Ugomvi wa marafiki ulioniacha mdomo wazi!

Umeanza vzuri na lugha ya mtaani umekuja kumalizia na lugha za kwenye intaviu
Mods wanakataza maneno makali ya chumbani. Niombee niyaweke hapa kwa kumwaga radhi..!!
 
AI imeharibu, sometimes translation zinatoa emotional quotient ya stori husika....

Wewe shusha la kiswahili mods hawawezi kufuta
 
AI imeharibu, sometimes translation zinatoa emotional quotient ya stori husika....

Wewe shusha la kiswahili mods hawawezi kufuta
Hamna Ai hapo hata kidogo..!!

Dude lote limetoka kichwani, sema nimeona wengi mnataka kwa kiswahili. Nikipewa ban mnisaidie kunitetea..!! 😹😹
 
Hamna Ai hapo hata kidogo..!!

Dude lote limetoka kichwani, sema nimeona wengi mnataka kwa kiswahili. Nikiolewa ban mnisaidie kunitetea..!! 😹😹
Kama ni kweli you're indeed a writer... Big up
 
Story ya kuchangamsha wapenzi wa kutiana.

Wakati sahihi ni sasa.
Tubuni na kuiamini Injili. Msisubiri kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…