Ugawaji Mikoa hauzingatii namna bora ya Utawala kwa ajili ya Wananchi

Ugawaji Mikoa hauzingatii namna bora ya Utawala kwa ajili ya Wananchi

Waunganishe mikoa ibaki kumi kama kipindi cha nyerere.
Hiyo haiwezekani maana wakati Nyerere anaanza utawala idadi ya watu ilikuwa milioni 9 baadae miaka ya 1967/1969 idadi ikawa miliooni 12 hivyo changamoto kuhusu utawala wa tu ilikuwa sio kubwa sana ukilinganisha na sasa idadi imeongezeka hadi milioni 58 au 60.

Zanzibar imedhibitiwa ongezeko lao kutoka laki saba kipindi hindi hicho hadi milioni 1 na laki sita unusu.

Eneo lililogumu kiutawala wa watu ni kanda ya ziwa (Shinyanga, Mwanza, Geita, Kagera/Ziwa Magharibi, Mara, Na Simiyu ambayo idadi yake ya watu ni kadi ya asilimia 20-40 ya idadi ya watu wote Tanzania), kanda Pwani (Dar Es Salaam, Pwani,), kanda ya Kaskazini (Arusha, Kilimanjaro na Tanga), kanda ya nyanda za juu Kusini (Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa).

Ugumu wa kanda zingine ni uelewa na ubishi wa watu wake, Kanda ya Kusini (Lindi, Mtwara, Ruvuma), kanda ya Magharibi (Kigoma, Katavi, Katavi),

Dodoma iko kipekee

Singida na Manyara misimo yao inakaribiana
 
Back
Top Bottom