Ugomvi wazuka kati ya marafiki wakubwa Munalove na Wema sepetu

Ugomvi wazuka kati ya marafiki wakubwa Munalove na Wema sepetu

Usinikumbushe kuhusu Lipstic jamani[emoji38][emoji38]!!
Zile Lipstic zilikuwa zinafata nyayo za show ya Diamond ya fromtandaletotheworld[emoji38]!Diamond alikuwa akienda ujerumani kwenye show basi siku ya pili Wema na yeye anatangaza lipstic zake zimefika Ujerumani[emoji23]!

Nassibu alikuwa akiperform Canada basi na Kiss za Wema utasikia zimetua Canada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!

Wallah Wema mungu akuweke hai zaidi nizidi kucheka mimi[emoji38][emoji38][emoji38]maana ni zaidi ya Kansiime..
[emoji23][emoji23][emoji23]lipstik zilitembea kufata show za mond sijui nazo ziliishia wapi
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ha
Uchumi wenyewe wanaujua basi ndugu yangu? Stress tu!!!

Msameheni bure huyo, hajui hata jinsi takutumia jf, anadhani mafounder wa jf walivyoweka forums mbalimbali walikua vichaa!.

Binadamu tunatofautiana kunawengine wanapenda comedy, wengine michezo, wengine siasa nk

Sasa Kama anadhani story za kwenye hii forum hazipendi aende kwenye forum/s anazozipenda na zinazoendana na yeye.
 
Kuna clip moja huko Leo inazurura IG, Sweetheart anatekenyana na limbwa (Gucci) lake, kama sijamuelewa hivi ???...kama yuko high kinoma!
 
ni shida wema

anapenda kunyenyekewa kama mungu mtu !
halafu nimegundua timu wema ni vitoto vidogo visivyo na lifeee

ndo maana Milly mtu mzima alijitoa wengine wale wapuuzi tuuu wasio na kipato chochote zaidi ya kutegemea matangazo ya IG wale!
awaumbe wake wamnyenyekee
cjui atakua lini mana tumeshasubiri mpaka tumechoka.......kiumbe gani kisichojua kujirekebisha kutokana na makosa.kila siku drama hizohizo
Milly alistuka akaona ufwala huu
Mange mwnywe kachoka anaona haya tu kukiri hadharani
 
[emoji23][emoji23][emoji23]lipstik zilitembea kufata show za mond sijui nazo ziliishia wapi
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app

Nakumbuka oyooooo kiss zimetua Denmark weka oda. Oyyyoooo kiss zimefika UK. Mara TBT Paris yawazazi halafu ooyyooo kiss mzigo umeshafika hapo. Khaaa huku anajisnap yeye anavyonunua MAC. . Tour ilivyoisha, kiss zikarestishwa in peace.
 
alafu wema ndo ana act victim kwenye kila ugomvi yaan anachosha huyu mdada basi tu
hapo tu ndo anaponichoshaga.............kamalaika mtu kumbe kota tu.na hizi team zake sasa znaeza zikakufanya dunia chungu muna huko aliko anaugulia
 
Mwanamke una akili wewe!!Exactly!!Wema bado yuko kwenye battle na Zari ameshindwa kumrudisha bwana basi anataka awarudishe marafiki

Anaota !
Zari ana jielewa na haishi kwa kupapasa gizani kama huyo mawe ......
Atafute tu kiki nyingine .....
Anachuja kwa speed mbaya .
 
Na idrisa nae mbea mbea hivi.ni kama anayafurahia.ila wema sometimes namuonea huruma ana chance nzuri ya ku make money ila ndio hivyo.bora abaki na martin kadinda tu
 
wema ndo ana shida nimegundua hivi kila shost anagombana nae kweli wote wagomvi yy ndo mwema!

yule binti ana kibri sana ndo maana mashoga zake wengi alowazidi kipato anaofanana nao hawataki!!

ana shida wemaa
Sepenga anajiona yeye ni queen of the jungle anapaswa kunyeyekewa na kubembelezwa na mashost,
hao kina petit walikua wanazabwa mavibao hadharani alafu wanaishia kusema "sorry madame"
 
Usinikumbushe kuhusu Lipstic jamani[emoji38][emoji38]!!
Zile Lipstic zilikuwa zinafata nyayo za show ya Diamond ya fromtandaletotheworld[emoji38]!Diamond alikuwa akienda ujerumani kwenye show basi siku ya pili Wema na yeye anatangaza lipstic zake zimefika Ujerumani[emoji23]!

Nassibu alikuwa akiperform Canada basi na Kiss za Wema utasikia zimetua Canada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!

Wallah Wema mungu akuweke hai zaidi nizidi kucheka mimi[emoji38][emoji38][emoji38]maana ni zaidi ya Kansiime..
Hahahaha ila jamani kuna ukweli in a way. Mimi sijivungi nampenda kweli Wema maskini sema akili yake kama maziwa mgando, yaani kilaza sijawahi ona. Hadi mamaake anasema kabisa Wema ana akili nzito! Alafu anapenda tu starehe sio kufanya kazi. Mamaake anamuambia afanye kazi sasa hivi akizeeka hatoweza, na ashukutu ana mama wa kumuasa ila ndo maskini skio la kufa haliskii dawa. Ananiudhi tabia ya kushinda mitandaoni hata hao wagunduzi wa mitandao hawashindi mitandaoni hivyo kuexpose maisha yao. Wema ni kama hajiwezi bila kiki ya mashabiki! Sasa akizeeka sijui atakuwaje maskini. Kingine kinaniudhi ujinga wa kuweka maisha yake ya kimapenzi motandaoni, for what jamani?! Yaani tabu tupu aisee. Ila nampenda maskini[emoji22]
Aliwaita timu yake
 
[HASHTAG]#bringbackourwemasepetu[/HASHTAG] hii kauli mbiu ilimponza sana sepenga asa iv angekuwa madale akila bata tu na ndomo
Na yote hii ni sababu ya wema kuskiza sauti za watu kisa eti mashabiki! Yaani wema hajui kuwa miluzi mingi humpoteza mbwa! Saa hizi angekuwa katulia tulii na diamond anakula bata maskini maana diamond alikuwa anampenda sana eti wema akamuacha kisa hashtag za mashabiki si ujinga ni nini jamani. Sasa ukute inamuuma kweli kuona mwanamke mwingine ndo anafaidi matunda ya diamond
 
hunishindi mimi......inaeza ikawa labour nayo dawa.tumuombe wema naye akizaa may be atabadilika
Kuna watu wamezaa watoto 6 na kichwani ni vilaza certified. Labour sio dawa, wema abadili tu tabia ama afanyiwe psychotherapy tena kwa muda mrefu
 
Na idrisa nae mbea mbea hivi.ni kama anayafurahia.ila wema sometimes namuonea huruma ana chance nzuri ya ku make money ila ndio hivyo.bora abaki na martin kadinda tu
Martin tena wakati alimkata hela ya kiwanja kile alichikitaja kwenye bathidei kwenda kukiona kiwanja hakilingani na gharama alonunulia wakaishia hapo hawako sawa na martin
 
Back
Top Bottom