Ugonjwa wa Gauti(Gout): Chanzo, Dalili na Tiba yake

watu tumekula toka tunazaliwa mpaka tunaelekea kuzeeka ndo unatuambia tusile ni sumu? a u serious? hebu acha utani wako mkuuuuu
 
Jamaa analosema ni kweli, kuna kipindi nimekula nyama ya mbuzi kibaha mwezi mzima daily, madhara yake nimeyaona baada ya miezi miwili,joint ziliuma sana, nkatumia pain killer's, nkidhani ni muscle pull, lakin wapi nimeteseka sana
Du daily mwezi mzima...hapo hata ungekua unakula
Jamaa analosema ni kweli, kuna kipindi nimekula nyama ya mbuzi kibaha mwezi mzima daily, madhara yake nimeyaona baada ya miezi miwili,joint ziliuma sana, nkatumia pain killer's, nkidhani ni muscle pull, lakin wapi nimeteseka sana
Du daily mwezi mzima...hapo hata ungekua unakula dagaa zingekuzingua tu
 
Jamani mimi mwenyewe kabisa hiyo nyama ndio kitoleo chetu kikuu kabisa huku tuliko na huu ni mwaka wa tatu ni mbuzi tu na kwenda mbele, kwa mwezi naweza sema ni siku tatu au nne labda kutumia kitoleo chengine kwa hiyo hapo ni vipi Jamani?
 
Wazee wa ndafu karibuni kwenye kiti moto nyama nyeupe tamu na isiyokuwa na madhara
 
mkuu shida sio cholesterol, shida ni purines

purines zikiwa metabolized mwisho wa siku ndio tunapata uric acid

Dawa ni Allopurinol, inazuia huo mgeuzo wa purines kwenda uric acid
 
mkuu mara 2?? tena vya vpande vya mgawo
Kama ni kufa acha tuu nife lakini kuacha kula mbuzi hapana. Oodee. Kwanza Bora ufe na magonjwa haya kuliko ule ugonjwa wetu pendwa,
Ujue Kuna magonjwa ya heshima na mengine ya dharau. Mtu akisikia unaumwa
Presha, sukari, gaot, chumvi. Anakuheshimu. Akisikia unaumwa ule ugonjwa mwingine. !!!!! Woooyi
 
Acheni kudanganya watu ninyi na hizi habari zenu fake! Babu yangu amekula nyama ya mbuzi maisha yake yote na hakuwahi kuugua Gout wala nini, familia yetu tunakula mbuzi na hatujawahi kusikia mtu anaugua hiyo Gout.
 

Pharma D hiyo gout churna inapatikana wapi hapa Dar? Kuna jamaa yangu yuko hoi na gout.

Tiba
 

Albosignathus,

Ulifanikiwa kupata dawa? Ulipona?

Tiba
 
Mi inanitesa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…