Ugomvi wa P-Square unamvyomnufaisha Diamond Platnumz

Angekuwa anajua na kuimba sasa..
 
Mbona ngoma hatuzioni mara p square mara neyo mara swez beat mara jey z lakini hakuna kitu #au kiki za msimu?
unamuongelea swiz beat yupi! huyo aliyepost hivi au? huyu dogo sio level ya kawaida, sio kila kisichowezekana kwako ndio kila mtu anashindwa... na kama haujui kitu basi kaa kimya.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-04-27-18-27-33.png
    49.7 KB · Views: 35
Mbona ngoma hatuzioni mara p square mara neyo mara swez beat mara jey z lakini hakuna kitu #au kiki za msimu?
dogo ebu acha mchecheto,mambo ya diamond yanakwenda professionally sio kukurupuka tu...we vuta subra tu vitu vitadondoshwa kwa mpangilio maalum na kwa wakati maalum.
 
Huyu Diamond anamloga Ali Kiba nyimbo zake zisipigwe kwenye TV.
Pia kamroga wema afulie kila anapojaribu kupanda mlima wa mafanikio anaangukia pua,Range rover inadaiwa kodi milioni 92_Diamond bring back our wemaaaa,unatembelea nyota yake,unamfuja tuuu
 
Wakati daimond akishoot video na p square.

Ali kiba anajiandaa kufanya kollabo na mr blue na hakimu 5....
 
Daaaaaaaaaaaaaah,

Hivi jamani tuwe wakweli, "HIVI UNAANZAJE KUMCHUKIA HUYU JAMAA"?
Unafikiri chuki zingine zina maana basi!! Mi mwenyewe nilikuwa naichukia Liverpool kisa tu Simba walikuwa wanajiita Liverpool ya Msimbazi... sasa wapi na wapi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…