Ni kweli tunafanana maana hasili yetu ni moja.Habari wadau.
Ugomvi mkubwa wa mirathi ya marehemu Nelson Mandela umefikia pabaya. Baada ya baadhi ya wanafamilia kuanza kuuza mali za Marehemu.
Watoto na Wajukuu wa mandela wameingia kwenye ugomvi mkubwa wa kugombania mali za babu yao marehemu Mandela.
Africa tunafanana tabia. Kwenye swala la mirathi ugomvi lazima utokee
Ngozi nyeusi hatari.
nadhani hapo kwenye winnie mandela urekebishe maana alifariki 2018 kama sijakosea.Habari wadau.
Ugomvi mkubwa wa mirathi ya marehemu Nelson Mandela umefikia pabaya. Baada ya baadhi ya wanafamilia kuanza kuuza mali za Marehemu.
mke wa zamani Winnie Mndela ,Watoto na Wajukuu wa mandela wameingia kwenye ugomvi mkubwa wa kugombania mali za babu yao marehemu Mandela.
Africa tunafanana tabia. Kwenye swala la mirathi ugomvi lazima utokee
View attachment 2879805
View attachment 2879793
Ndugu, mke wa zamani uliyemtaja naye ni marehemu, anagombea vipi hizo mali?Habari wadau.
Ugomvi mkubwa wa mirathi ya marehemu Nelson Mandela umefikia pabaya. Baada ya baadhi ya wanafamilia kuanza kuuza mali za Marehemu.
mke wa zamani Winnie Mndela ,Watoto na Wajukuu wa mandela wameingia kwenye ugomvi mkubwa wa kugombania mali za babu yao marehemu Mandela.
Africa tunafanana tabia. Kwenye swala la mirathi ugomvi lazima utokee
View attachment 2879805
View attachment 2879793
Ndugu, mke wa zamani uliyemtaja naye ni marehemu, anagombea vipi hizo mali?
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Daaa naipongeza sana Familia ya Kenyatta.Hawa ni Mabepari haswa hawana Uswahili.
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Gaza wanaogombea ardhi ya Babu Yao Abram ni waafrika?Watu weusi wote akili sawa
sio ngozi nyeusi tu!! ata wazungu!!!,unafikiri kwa nini wazungu walimuua gadafi?{mafuta],sadam[mafuta],kwa nini congo haipati amani{madini},kwa nini walitawala afrika{mali ghafi],kwa nini wanapiga vita bomba la mafuta kutoka uganda kuja tz{wivu},kwa nini wanatengeneza virusi{ili wauze kinga}.....so acheni akili mgando!!Ngozi nyeusi hatari.
Mboni watoto wa Ruge wamepewa mabillion yao wametulia zao tu, ukiona hivyo familia imejaa masikini wengi masikini ndio wanaogombea Mali hukuti matajiri wakigombea MaliHabari wadau.