Ugonjwa ninao changamoto ni matumizi ya dawa

Sadly watu mada wameigeuza kijiwe cha utani,mdogo'angu nenda hospital humu mmejaa akili mbovu mfano angalia wengi waliotoa maoni hapo juu.

Yapo mazoezi yasiyokutaka kutumia nguvu nyingi kama kukimbia (jogging) inaweza kusaidia but muhimu sana mapema hii kaonane na wataalamu kabla hali haijawa mbaya zaidi,kumbuka kadiri utakavyowahi tiba ndivyo utakavyopunguza muda wa kujitibia na gharama pia.
 
Habari za muda huu wakuu,

Naandika hapa nikiwa kijana mdogo(me), pre 20 yrs, nikiwa na heshima kubwa kwa wanajukwaa wote hasa wale walio na uelewa wa masuala ya afya.

Kwa siku kadhaa sasa nimekuwa nikiona damu nyekundu ang’avu wakati wa haja kubwa, hasa pale ninapojikamua chooni. Sina maumivu makali wala muwasho, lakini hali hii imenipa wasiwasi mkubwa. Baada ya kufanya utafiti wa awali kwa kusoma baadhi ya mada humu JamiiForum na vyanzo vingine, nimehisi huenda ni dalili za bawasiri ya ndani (internal hemorrhoids).

Sasa, kabla sijachukua hatua yoyote ya kutumia dawa, nilishauriwa na rafiki mmoja kuhusu Anusol Suppositories, kama njia ya kutuliza tatizo hili kwa hatua za awali.
Hata hivyo, sijaanza kutumia bado. Nimeona ni vyema kuomba maoni na ushauri kutoka kwa wakuu humu kabla ya kufanya uamuzi wowote.

Sababu kuu iliopelekea nisianze tiba ni matumizi yake hii dawa ipo vice versa wakuu yaani hahiitaji mdomo ndo ule dawa inahitaji anus ndo ile dawa

1. Je, Anusol Suppositories ni salama kwa kijana mwenye umri chini ya miaka 20?

2. Kuna madhara yoyote yanayoweza kujitokeza kwa kutumia dawa hii?

3. Kuna njia mbadala – kama lishe, mazoezi au tiba asilia – ninazoweza kuanza nazo kabla ya kutumia dawa?

Sitafuti tiba kamili hapa, bali mwanga na ushauri kutoka kwa wale waliowahi kupitia hali kama hii au walio na uelewa wa tiba. Niko tayari kusikiliza kila mchango wa kujenga.

Nawashukuru sana kwa kunisoma, na kwa yeyote atakayechangia nitathamini sana ushauri wenu.🙏

Note:Mficha maradhi umauti humuumbua

Nikisema niwe general kabisa kabisa ntakushauri hivi .....

Kijana lishe ndo Kila kitu katika kuzuia majanga na kujenga afya ... Afya ikishazingua dawa inakuwa Haina budi kuhusika.

Sasa nenda hospital fanya watachokwambia ... Ila from here.
Per day hakikisha umepiga walau tundra moja na pia usiungue kunywa maji one litre per day ..

Matunda muhim wakati upo kwenye gali Kama hii ni papai, parachichi, ma staferi na mboga za majiani, bamia na na bila kusahau limau kwenye chai walau Mara moja mbili per week ili kukausha majeraha yoyote ya ndani.
 
Unataka kufanya makosa makubwa sana sana. Nenda kwanza hospital dakta akufanyie vipimo kujua tatizo ni nini.
 
Nikisema niwe general kabisa kabisa ntakushauri hivi .....

Kijana lishe ndo Kila kitu katika kuzuia majanga na kujenga afya ... Afya ikishazingua dawa inakuwa Haina budi kuhusika.

Sasa nenda hospital fanya watachokwambia ... Ila from here.
Per day hakikisha umepiga walau tundra moja na pia usiungue kunywa maji one litre per day ..

Matunda muhim wakati upo kwenye gali Kama hii ni papai, parachichi, ma staferi na mboga za majiani, bamia na na bila kusahau limau kwenye chai walau Mara moja mbili per week ili kukausha majeraha yoyote ya ndani.
Shukran san
 
Habari za muda huu wakuu,

Naandika hapa nikiwa kijana mdogo(me), pre 20 yrs, nikiwa na heshima kubwa kwa wanajukwaa wote hasa wale walio na uelewa wa masuala ya afya.

Kwa siku kadhaa sasa nimekuwa nikiona damu nyekundu ang’avu wakati wa haja kubwa, hasa pale ninapojikamua chooni. Sina maumivu makali wala muwasho, lakini hali hii imenipa wasiwasi mkubwa. Baada ya kufanya utafiti wa awali kwa kusoma baadhi ya mada humu JamiiForum na vyanzo vingine, nimehisi huenda ni dalili za bawasiri ya ndani (internal hemorrhoids).

