Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
- Thread starter
-
- #21
Mwenyewe nilichungulia kaburi asee ila nikazinduka tena now ni mwendo wa dailysis tuBrother..huu ugonjwa usiuchukulie poa..mwaka jana tumemzika bro wetu kimasihara hivi hivi..
Linda afya yako
R.I.P mwenyewe mkuu. Mungu kanilinda kama kufa ningekufa ile siku nimelazwa ICU ila Mungu kaniamsha tena maisha yanaendeleaR I P
High blood pressure ya muda mrefu bila kuicontrolPole sana,sababu ya kufa Figo ninini?pombe au dawa?
Pole sana mkuu. Naelewa magumu unayoyapitia.Mwenyewe nilichungulia kaburi asee ila nikazinduka tena now ni mwendo wa dailysis tu
Mkuu siku niko hoi walipima wakakuta inafanya kazi 3% tu it means ni end stage ranal disease. Ukiwaza kufa kufa hutoboi ni kujikubali tu na maisha yaendeleeNahisi hiyo figo hajafikia pabaya maana mtu mwenye ugonjwa wa figo, kila muda anahofia uhai wake kuliko kuonesha ufundi kitandani.
Sometimes huwa najiuliza hivi tukitoa ngono watanzania tunabaki na nini cha kufikiria na cha kukihofia.
Hata hivyo acha niwaache wafu mzikane
Pole mkuu na ni kweli hutakiwi kuwaza kufa kufa lakini pia kuuchosha mwili. Kuna wagonjwa wa figo nawajua, hata tu kutembea ni shida hivyo, kama wewe umepata neema ya kupata ahueni ya kutembea.Mkuu siku niko hoi walipima wakakuta inafanya kazi 3% tu it means ni end stage ranal disease. Ukiwaza kufa kufa hutoboi ni kujikubali tu na maisha yaendelee
Hivo ni vitoto vya shule, visamehe bure.Mnaosema chai hivi mtu ajisingizie ugonjwa ili iweje?
Asante mkuuPole mkuu na ni kweli hutakiwi kuwaza kufa kufa lakini pia kuuchosha mwili. Kuna wagonjwa wa figo nawajua, hata tu kutembea ni shida hivyo, kama wewe umepata neema ya kupata ahueni ya kutembea.
Usiuchoshe mwili lakini pia ni muhimu kuwa karibu na spiritual system itakayokupa amani ya nafsi. Usinisome vibaya kaka, sikupangii maisha lakini ni vyema kutumia wakati wako vizuri. Pole once again mkuu 🙏🏽
Una age gani mkuu??Daaah! Ama kweli hujafa hujaumbika
Nilikutwa na shida ya figo na nikapata taarifa kwamba itafika kipindi mzuka wa kula papuchi utaisha.
Jana nimepata demu pisi kali nakwenda nae ghetto mgejege umegoma kutoa ushirikiano nikajua tayari CKD ishafanya yake
Jamani tunzeni figo zenu maana athari moja wapo ya huu ugonjwa ni kushindwa kula mzigo ipasavyo. Unachomeka vizuri unashangaa imelalamo ndani huko huko unabaki kuaibika tu.
Enzi zangu nilikua mtu wa show kali sana ila kwa sasa aaaah! Ngoja niwe single tu.
Pole sana mkuu, unazingatia vizuri Lishe vizuri.. Lishe kwa ESRD in Haemodialysis?Mwenyewe nilichungulia kaburi asee ila nikazinduka tena now ni mwendo wa dailysis tu
Stress nayo inachangia sana tena pakubwa mno, ni kweli unaeza kuwa na shida.ya figo ila mjegeje kutosimama inaeza kuwa ni stress.Daaah! Ama kweli hujafa hujaumbika
Nilikutwa na shida ya figo na nikapata taarifa kwamba itafika kipindi mzuka wa kula papuchi utaisha.
Jana nimepata demu pisi kali nakwenda nae ghetto mgejege umegoma kutoa ushirikiano nikajua tayari CKD ishafanya yake
Jamani tunzeni figo zenu maana athari moja wapo ya huu ugonjwa ni kushindwa kula mzigo ipasavyo. Unachomeka vizuri unashangaa imelalamo ndani huko huko unabaki kuaibika tu.
Enzi zangu nilikua mtu wa show kali sana ila kwa sasa aaaah! Ngoja niwe single tu.
Bila hata stress inaweza kusababisha hiyo hali, wewe unaelewa vizuri mtu mwenye tatizo la figo zilizofeli au unaongea tuu.Stress nayo inachangia sana tena pakubwa mno, ni kweli unaeza kuwa na shida.ya figo ila mjegeje kutosimama inaeza kuwa ni stress.
Ogopa sana kisukari maana mjegeje hautosimama for good,
Nimeongelea angle aliyoelekeza mtoa mada, kwanza siamini kama. Mgonjwa serious wa figo anaeza waza ngono badala ya dialysis.Bila hata stress inaweza kusababisha hiyo hali, wewe unaelewa vizuri mtu mwenye tatizo la figo zilizofeli au unaongea tuu.
Kisukari mtu akicontrol hakina shida sana.