For my experience, suala la Afya ya akili lingepaswa kupewa kipaumbele kuanzia kwenye elimu ya Msingi mpaka vyuo vikuu.Tukielekea siku ya afya ya akili duniani ambayo huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka, hospitali ya watu wenye ugonjwa wa akili, Mirembe imetoa takwimu ya wagonjwa inayowapokea kwa siku.
Mirembe inapokea wagonjwa 30 mpaka 70 kila siku. Inawezekana visa vingi vya mauaji/kujiua vinayotokana na mapenzi na mengineyo vilivyoripotiwa na ambavyo havijaripotiwa tatizo lake linaanzia hapa.
Kama Taifa tunafanyaje kuvuka hapa?
View attachment 2379330
Tozo inaleta uchiziTukielekea siku ya afya ya akili duniani ambayo huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka, hospitali ya watu wenye ugonjwa wa akili, Mirembe imetoa takwimu ya wagonjwa inayowapokea kwa siku.
Mirembe inapokea wagonjwa 30 mpaka 70 kila siku. Inawezekana visa vingi vya mauaji/kujiua vinayotokana na mapenzi na mengineyo vilivyoripotiwa na ambavyo havijaripotiwa tatizo lake linaanzia hapa.
Kama Taifa tunafanyaje kuvuka hapa?
View attachment 2379330
Mzee ukachekiwee πππWanatutisha tu wengine maralia. Wangapi wanatoka kwa siku? Maana 30 kwa siku ni 900 kwa mwezi imagine hospital ingetosha? Itakua wanaingia 30 wanatoka 29