Haya njooni tuendelee sasa..!!
Rose ana boyfriend wake ambaye anajitafuta anafanya kazi kwa wahindi. Mara nyingi huwa anakuja tulipopanga na Rose na anamletea vizawadi vidogo vidogo Rose. Kutokana na uwezo wake.
Lakini kuna siku nikashangaa Rose amekuja na mwanaume mwingine ananiambia huyu shem wako..!! Nikaguna kisha nikapotezea.
Kwa muonekano wa yule Shem mpya ni mtu ambaye amejipata ana pesa.
Baada ya yule mwanaume kuondoka ikabidi nianze kumuuliza Rose mbona sikuelewi? Vipi kuhusu Kim? Hivi unajua yule kaka ana mapenzi ya kweli na wewe? Na pamoja na maisha yake anajitoa sana..!! Na ni kweli mara nyingi anatutoa out tunaenda kula. (Hapa nikajisemea moyoni mmmmh!! huyu ananifanya mimi mtoto anajua mambo ya vyuoni hatuyajui mfyuuu..!!) Hapo hizo out ni kwenda club kulewa hakuna chochote..!! πΉ
Akaendelea, Rose nilipomwambia hivyo akanijibu βAchana nayeβ kwanza mimi sio mkewe na hapa nawaza jinsi ya kumbwaga. Niliumia sana. Nikaamua kuachana nao.
Sasa siku hiyo Rose alitoka na yule bwana ake mpya na mimi nikatoka na marafiki zangu wengine. Lakini kabla sijatoka akaja bwana ake Rose yule ambaye hatakiwi.
Akalalamika na kusema Rose siku hizi haeleweki simu hapokei meseji nikimtumia anajibu kesho yake. Nikimuuliza kwanini unafanya hivyo? Anajibu Kama vipi tuachane sipendi kufatiliwa na kusemwa semwa. Nikamtia moyo pale na kumwambia huenda Rose masomo yanamfanya awe busy si unajua sisi tunasoma shem. Akaniaga kinyonge akaondoka..!!
Mimi nikawapitia rafiki zangu tukatoka.Tulipofika huko wakanibembeleza nionje wine kidogo ( Yaleyale nikajua tayari huyu mtoto anaelekea kuniongezea ugonjwa nilionao?) Isije kuwa walimpiga mtungo.
Basi nilipolewa nikaanza kucheza aibu yote ikanitoka. Muda ulipofika tukarudi lakini nilipofika nje kabla sijaingia nikamuona mtu ananiita nilipomtazama ni shem wangu Kim. Nikamuuliza vipi muda huu? Akanijibu, Rose hapokei simu zangu sasa nimeamua kuja huku lakini nimegonga mlango wenu hamna mtu. Hapo anaongea lakini kalewa naye..!!
Nikamwambia ngoja nimpigie mimi. Rose simu inaita lakini hapokei. Nikamwambia twende ukamsubiri.
Tulipofika ndani nikashangaa kajitupa kwenye kitanda cha Rose kazima. Nikamuita shem shem? Kalala wa jana.
Sasa wakati amelala shetani akaniingia nikawa nimemtamani yule shem, lakini odo hata wewe ungempenda mzuri sana. Nikamwambia endelea. Naona anataka kunipiga chenga nipanic story iishe nikose kilichoendelea mbwa huyu..!! πΉ
Basi nilipomuona kazima nikamsaidia kumvua viatu nikamuweka vizuri kitandani. Nilipomtazama nikamkiss lakini hamu ikanizidia ikabidi nimvue suluari aliyovaa na vile kazima basi nikajua huyu hawezi kujua chochote mimi nna hamu buana. Nikampandia juu lakini nikakuta dyudyu ipo active basi nikajisevia mpaka nikamaliza haja zangu na Kim akiwa hajitambui. Nikamfuta na wipes nikamvalisha boksa yake na suruali nikamuacha nikaenda kuoga. Kiukweli Kim amebarikiwa nilipata raha sikuwahi kupata. (Nilimkata jicho la mwana ukome mimi bado nasimama kama mama hapa) πΉ
Hapo najikaza nna hasira yaani huyu mama yake anajua anasoma kumbe yupo kukitombesha tena MBAKAJI MKUBWA shenzy kabisaa..!! πΉπΉπΉ
Akaendelea, niliporudi nikashangaa Kim hayupo..!!
Narudi kumalizia waungwana πΉπΉ