Ugomvi na ushoga usiwe kigezo cha watoto kukosa mchele wenye virutubisho, tutaonekana majuha

No mara yangu ya kwanza kusikia kuhusu mchele wenye virutubisho!
Huko kwao wanautumia?!
Huo mchele kwao hauuziki.

Mchele huo ulikaa sana kwenye maghala yao bila kuuzika wakati wa jamga la corona.

Baadae serikali ya Marekani ilitoa ruzuku na misamaha ya kodi kwa wakulima wake kwa sababu za janga hili, na kule masharti yao ni magumu-yaani ilikuwa lazima wagawe.

Tembelea tovuti ya Serikali yao. Billions in COVID-19 and Trade Relief for Farmersβ€”How Was it Distributed?. au tafuta USDA to provide Assistance to farmers and Ranchers kwa taarifa zaidi.
 
Msaada wa Chakula wakati hujaomba na huna shida ni dharau.

Serikali ichome moto chakula chote kilicholetwa na hizo NGO
 
Ukombozi wa Tanzania upo Mikononi mwa Watanzania wenyewe.
Ukombozi wa African upo Mikononi mwa waafrika Wenyewe.
"Ee Mungu tusaidie kufungua frikra zetu tuondokane na uvivu wa kufikiri na utupatie moyo wa kizalendo kwa kufanya kazi kwa bidii pasipo kunufaisha matumbo yetu iwe kwaajili ya ustawi wa vizazi vyetu vya baadae wapate kuishi Tanzania iliyo Salama" Amina.

Ukombozi wa Tanzania upo Mikononi mwa Watanzania wenyewe.

Ukombozi wa African upo Mikononi mwa waafrika Wenyewe.

"Ee Mungu tusaidie kufungua frikra zetu tuondokane na uvivu wa kufikiri na utupatie moyo wa kizalendo kwa kufanya kazi kwa bidii pasipo kunufaisha matumbo yetu iwe kwaajili ya ustawi wa vizazi vyetu vya baadae wapate kuishi Tanzania iliyo Salama" Amina.
 
Hii nchi kuna dhiki kubwa na njaa kali. Huo mchele ni salama kabisa na unahitajika kwa sana. Tena ni mchele bora kuliko hata mchele wa Mbeya sababu umeongezwa virutubisho ADIMU ambavyo vijana wa shule wanahitaji kwa afya yao. Itoshe kusema, hakuna shule inaweza ku afford mchele premium kama wa Mbeya.
 
Yaani chanjo lukuki na madawa kibao ya binadamu wanatuletea wamarekani, tena ndiyo njia rahisi na yenye ufanisi kuleta madhara kwa binadamu. Leo hii walete madhara kwa kupitia fortifed rice, sisi pangu pakavu Mmarekani hana muda wa kutudhuru, tupambane na hali zetu tu.
 
Hofu zetu zinatokana na mbinu za Wabaguzi wa rangi dhidi yetu Weusi Tuskegee Experiment ni moja wapo Wasiwasi Akili.

Sisi Watu weusi tunachukiwa sana kwahiyo tuwe makini sana na maisha ya vizazi vyetu vijavyo.
 
Wewe kwa akili yako timamu kabisa Tanzania inahitaji msaada wa mchele wenye virutubisho? Tanzania hatuna vyakula vyenye virutubisho?
 
Duuhh hivi wewe Wamarekani walikupa nini? Huoni hata makosa?
Hawa majuha wapo wengi sana. Marekeani ndio inaongoza kwa wananchi wake kula vyakula visivyo na virutubisho lakini eti leo inawasaidia watanzania chakula cha virutubisho huu si zaidi ya usanii?
 
Kwani hawa wamarekani wamekurupuka tu na kutoa msaada bila ya makubaliano na serikali yetu?
Hao wanaonaga kama ni jukumu lao kabisa bila hata taarifa wanaweza kuingia mpaka chumbani kwako na kufanya lolote hawana adabu kabisa.
 
Mchele ukishakobolewa unaondoa virutubisho vingi sana, sasa Wamarekani, akili kubwa, wameona umuhimu wa kurudisha virutubisho asilia vya mchele uliokobolewa.
 
No mara yangu ya kwanza kusikia kuhusu mchele wenye virutubisho!
Huko kwao wanautumia?!
Mbona hata bongo viwanda vyetu vya unga wa ngano na mahindi vinaongeza virutubisho na ni sheria inawahitaji kufanya hivyo. Hata wanaotengeneza unga wa lishe kwa watoto ni lazima waongeze virutubisho, ingawa wengi hawafanyi hivyo na hakuna anayewafuatilia.
 
huo ni ujuha maana hata marekani sio wote wanapenda ushoga
Tena huko kwao wasiopenda ushoga ndio wengi kuliko wanaoushabikia, sema tu sheria zao zinalinda haki za mtu binafsi, na kila mtu anaheshimu maisha ya mtu mwingine maadam havunji sheria.
 
Wewe huoni unavyowaza kusaidiwa kama mlemavu wakati una rasilimali zote. Ni lini serikali imetangaza tuna njaa? Wewe ukiwa una gunia kumi za Mchele ndani jirani akikupa kilo 1 utapokea? Acheni njaa jamani

..kuna Watz wengi hawapati mlo wa kutosha, au mlo kamili.

..Ni kweli hakuna wananchi wanaokufa njaa lakini ni ukweli uliowazi kwamba kuna tatizo la lishe kwa Watz waliowengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…