Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
usipotoshe 🐒Hiyo sio zawadi, tatizo humu wengi hatujui operation za grants na loans, mkuu hiyo hela inalipwa na nchi baadae, Tunachezewa vya kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usipotoshe 🐒Hiyo sio zawadi, tatizo humu wengi hatujui operation za grants na loans, mkuu hiyo hela inalipwa na nchi baadae, Tunachezewa vya kutosha
Paracetamol, condom, ARV n.k zote wanakuletea mbona hushituki? acha watu wale hakuna namnaNo mara yangu ya kwanza kusikia kuhusu mchele wenye virutubisho!
Huko kwao wanautumia?!
Chanjo ipi tena Mkuu? Manake Unatisha, kuna chanjo ya mchele tena?😅😇vipi chanjo?
Huo mchele kwao hauuziki.No mara yangu ya kwanza kusikia kuhusu mchele wenye virutubisho!
Huko kwao wanautumia?!
Ukombozi wa Tanzania upo Mikononi mwa Watanzania wenyewe.Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!
Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.
Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao?
Pia soma Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID
Busara ni kuupokea na kuwapa maharage walioleta... Ili kufuata utaratibu wa kiafrika wa kupokea na kutoaHuu mchele ukaguliwe kama unafaa wapewe watu wale
Yaani chanjo lukuki na madawa kibao ya binadamu wanatuletea wamarekani, tena ndiyo njia rahisi na yenye ufanisi kuleta madhara kwa binadamu. Leo hii walete madhara kwa kupitia fortifed rice, sisi pangu pakavu Mmarekani hana muda wa kutudhuru, tupambane na hali zetu tu.Kama hao mabeberu wangetaka kuwageuza mashoga basi ile njaa ya 1984 wangeanza kuwageuza wazazi wenu wawe mashoga maana walikuwa wakigombea hizo burga na unga wa Yanga kutoka kwa hao wamarekani ili wasife njaa ili nyie mnaorefusha midomo yenu hivi sasa mzaliwe.Na hizo burga miaka hiyo zilisambazwa kwenye mashule mengi kila kona ya nchi, mbona hao wanafunzi hawakugeuka mshoga_?
Una uelewa mdogo sana wa mambo ya msingi, wewe ni wa kuhurumia tu.Huo utakuw amchele wa virutubisho wakuongeza hormone za kike wakila watoto wetu wawe mashoga kazi kwenu Wa-Tanzania munaopenda Misaada ya bure itawaponza sana.
View attachment 2936879
Hawa majuha wapo wengi sana. Marekeani ndio inaongoza kwa wananchi wake kula vyakula visivyo na virutubisho lakini eti leo inawasaidia watanzania chakula cha virutubisho huu si zaidi ya usanii?Duuhh hivi wewe Wamarekani walikupa nini? Huoni hata makosa?
Hao wanaonaga kama ni jukumu lao kabisa bila hata taarifa wanaweza kuingia mpaka chumbani kwako na kufanya lolote hawana adabu kabisa.Kwani hawa wamarekani wamekurupuka tu na kutoa msaada bila ya makubaliano na serikali yetu?
Mbona hata bongo viwanda vyetu vya unga wa ngano na mahindi vinaongeza virutubisho na ni sheria inawahitaji kufanya hivyo. Hata wanaotengeneza unga wa lishe kwa watoto ni lazima waongeze virutubisho, ingawa wengi hawafanyi hivyo na hakuna anayewafuatilia.No mara yangu ya kwanza kusikia kuhusu mchele wenye virutubisho!
Huko kwao wanautumia?!
Tena huko kwao wasiopenda ushoga ndio wengi kuliko wanaoushabikia, sema tu sheria zao zinalinda haki za mtu binafsi, na kila mtu anaheshimu maisha ya mtu mwingine maadam havunji sheria.huo ni ujuha maana hata marekani sio wote wanapenda ushoga
Hujajibu swali.Hao wanaonaga kama ni jukumu lao kabisa bila hata taarifa wanaweza kuingia mpaka chumbani kwako na kufanya lolote hawana adabu kabisa.
Wewe huoni unavyowaza kusaidiwa kama mlemavu wakati una rasilimali zote. Ni lini serikali imetangaza tuna njaa? Wewe ukiwa una gunia kumi za Mchele ndani jirani akikupa kilo 1 utapokea? Acheni njaa jamani