Ugomvi wa marafiki ulioniacha mdomo wazi!

Ugomvi wa marafiki ulioniacha mdomo wazi!

Umeanza vzuri na lugha ya mtaani umekuja kumalizia na lugha za kwenye intaviu
Mods wanakataza maneno makali ya chumbani. Niombee niyaweke hapa kwa kumwaga radhi..!!
 
AI imeharibu, sometimes translation zinatoa emotional quotient ya stori husika....

Wewe shusha la kiswahili mods hawawezi kufuta
 
AI imeharibu, sometimes translation zinatoa emotional quotient ya stori husika....

Wewe shusha la kiswahili mods hawawezi kufuta
Hamna Ai hapo hata kidogo..!!

Dude lote limetoka kichwani, sema nimeona wengi mnataka kwa kiswahili. Nikipewa ban mnisaidie kunitetea..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Hamna Ai hapo hata kidogo..!!

Dude lote limetoka kichwani, sema nimeona wengi mnataka kwa kiswahili. Nikiolewa ban mnisaidie kunitetea..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kama ni kweli you're indeed a writer... Big up
 
Story ya kuchangamsha wapenzi wa kutiana.

Wakati sahihi ni sasa.
Tubuni na kuiamini Injili. Msisubiri kesho.
 
Back
Top Bottom