Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Tukielekea siku ya afya ya akili duniani ambayo huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka, hospitali ya watu wenye ugonjwa wa akili, Mirembe imetoa takwimu ya wagonjwa inayowapokea kwa siku.
Mirembe inapokea wagonjwa 30 mpaka 70 kila siku. Inawezekana visa vingi vya mauaji/kujiua vinayotokana na mapenzi na mengineyo vilivyoripotiwa na ambavyo havijaripotiwa tatizo lake linaanzia hapa.
Kama Taifa tunafanyaje kuvuka hapa?