Ugonjwa wa figo umesababisha nishindwe kula kimasihara. Tunzeni figo zenu

Binadamu wote kivipi ilhali Japan tu watu wanapewa incentives za kuwa na mahusiano na kuondoka kazini mapema!!..

Usinipate vibaya Sio ila sisi watu weusi na wenzetu wengi ambao hatujaendelea kama baadhi ya asians na latinas. Tuna obsession kali sana ya ngono
Mkuu Hao Japan unaowaongelea mwaka 2022 walikuwa million 125.1 as twice as compared to Tanzanian population by that period of time. We all adults here we all know ngono mtoto wake ni kuongezeka kwa idadi ya watu.

Africa population ni 1.5 billion while India alone wako 1.47 billion. Wapi hapa wanafanya ngono na kuzaana zaidi? Don't fall into western trap kwamba all bad things print on Africans! Mimi huwa nakataa kuambiwa eti watanzania/waafrica tunapenda ngono kuliko kitu kingine while wao wanaotubrand ndio wako wengi zaidi ukichukulia all other factors, waafrica hatuna uzazi wa mpango, poor technology wakati wao wana uzazi wa mpango na more advanced technology na bado wametuzidi idadi ya watu halafu useme sisi tunapenda ngono, BIG NO TO ME.
 
Upo kwenye activism mkuu, mimi sipo huko.

Na hatuangalii tu idadi ya watu ila tunaangalia wastani wa mzazi na watoto. Unaweza sema China wanazaana sana ila kumbe ratio ni mzazi mmoja ana watoto wawili while huku Tanzania ni mzazi mmoja watoto watano

Lakini pia unatakiwa ulinganishe age ratio. Kuna nchi wazee ni wengi ila huku karti watoto ni wengi na birth rate ni kubwa zaidi.

Au ulinganishe nchi za muda mrefu na zenye eneo kubwa kama, Marekani, China au urusi na nchi ndogo kama Tanzania. Lazma utaona idadi ya watu ni kubwa

Kikubwaaaaaa zaidi angalia dependency ratio na working culture ya watu. Ndio utajua which is which.

Sipo katika activism au pan africanism lakini mimi pia sio brainwashed na hizo international media. Ila penye ukweli tuseme ukweli, waafrica au watu weusi plus wenzetu ambao hawajaendelea kama latinas na baadhi ya Asians. Tuna obsession ya ngono kupitiliza
 
All these hypothesis zingekuwa up side down only if black men wangekuwa more successful kuliko Caucasian na hizo races zingine. Hivi ushawaza Africa kama ndio angekuwa colonizers halafu mifumo yote ikawa settled nasisi, vitabu mbalimbali vya kubrainwash watu tungeviset sisi, tukaeneza every possible propaganda ingekuwaje?? I'm stuck with my ideas.
 
Nahisi hiyo figo hajafikia pabaya maana mtu mwenye ugonjwa wa figo, kila muda anahofia uhai wake kuliko kuonesha ufundi kitandani.

Sometimes huwa najiuliza hivi tukitoa ngono watanzania tunabaki na nini cha kufikiria na cha kukihofia.

Hata hivyo acha niwaache wafu mzikane
bora hata umekomenti tu maana nawazoom tu
 
Acha masikhara na Figo, tulizika jirani yetu kisa huu ugonjwa.
Hatariii sanaa. [emoji22][emoji22][emoji22]
 
Usinywe soda
Usile chips
Usitumie sukari
Fanya mazoezi
You will be fine mkuu.
 
Usinywe soda
Usile chips
Usitumie sukari
Fanya mazoezi
You will be fine mkuu.
Sumu ya soda, chips na sukari vinatolewa kipindi cha dailysis so maisha yanakua poa tu unakula kiepe leo kesho unaingia kwenye machine toxic zote zinatolewa
 
Acha masikhara na Figo, tulizika jirani yetu kisa huu ugonjwa.
Hatariii sanaa. [emoji22][emoji22][emoji22]
Kama hufuati masharti unakunywa vimiminika ovyo ovyo dailysis uhudhurii asee huchukui round unazikwa maana mwil unakua umejaa maji kupumua huwezi, unapata heart attack unakata moto
 
Yaan ni huzuni kwa kwelii, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom