Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha haha ha ha ugoni wa kusingziwa raha sana aisee..... maana unakua mpoleeee unatia huruma
omba yasikukuteha ha ha
uyaskie tu kwa mwenzioomba yasikukute
asante mkuu.duuuh pole sana mkuu isije ikawa ni mbinu za kibiashara wakufukuzishe mtaa kijanja,INAONEKANA UNAPATA KIPATO KIZURI AU HUYO DADA ALIKUWA ANAKUPENDA TOKA KITAMBO AKAONA BORA AKUTAJE WEWE HATA KIKISANUKA AHAMIE KWAKO.DAAAH ILA BINAMU WABAYA AISEE SASA AKIKUFANYIA KITU MBAYA NA MZIGO HUJALA ITAKUWAJE.
THEN NENDA KAREPORT KITUO CHOCHOTE CHA POLICE WAKUPE ULINZI LIKITOKEA LA KUTOKEA
Mzee unamtafutaje hapo?duh mtafute huyo mke wake muulize kwa nini kakutaja wewe? utakuwa ulikuwa kwenye list yake
naashukuru.Mmhhh, huyo mama muuaji! Yawezekana kataja kijana wa saloon ya kike lakini nyingine si wewe! Hilo suala katoe taarifa polisi kwani huyo mama anahatarisha maisha yako. Aitwe ahojiwe ili atoe ufafanuzi. Pia hiyo itakuwa kinga kama mumewe ana mpango wa kukudhuru akiamini kuwa ni mgoni wake. Angalizo:- Hii ni kama umesingiziwa. Kama unamkula huyo mama hama huo mtaa haraka. Mke anauma aisee!!!!
asante kwa ushauri.Nenda kwa Mwenyekiti wa Mtaa muelezee ukweli halisi,muombe yeye na Mtaa mzima Wakulinde na Wakupiganie maana muda wowote utafanyiwa kitu mbaya.
M/kiti akishakuelewa maana mpaka sasa kama ni Makini atakua kashajua ukweli,nendeni Polisi na mkaripoti huko.
Hizo ni hila za Walimwengu tu ndugu.
Pole sana.