Sasa, kabla sijachukua hatua yoyote ya kutumia dawa, nilishauriwa na rafiki mmoja kuhusu Anusol Suppositories, kama njia ya kutuliza tatizo hili kwa hatua za awali.
Hata hivyo, sijaanza kutumia bado. Nimeona ni vyema kuomba maoni na ushauri kutoka kwa wakuu humu kabla ya kufanya uamuzi wowote.

Sababu kuu iliopelekea nisianze tiba ni matumizi yake hii dawa ipo vice versa wakuu yaani hahiitaji mdomo ndo ule dawa inahitaji anus ndo ile dawa

1. Je, Anusol Suppositories ni salama kwa kijana mwenye umri chini ya miaka 20?

2. Kuna madhara yoyote yanayoweza kujitokeza kwa kutumia dawa hii?

3. Kuna njia mbadala – kama lishe, mazoezi au tiba asilia – ninazoweza kuanza nazo kabla ya kutumia dawa?

Sitafuti tiba kamili hapa, bali mwanga na ushauri kutoka kwa wale waliowahi kupitia hali kama hii au walio na uelewa wa tiba. Niko tayari kusikiliza kila mchango wa kujenga.

Nawashukuru sana kwa kunisoma, na kwa yeyote atakayechangia nitathamini sana ushauri wenu.🙏

Note:Mficha maradhi umauti humuumbua
Dhamira yako ni mbaya upo kimkakati kuhimiza ushoga...i smell something fishy in you.
 
Habari za muda huu wakuu,

Naandika hapa nikiwa kijana mdogo(me), pre 20 yrs, nikiwa na heshima kubwa kwa wanajukwaa wote hasa wale walio na uelewa wa masuala ya afya.

Kwa siku kadhaa sasa nimekuwa nikiona damu nyekundu ang’avu wakati wa haja kubwa, hasa pale ninapojikamua chooni. Sina maumivu makali wala muwasho, lakini hali hii imenipa wasiwasi mkubwa. Baada ya kufanya utafiti wa awali kwa kusoma baadhi ya mada humu JamiiForum na vyanzo vingine, nimehisi huenda ni dalili za bawasiri ya ndani (internal hemorrhoids).

Sasa, kabla sijachukua hatua yoyote ya kutumia dawa, nilishauriwa na rafiki mmoja(yeye ni daktari) kuhusu Anusol Suppositories, kama njia ya kutuliza tatizo hili kwa hatua za awali.
Hata hivyo, sijaanza kutumia bado. Nimeona ni vyema kuomba maoni na ushauri kutoka kwa wakuu humu kabla ya kufanya uamuzi wowote.

Sababu kuu iliopelekea nisianze tiba ni matumizi yake hii dawa ipo vice versa wakuu yaani hahiitaji mdomo ndo ule dawa inahitaji anus ndo ile dawa

1. Je, Anusol Suppositories ni salama kwa kijana mwenye umri chini ya miaka 20?

2. Kuna madhara yoyote yanayoweza kujitokeza kwa kutumia dawa hii?

3. Kuna njia mbadala – kama lishe, mazoezi au tiba asilia – ninazoweza kuanza nazo kabla ya kutumia dawa?

Sitafuti tiba kamili hapa, bali mwanga na ushauri kutoka kwa wale waliowahi kupitia hali kama hii au walio na uelewa wa tiba. Niko tayari kusikiliza kila mchango wa kujenga.

Nawashukuru sana kwa kunisoma, na kwa yeyote atakayechangia nitathamini sana ushauri wenu.🙏

Note:Mficha maradhi umauti humuumbua

Pole,

Kifupi dawa haina shida kuitumia IWAPO una tatizo husika.

Kutumia tiba bila uhakika wa tatizo:
1: Unapoteza muda na tatizo kuongezeka.
2: Unapoteza pesa
3: Utafika kituo cha afya na madhira zaidi/complications. Mfano: upungufu mkubwa wa damu nk.

Tatizo unalolieleza linaitwa lower gastrointestinal bleeding disorder. Ukiangalia, linaweza kusababishwa na matatizo 14 ya mfumo wa chini wa chakula. Sasa hapo hujui ni lipi liko kwako.

Hapo ndo umuhimu wa mtoa huduma ya afya kukusikiliza na kutafuta suluhu pamoja inapokuhitajika. Usijichukulie sheria mkononi in madhara yake.
 
Back
Top Bottom