Ugomvi wa P-Square unamvyomnufaisha Diamond Platnumz

Ugomvi wa P-Square unamvyomnufaisha Diamond Platnumz

forever_vickie.jpg
 
Kuna kipindi nilikuaga shabiki wa kiba,kila siku nikawa naumia uku navunga kumchukia diamond,,ogopa kumchukia mtu ambae kila siku anakuumiza tu kwa vitu vyake vikali wakati unaempenda yeye ndio kwanza anacheza na diamond mwituni.

Mi mpaka sasa ni shabiki wa kiba japo ananiboa kwa upuuzi wa kuchezea kipaji chake..yaani sijui yupoje..hajui kujieleza kwenye inteview hana mikakati inayoeleweka ..unaweza kutetea mziki wake humu kumbe mwenzio yupo jangwani anacheza mpira ..hana hata mpango wa kujisumbua studio..haf siku hizi ana swaga za kibwege bwege yaani aaghh.....watu wakikua ndio wanapata akili lkn yeye ndio anakua kama zezeta...kiba wa macmuga na Cinderella sio huyu kabisa...yaani sasa amebaki yoooo..yooo..yooo..sa ndio nini....aggh ngoja nilale mm
 
Ali k nae ajiongeze jamani katika kutafta fursa.
 
Hivi kwanin mnapenda kumtaja kiba jamani bila ya yeye mambo kwani hayaendi ??? Acheni hizo bhanaa
 
Back
Top Bottom