Yusuphamos
Member
- Dec 14, 2011
- 7
- 3
Hongera ni fulsa pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woyiiii anatutangasa sana atiKijana wetu anatutangasa sana sasa umefika wakati wa kumjengea sanamu!
ni maoni tu!!!!!
asande bana si unajua natokea arumeru....nimejirekebisha mkuu
"ANATUTANGAZA"
duh, kazi kweli kweliHuyu Diamond anamloga Ali Kiba nyimbo zake zisipigwe kwenye TV.
unamuongelea swiz beat yupi! huyo aliyepost hivi au? huyu dogo sio level ya kawaida, sio kila kisichowezekana kwako ndio kila mtu anashindwa... na kama haujui kitu basi kaa kimya.Mbona ngoma hatuzioni mara p square mara neyo mara swez beat mara jey z lakini hakuna kitu #au kiki za msimu?
dogo ebu acha mchecheto,mambo ya diamond yanakwenda professionally sio kukurupuka tu...we vuta subra tu vitu vitadondoshwa kwa mpangilio maalum na kwa wakati maalum.Mbona ngoma hatuzioni mara p square mara neyo mara swez beat mara jey z lakini hakuna kitu #au kiki za msimu?
Mwanaume omba sana upate mwanamke mwenye akili na anaejitambua. ukimpata huyo jua tyr umetoka.
Nyuma ya Diamond yuko mwanamke Zarina Hassani huyo ndo nguzo kuu yake amemsaidia sana hasa kimataifa
Hapo ndipo ule msemo unapotimia. kwamba kwenye mafanikio ya mwanaume jua nyuma yake yuko mwanamke
Pia kamroga wema afulie kila anapojaribu kupanda mlima wa mafanikio anaangukia pua,Range rover inadaiwa kodi milioni 92_Diamond bring back our wemaaaa,unatembelea nyota yake,unamfuja tuuuHuyu Diamond anamloga Ali Kiba nyimbo zake zisipigwe kwenye TV.
Unafikiri chuki zingine zina maana basi!! Mi mwenyewe nilikuwa naichukia Liverpool kisa tu Simba walikuwa wanajiita Liverpool ya Msimbazi... sasa wapi na wapi!!Daaaaaaaaaaaaaah,
Hivi jamani tuwe wakweli, "HIVI UNAANZAJE KUMCHUKIA HUYU JAMAA"?