Ugonjwa wa akili tishio nchini, wagonjwa 30-70 wanapokelewa Mirembe kila siku

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Tukielekea siku ya afya ya akili duniani ambayo huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka, hospitali ya watu wenye ugonjwa wa akili, Mirembe imetoa takwimu ya wagonjwa inayowapokea kwa siku.

Mirembe inapokea wagonjwa 30 mpaka 70 kila siku. Inawezekana visa vingi vya mauaji/kujiua vinayotokana na mapenzi na mengineyo vilivyoripotiwa na ambavyo havijaripotiwa tatizo lake linaanzia hapa.

Kama Taifa tunafanyaje kuvuka hapa?

Screenshots_2022-10-07-06-38-14.png
 
View attachment 2379330
For my experience, suala la Afya ya akili lingepaswa kupewa kipaumbele kuanzia kwenye elimu ya Msingi mpaka vyuo vikuu.

Mental health is everything kuliko utajiri wowote duniani.
 
Tukielekea siku ya afya ya akili duniani ambayo huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka, hospitali ya watu wenye ugonjwa wa akili, Mirembe imetoa takwimu ya wagonjwa inayowapokea kwa siku.

Mirembe inapokea wagonjwa 30 mpaka 70 kila siku. Inawezekana visa vingi vya mauaji/kujiua vinayotokana na mapenzi na mengineyo vilivyoripotiwa na ambavyo havijaripotiwa tatizo lake linaanzia hapa.

Kama Taifa tunafanyaje kuvuka hapa?

View attachment 2379330
Tozo inaleta uchizi
 
Wanatutisha tu wengine maralia. Wangapi wanatoka kwa siku? Maana 30 kwa siku ni 900 kwa mwezi imagine hospital ingetosha? Itakua wanaingia 30 wanatoka 29
 
Mzee ukachekiwee 😂😂😂

Ila naona wakupimwa zaidi ni wabunge, ikiwezekana kuwe na kipengele cha lazima wao kupima
 
Back
Top Bottom