Ugomvi na ushoga usiwe kigezo cha watoto kukosa mchele wenye virutubisho, tutaonekana majuha

Sasa hayo madini kama hayatachimbwa tena mapema sana kupunguza umasikini unaoutukabili yatakuwa na maana gani kwetu, acha kuwaza kama zombie.

Kwa serikali makini yenye akili ikijua mahali kuna madini ya uranium kama unavyodai ilitakiwa kufanya mipango ya kuhama na kuhamisha watu kabisa kuanda eneo hilo kuliandaa vizuri kwa ajili uchimbaji.
 
Walimchota akili?
Hapana. sio mtu wa asili ya hapa Afrika. Na Ukisoma lugha zake utamwelewa, anajiondoaga ufahamu tu.

Tatizo linakuja pale tunapo mshutumu inaonekana kana yeye ni Mwafrika au Mtanzania wa asili. Kumbe siye. Yeye anachelkelea tunavyorushiana matope.
 
Hyo avatar yako unamdhalilisha sana huyo mwamba...angefufuka na kuona unachokitetea angekulisha kasa ili ufe tu..huna faida
 
Wewe huoni unavyowaza kusaidiwa kama mlemavu wakati una rasilimali zote. Ni lini serikali imetangaza tuna njaa? Wewe ukiwa una gunia kumi zs Mchele ndani jirani akikupa kilo 1 utapokea? Acheni njaa jamani

Uko sahihi, tuwangaalie sana
 
Mchele nimezalisha hapa hakuna soko, kilo sh 800 je kuna haja gani kuletewa mchele na wafanya biashara wa Marekani.

Hivi vimiradi uchwara ndio JPM alikuwa anavilima nyundo
Wapi huko unauza mchele sh 800 tuje kununua??
 
Nilivyoelewa Kwa maelezo ya waziri Bashe, serikali haikuomba Msaada wa chakula Maana chakula kipo ila Kuna NGO iliyohusika. Nadhan serikali imefanya vzr Katika hili. Kama haukua Msaada wa direct kutoka USA govt to tz sidhan Kama kulikua na masharti ya Msaada, kama yapo Basi tujajue na Kama hayapo basi vyakula hvyo vifanyiwe uchunguzi wa kutosha Kama Vina madhara vitupwe na Kama Havina vigawiwe Kwa Watu. Tusiongeze tension kwenye jambo dogo lakini linagusa mashirikiano
 
Kwani hawa wamarekani wamekurupuka tu na kutoa msaada bila ya makubaliano na serikali yetu?
Kwa hiyo nyie serikali iliwaambia kuna njaa kwa hiyo inaenda kuomba msaada wa mchele Amerika. Acheni kuendekeza ulafi. Mna mikono miwili na ardhi yenye rutuba. Fanyeni kazi. Ndio wengine wanaendekeza njaa mpaka wanauza utu wao kama vijana huko Sinza na kinondoni
 
Mchele nimezalisha hapa hakuna soko, kilo sh 800 je kuna haja gani kuletewa mchele na wafanya biashara wa Marekani.

Hivi vimiradi uchwara ndio JPM alikuwa anavilima nyundo
Hawa jamaa ndio wanafanya watu wanamkumbuka Magufuli
 
Wewe mpuuzi una mawazo ya kishenzi sana. Hujui kama hiyo misaada yao ni ya kilaghai?
 
Wewe ulidhani kuna vya bure? Huoni kwamba ndiyo maana tunataka ufafanuzi wa ile saa ya sh milioni mia moja anayovaa binti Kidawa? Kama alipewa, alipewa kwa masharti gani? Na kama alinunua, fedha alipata wapi?
Kama mama yako hana uwezo wa kununua saa ya 100m usidhani ndo hadi Mama Samia hawezi kununua....
 
Hio ni ishara kwamba vijana mnatakiwa muwe mabwabwa au mchele mchele tatizo hamjiongezi😁 mnapokea zawadi tu
 
Basi kwa vile umeonekana una akili dhaifu basi wape kandarasi wamerekani waje wailishe familia yako kwa maana kuna lishe nyingine unaweza usizijue. Wape kandarasi tu
 
Hii ni akili ya kawaida tu. Hata hutakiwi kuwa na cheti cha darasa la saba. Tanzania mnatoa msaada kwa Rwanda. Mnawapa pesa wakanunue bidhaa za Kenya na ninyi mna viwanda vinazalisha bidhaa hiyo hiyo ? MTAKUWA HAMNA AKILI. NI WAPUMBAVU MPAKA MWISHO.
 
Wamarekani wana tetea ushoga na mashoga waarabu wanapinga ushoga na kutetea ubasha lakini waisiharamu wanamuona muarabu ni mwema very stupiid people...fulishii
Uarabu na uisilamu unaingilianaje??
Kwa waarabu kutetea ubahasha kunahusianaje na uislamu??
Jinga wewe .
 
1. Huo mchele haujatokana na kuzalishwa kwa mfumo wa GMO?

2. Kwenye huo mchele umeongezewa virutubisho vipi?

3. Je TBS wamefanya uchunguzi juu ya huo mchele
 
Unajuwaga billgate foundation huwa inadhamini nini 1 depopulation ndo maana marehemu alipiga moto misaada ya corona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…