Ugomvi wa marafiki ulioniacha mdomo wazi!

Ugomvi wa marafiki ulioniacha mdomo wazi!

Haya haya wambea wenzangu njooni..!! 😹


Juzi kati nilishikwa na homa. Sasa kuna mtoto wa sis angu alikuja kunisalimia ni mwanachuo wa chuo kimoja hapa jijini..!!

Tukaanza kupiga story na kupeana pole. Mara nyingi nimezoea kumuona na bff wake Rose (sio jina halisi) ikabidi nimuulize rafiki yako yuko wapi? Akasema wamegombana. Nikamuuliza shida nini? Nilitaka kufahamu ili niwapatanishe lakini hapo hapo nilitaka na umbea 😹😹 (Si mnajua ndio vitu zangu hizo)


Akawa anasita kuelezea, ikabidi nitumie mbinu za kivita za kuanza kumpa story za uongo ili ajae nijue chanzo cha ugomvi maana nilihisi kutakuwa na kitu tu! Umbea nao kipaji mjue..!!

Akaniambia, odo lakini usinigombeze. Nikamuhakikishia siwezi kufanya hivyo huku roho iko juu juu nawaza huyu mtoto atakuwa na kitu gani iko cha kumtia hofu kiasi iko?

Nikajipa moyo hamna kitu chochote hawa itakuwa mambo ya umbea na mmoja akasikia hivyo wakasutana ndio wamenuniana..!! Na huyu mtoto kuna vitu nimemfanana vya umbea..!!😹😹
Si mnajua damu nzito kuliko maji, mamdogo naye mama..!!

Akaanza kufunguka sasa..!!


Nawarudia waungwana ngoja niuze vijora kwanza..!! 😹😹😹
Nakukukbusha kuwatag mashoga zako hawa kwa wema TU
Elevenn
Hance Mtanashati
@de Gunner
Stability
Financial Analyst
Chizi Maarifa
Matawi ya juu
Mwaka wa Mbele
 
Back
Top Bottom