Ugomvi wazuka kati ya marafiki wakubwa Munalove na Wema sepetu

Muna nahisi atakua na fake acc ile inaitwa kamanda wa munalove ndo inayomjibu wema
 
Tumesha wazoeya sisi tunataka kazi za sanaa sio wajitambe na kulogana sanaa bongoblmeshuka natunaowategenea wanacho jua kwasasa ni kiki za kipuuziiiii wajitambue niwasanii wanaotazamwa na watu.
Mambo.....love yuuu[emoji7] [emoji7]
 
 
Wema hivi ana kazi gani mjini kaajiliwa na kampuni gani
Wema sepetu a.k.a Tz sweetheart ana kazi zifuatazo:

- Ana kampuni endless fame ( film industry)

- Ana lipsticks anaziuza nchini lakini vile vile ana branches abroad including German, Canada, Australia n.k.

- Ana kipindi cha In my shoes

-Anamiliki Appl.

- Ana entertain kwenye shughuli za watu kwa kumkodisha eg. Vigodoro, bazuka, baikoko etc.

- Ni jaji wa mashindano kuanzia vitongoji hadi Miss Tz

Nadhani mkuu umejua sasa kazi za Tanzania Sweetheart wetu, tupromote kazi zake jamani![emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Yaani unamshabikia huyu wema wa sasa kwa sababu ya tukio moja la 2006!!! [emoji15]
 
Halaf utuletee na sisi huku wengine hatuingii huko
tehe tehe tehe tehe kwanini huingi, yani ni kuzuri sana, haya turudi kwenye ubuyu, eti rose kawa shostito wa mama wema, hadi mama hana muda na mwanawe (wema), viwanja hadi usiku wa manane.
 
wema bora angenyamaza tu

kuandika gazeti lile kwa muna ni upuuzi tu!

nimezidi kumuona chizi
halafu Muna na werevu wengine anamcheka
wanamtekenya kidogo tuu!

anapandisha midadi!
tehe tehe tehe tehe kwanini huingi, yani ni kuzuri sana, haya turudi kwenye ubuyu, eti rose kawa shostito wa mama wema, hadi mama hana muda na mwanawe (wema), viwanja hadi usiku wa manane.
 
namba mbili kutokea chini nimeipenda tehe tehe tehe
 
Unajuaje kama Diamond Platnumz angekuwa alipo sasa, ingetokea bado yupo na wema?
Hilo nalo neno mujarab ,ndomo alishtuliwa kuwa pale sipo na kweli .angeishia kuwa shoga ...
Na kwa usawa huu wa mkulu mapedezyee waliokuwa wakimpa biti sepenga jeuri na wao wako juu ya mawe mbona kesha !
Aendelee tu na ndoto zake na mipango za kurudiana na ndomo kivyovyote vile !
 
saa muna naeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hivi kweli alion akatika watu wote w akuwaroga ndo wema?
ili achukue hiyo nyota ya kimuli muli au?
 
Nadhani sasa unaweza kunielewa kwanini huwa nasema Wema kichwa hakipo sawa...
 
wapo wanaotaka umaarufu kunukaa!!

Ila hata wale kina junaithar,joan na switielorah wajiangalie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…