Ugonjwa wa figo umesababisha nishindwe kula kimasihara. Tunzeni figo zenu

Nahisi hiyo figo hajafikia pabaya maana mtu mwenye ugonjwa wa figo, kila muda anahofia uhai wake kuliko kuonesha ufundi kitandani.

Sometimes huwa najiuliza hivi tukitoa ngono watanzania tunabaki na nini cha kufikiria na cha kukihofia.

Hata hivyo acha niwaache wafu mzikane
 
Mkuu siku niko hoi walipima wakakuta inafanya kazi 3% tu it means ni end stage ranal disease. Ukiwaza kufa kufa hutoboi ni kujikubali tu na maisha yaendelee
 
Pole mkuu na ni kweli hutakiwi kuwaza kufa kufa lakini pia kuuchosha mwili. Kuna wagonjwa wa figo nawajua, hata tu kutembea ni shida hivyo, kama wewe umepata neema ya kupata ahueni ya kutembea.

Usiuchoshe mwili lakini pia ni muhimu kuwa karibu na spiritual system itakayokupa amani ya nafsi. Usinisome vibaya kaka, sikupangii maisha lakini ni vyema kutumia wakati wako vizuri. Pole once again mkuu 🙏🏽
 
Asante mkuu
 
Daaah! Ama kweli hujafa hujaumbika

Nilikutwa na shida ya figo na nikapata taarifa kwamba itafika kipindi mzuka wa kula papuchi utaisha.

Jana nimepata demu pisi kali nakwenda nae ghetto mgejege umegoma kutoa ushirikiano nikajua tayari CKD ishafanya yake

Jamani tunzeni figo zenu maana athari moja wapo ya huu ugonjwa ni kushindwa kula mzigo ipasavyo. Unachomeka vizuri unashangaa imelalamo ndani huko huko unabaki kuaibika tu.
Enzi zangu nilikua mtu wa show kali sana ila kwa sasa aaaah! Ngoja niwe single tu.
Una age gani mkuu??
 
Stress nayo inachangia sana tena pakubwa mno, ni kweli unaeza kuwa na shida.ya figo ila mjegeje kutosimama inaeza kuwa ni stress.
Ogopa sana kisukari maana mjegeje hautosimama for good,
 
Bila hata stress inaweza kusababisha hiyo hali, wewe unaelewa vizuri mtu mwenye tatizo la figo zilizofeli au unaongea tuu.

Kisukari mtu akicontrol hakina shida sana.
 
Nimeongelea angle aliyoelekeza mtoa mada, kwanza siamini kama. Mgonjwa serious wa figo anaeza waza ngono badala ya dialysis.
By the way kisukari kinasababisha figo kufeli pia.
 
Back
Top Bottom