MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Twaomba mungu azidi kuwa nayeAnajua kutafuta fursa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twaomba mungu azidi kuwa nayeAnajua kutafuta fursa
KabisaTwaomba mungu azidi kuwa naye
Usijali yeye Ni wahapa hapa....!Ali Kiba yupo bize anashoot na Nuh Mziwanda.
Teh teh teh halafu wimbo wanaoshoot kiba na mziwanda unaitwa jike shupa...apo ndo utakufa sasaAli Kiba yupo bize anashoot na Nuh Mziwanda.
Cc; jirani nifah[emoji14]Ali Kiba yupo bize anashoot na Nuh Mziwanda.
Kuna kipindi nilikuaga shabiki wa kiba,kila siku nikawa naumia uku navunga kumchukia diamond,,ogopa kumchukia mtu ambae kila siku anakuumiza tu kwa vitu vyake vikali wakati unaempenda yeye ndio kwanza anacheza na diamond mwituni.
Acha uongo mbona anapiga shoo hapa simiyu?! 😀Ali Kiba yupo bize anashoot na Nuh Mziwanda.
Go diamond.....
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahahhahaahAli Kiba yupo bize anashoot na Nuh Mziwanda.
[emoji81] [emoji87] !!Kijana wetu anatutangasa sana sasa umefika wakati wa kumjengea sanamu!
ni maoni tu!!!!!
Ali Kiba yupo bize anashoot na Nuh Mziwanda.
Ali kibago lazima atajwe coz yeye ni like nyau anaetaka kushindana na SIMBAHivi kwanin mnapenda kumtaja kiba jamani bila ya yeye mambo kwani hayaendi ??? Acheni hizo bhanaa
Sio wa kimataifa!Usijali yeye Ni wahapa hapa....!
Haaaaaaaaa.....haaah umenifanya nicheke kwakweli.. now nalala nikiwa so happy huu ndo uzuri wa jf. God bls uYule King Kibakuli.....nasikia yupo msituni sorry mbugani anatafuta Ndovu (tembo) wazuri wa kushoot nao.....