Kama aliona aibu sawa, ila kusema hakujua kinacho endelea uongo.... Kwenye tendo hakunaga pombe tena, pombe inakataa kwa mudaMimi sipiki chai, hapo ilitakiwa iwe hivyo sema aliogopa. Mimi nawasilisha kiumbea uwe unaelewa Ngosha okay? ๐น
Endelea Sasa jamani.๐น๐น๐น Nilikuwa na wateja bana..!!
Wenzako wakizima zinasimama! Wewe mpaka uwe macho tatizo hilooMmh hapo kwenye kuji sevia huku hajitambui ndo kumenipa wasi wasi... ๐ Hapo umeharibu... Uwe unatufata tunakupa codi za kufanya chai ipoe
wew ni wa kiume?,,Twende kazi odo km odo upo leleleleeee๐
Umfuate uharibu zaidi...umrushie koleo uchimbe kabisa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Bora umuache amalizie decorationsUmfuate uharibu zaidi...umrushie koleo uchimbe kabisa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐Bora umuache amalizie decorations
Shida itakuja watu wakitaka wafanyiwe huo ubunifu kwenye kazi zao.Umfuate uharibu zaidi...umrushie koleo uchimbe kabisa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nakukukbusha kuwatag mashoga zako hawa kwa wema TUHaya haya wambea wenzangu njooni..!! ๐น
Juzi kati nilishikwa na homa. Sasa kuna mtoto wa sis angu alikuja kunisalimia ni mwanachuo wa chuo kimoja hapa jijini..!!
Tukaanza kupiga story na kupeana pole. Mara nyingi nimezoea kumuona na bff wake Rose (sio jina halisi) ikabidi nimuulize rafiki yako yuko wapi? Akasema wamegombana. Nikamuuliza shida nini? Nilitaka kufahamu ili niwapatanishe lakini hapo hapo nilitaka na umbea ๐น๐น (Si mnajua ndio vitu zangu hizo)
Akawa anasita kuelezea, ikabidi nitumie mbinu za kivita za kuanza kumpa story za uongo ili ajae nijue chanzo cha ugomvi maana nilihisi kutakuwa na kitu tu! Umbea nao kipaji mjue..!!
Akaniambia, odo lakini usinigombeze. Nikamuhakikishia siwezi kufanya hivyo huku roho iko juu juu nawaza huyu mtoto atakuwa na kitu gani iko cha kumtia hofu kiasi iko?
Nikajipa moyo hamna kitu chochote hawa itakuwa mambo ya umbea na mmoja akasikia hivyo wakasutana ndio wamenuniana..!! Na huyu mtoto kuna vitu nimemfanana vya umbea..!!๐น๐น
Si mnajua damu nzito kuliko maji, mamdogo naye mama..!!
Akaanza kufunguka sasa..!!
Nawarudia waungwana ngoja niuze vijora kwanza..!! ๐น๐น๐น
Anacheck sichuesheni kwanzaShida itakuja watu wakitaka wafanyiwe huo ubunifu kwenye kazi zao.
Ila mbwa katulia kama vile anajua alichokifanya.
Kaidanganye mizimu yenyuu sawa? Mtu akilewa sawa anapata stiimu za ngono ila akizima kaenda huyoo, huyoo katupa chai ya rangi.Wenzako wakizima zinasimama! Wewe mpaka uwe macho tatizo hiloo
Fungua uzi wa kuomba tiba ya nguvuKaidanganye mizimu yenyuu sawa? Mtu akilewa sawa anapata stiimu za ngono ila akizima kaenda huyoo, huyoo katupa chai ya rangi.
Hahahaha njo nikujaribishie kwanza...ili ujue Kama ninazo ama laa..Fungua uzi wa kuomba tiba ya nguvu
Nitakufirimba ushangaeHahahaha njo nikujaribishie kwanza...ili ujue Kama ninazo ama laa..