Ugomvi wa marafiki ulioniacha mdomo wazi!

Ugomvi wa marafiki ulioniacha mdomo wazi!

Lamomy

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2023
Posts
43,349
Reaction score
104,110
Haya haya wambea wenzangu njooni..!! 😹


Juzi kati nilishikwa na homa. Sasa kuna mtoto wa sis angu alikuja kunisalimia ni mwanachuo wa chuo kimoja hapa jijini..!!

Tukaanza kupiga story na kupeana pole. Mara nyingi nimezoea kumuona na bff wake Rose (sio jina halisi) ikabidi nimuulize rafiki yako yuko wapi? Akasema wamegombana. Nikamuuliza shida nini? Nilitaka kufahamu ili niwapatanishe lakini hapo hapo nilitaka na umbea 😹😹 (Si mnajua ndio vitu zangu hizo)


Akawa anasita kuelezea, ikabidi nitumie mbinu za kivita za kuanza kumpa story za uongo ili ajae nijue chanzo cha ugomvi maana nilihisi kutakuwa na kitu tu! Umbea nao kipaji mjue..!!

Akaniambia, odo lakini usinigombeze. Nikamuhakikishia siwezi kufanya hivyo huku roho iko juu juu nawaza huyu mtoto atakuwa na kitu gani iko cha kumtia hofu kiasi iko?

Nikajipa moyo hamna kitu chochote hawa itakuwa mambo ya umbea na mmoja akasikia hivyo wakasutana ndio wamenuniana..!! Na huyu mtoto kuna vitu nimemfanana vya umbea..!!😹😹
Si mnajua damu nzito kuliko maji, mamdogo naye mama..!!

Akaanza kufunguka sasa..!!


Nawarudia waungwana ngoja niuze vijora kwanza..!! 😹😹😹
 
1785762121749.jpg
 
Haya njooni tuendelee sasa..!!

Rose ana boyfriend wake ambaye anajitafuta anafanya kazi kwa wahindi. Mara nyingi huwa anakuja tulipopanga na Rose na anamletea vizawadi vidogo vidogo Rose. Kutokana na uwezo wake.

Lakini kuna siku nikashangaa Rose amekuja na mwanaume mwingine ananiambia huyu shem wako..!! Nikaguna kisha nikapotezea.


Kwa muonekano wa yule Shem mpya ni mtu ambaye amejipata ana pesa.

Baada ya yule mwanaume kuondoka ikabidi nianze kumuuliza Rose mbona sikuelewi? Vipi kuhusu Kim? Hivi unajua yule kaka ana mapenzi ya kweli na wewe? Na pamoja na maisha yake anajitoa sana..!! Na ni kweli mara nyingi anatutoa out tunaenda kula. (Hapa nikajisemea moyoni mmmmh!! huyu ananifanya mimi mtoto anajua mambo ya vyuoni hatuyajui mfyuuu..!!) Hapo hizo out ni kwenda club kulewa hakuna chochote..!! 😹

Akaendelea, Rose nilipomwambia hivyo akanijibu “Achana naye” kwanza mimi sio mkewe na hapa nawaza jinsi ya kumbwaga. Niliumia sana. Nikaamua kuachana nao.

Sasa siku hiyo Rose alitoka na yule bwana ake mpya na mimi nikatoka na marafiki zangu wengine. Lakini kabla sijatoka akaja bwana ake Rose yule ambaye hatakiwi.

Akalalamika na kusema Rose siku hizi haeleweki simu hapokei meseji nikimtumia anajibu kesho yake. Nikimuuliza kwanini unafanya hivyo? Anajibu Kama vipi tuachane sipendi kufatiliwa na kusemwa semwa. Nikamtia moyo pale na kumwambia huenda Rose masomo yanamfanya awe busy si unajua sisi tunasoma shem. Akaniaga kinyonge akaondoka..!!

Mimi nikawapitia rafiki zangu tukatoka.Tulipofika huko wakanibembeleza nionje wine kidogo ( Yaleyale nikajua tayari huyu mtoto anaelekea kuniongezea ugonjwa nilionao?) Isije kuwa walimpiga mtungo.

Basi nilipolewa nikaanza kucheza aibu yote ikanitoka. Muda ulipofika tukarudi lakini nilipofika nje kabla sijaingia nikamuona mtu ananiita nilipomtazama ni shem wangu Kim. Nikamuuliza vipi muda huu? Akanijibu, Rose hapokei simu zangu sasa nimeamua kuja huku lakini nimegonga mlango wenu hamna mtu. Hapo anaongea lakini kalewa naye..!!

Nikamwambia ngoja nimpigie mimi. Rose simu inaita lakini hapokei. Nikamwambia twende ukamsubiri.

Tulipofika ndani nikashangaa kajitupa kwenye kitanda cha Rose kazima. Nikamuita shem shem? Kalala wa jana.

Sasa wakati amelala shetani akaniingia nikawa nimemtamani yule shem, lakini odo hata wewe ungempenda mzuri sana. Nikamwambia endelea. Naona anataka kunipiga chenga nipanic story iishe nikose kilichoendelea mbwa huyu..!! 😹

Basi nilipomuona kazima nikamsaidia kumvua viatu nikamuweka vizuri kitandani. Nilipomtazama nikamkiss lakini hamu ikanizidia ikabidi nimvue suluari aliyovaa na vile kazima basi nikajua huyu hawezi kujua chochote mimi nna hamu buana. Nikampandia juu lakini nikakuta dyudyu ipo active basi nikajisevia mpaka nikamaliza haja zangu na Kim akiwa hajitambui. Nikamfuta na wipes nikamvalisha boksa yake na suruali nikamuacha nikaenda kuoga. Kiukweli Kim amebarikiwa nilipata raha sikuwahi kupata. (Nilimkata jicho la mwana ukome mimi bado nasimama kama mama hapa) 😹
Hapo najikaza nna hasira yaani huyu mama yake anajua anasoma kumbe yupo kukitombesha tena MBAKAJI MKUBWA shenzy kabisaa..!! 😹😹😹

Akaendelea, niliporudi nikashangaa Kim hayupo..!!

Narudi kumalizia waungwana 😹😹
 
Nikampandia juu lakini nikakuta dyudyu ipo active basi nikajisevia mpaka nikamaliza haja zangu na Kim akiwa hajitambui. Nikamfuta na wipes nikamvalisha boksa yake na suruali nikamuacha nikaenda kuoga
Tuache unafiki.
Wangap wameishia hapa kama mimi? 😊😊😊😊

Nyoosha kidole tuhesabiane.

NB: Kolezea hapo hajitambui
 
Back
Top Bottom