutoa damu (wakati majumbani kwao kuna ndugu na jamaa wanaomba kuchangiwa damu wanakaziwa) mara kutoa misaada kwa yatima wakati kuna maskini kibao hawawasaidii.

Uganga huo naamini wazee aa utopolo mtatoboa tu, kila la heri
Kama mnakumbuka Manara alipokuwa Simba aliwahi kusema Simba itachukua ligi kuu 10 years back to back. Jeuri ile ilitokana na mganga ambaye aliletwa na Manara. Na wakati ule Simba pia walikuwa wakitoa misaada kila wanapoenda kucheza mechi. Baada ya kufukuzwa Simba na kwenda Yanga Manara alihama na mganga huyo ndio maana unaona utamaduni wa misaada umehamia upande wa pili.
 
Ukiambiwa ulete ushahidi UNAWEZA?? Au ni maneno maneno tu ya JF..??
 
Back
Top Bottom