Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Ilikuwa tar 28/11/2024 nilikuwa nimeamka vizuri kabisaa
Baada ya kunywa chai nikaelea kazini kwangu nikiwa njiani nikapokea simu kutoka kwa wateja wangu wa muda mrefu wa soya beans kutoka Dar
Nilisalimiana nao kisha wakanipa oda ya tani 112 za soya beans
Baada ya kufika ofisini Nikaanza utaratibu wa kuuandaa mzigo huo na baada ya kuwasiliana na jamaa zangu wanaoniletea mzigo, Wakaniambia Kuna tani 30 zipo tayari nikazione haraka
Baada ya kufika ulipo mzigo nikaukagua na kuridhika na kiwango chake
Kisha nikatuma samples kupitia what's up na matajiri zangu wa huko Dar wakaupenda mzigo na sasa wakasema wanasubiri mwidhinishaji wa company yao kuhusu Mambo ya pesa
Hivyo ikabidi nisubiri mpaka mtu wao Huyo atakapofika na kuingiza kiasi cha pesa kinachotakiwa kulipia mzigo huo
Kusudi baada ya kuingiziwa pesa hizo Basi niulipie niupakie na kuwa tumia mzigo wao
Baada ya kusubiri kwa dakika kadhaa ghafra nikaanza kujiskia kichefu chefu haikuwa kawaida yangu kujiskia vile
Lakini nikaona huenda ni Hali ya kawaida tu
Baada ya muda kidogo ile Hali ya kujiskia kutapika ikazidi kuniendesha
Ndipo Nikaamua kwenda bar iliyo karibu na kuingia chooni huko nikatapika karibia chai yote niliyopata nyumbani na kurudi eneo la kazi/ilipo soya
Nikiwa naendelea kusubiri pesa iingie niliendelea kujiskia kichefu chefu zaidi
Nikawaza na kujishauri huku nikijisemea moyoni hii Hali sio ya kawaida inanibidi niende nyumbani nikatulie kwanza nijiangalie nikiwa naendelea kusubiri Hawa wanunuzi wa soya wanitumie pesa
Baada ya hapo Nikakata shauri la kufanya hivyo Kisha nikaanza safari ya kurudi nyumbani
Baada ya kufika nyumbani nikaomba rimao nikiwa naendelea kusubili rimao nikaona ngoja niende na chooni
Hatimaye baada ya kuingia chooni na kumaliza kujisaidia nikakaka kuinuka ili nifanye usafi/flashing
Cha ajabu nilipo taka kuinuka Nika gundua miguu yangu ime kufa ganzi"
Sikuweza kuamini kwanza juu ya ile ile Hali nikajisemea moyoni kwamba hainweze Kani kwamba siwezi kusimama Tena
Basi nikatulia Kama 30 seconds Kisha nikainuka kwa nguvu zote na baada ya kusimama nikaweka Safi mazingila pale chooni Kisha baada ya hapo Nika kalibu kupiga hatua
Nilipo inua mguu wangu wa kulia nilikuta unaganzi nzito Sana nikama nanyenyua mzigo wa kilo Mia moja za mahindi kwa mguu""
Ilini shangaza Sana nikajalibu mguu wa kishoto pia Hali ikawa hivyo hivyo"" nilizidi kuchanganyikiwa
Nikafkilia nimwite mke aje anisaidie kunitoa chooni?
Akili ikaniambia haiwezekani umetoka kutembea dakika chache zilizo pita Kisha saizi ukubaliane kwamba huwezi kutembea haiwezekani
Akili ilini sukuma ni nisikubaliane na ile Hali nijitahidi kutembea nitatembea
Nikajikusanya nguvu kwa kugumba macho lakini nilipo jalibu bado nili shindwa kufanya hivyo
Ndipo nikaanza kuushika mguu mmoja mmoja kwa mikono yangu na kuunyenyua/kuusogeza kwa kuu pigisha hatua mpaka nilipo ikalibia sebure
Hapo ndipo mke wangu alipo niona nakuhisi natania baada ya kuniona nikiisogeza miguu yangu mwenyewe kwa mikono akasogea nankuniuliza
Ndiyo Unafanya Nini hivyo?
Nikainuka na kumtazama kwa sekunde kadhaa huku nikishindwa nimwambie nini. Kisha nikamwambia hebu naomba usogee na unisaidie kwani nahiai siwezi kutembea
Akacheka akaniambia acha kujidekeza kiivyo mtoto nimbembe na wewe nikubebe? Huku akichekw kicheko Cha utani huku akiendelea na shughuri take ya kupanga vyombo alivyo toka kuosha
Nikamtazama Tena nikaona huyu mke wangu haniamini nikaendelea nikaendelea kufanya zoezi langu mpaka nilipo ipita seble nakuingiza chumbani Kisha kitanzania nikalala
Nikiwa nime lala chumbani hapo nikaanza kuhisi joto Kali mwilini huku nikijiskia kiu ya maji
Nikamwita mke wangu kwa nguvu.kisha akaja. Nika mwomba maji yakunywa akanipa
Baada ya kunipa nikanywa lakini nikajikuta nazidi kujiskia kiu ya kutamani kuoga maji ya baridi kwani nilikuwa najiskia joto Kali Sana mwilini
Ndipo Nika mwomba achukue kitambaa aloweke kwenye maji Kisha awe Kama Ana nikaenda kwa ubalidi wa maji yaliyopo kwenye kitambaa kile
Akafanya hivyo lakini nikaendelea kujiskia joto zaidi nakuanza kujiskia kuumwa sasa
Nikaomba ampigie dreva boda kwa kutumia simu yangu ambaye nilikuwa na Tabia ya kumtuma anipelekee mikaa nyumbani kwangu kwani kwa Hali niliyo kuwa nayo nilikuwa siwezi hata kuangalia simu mara mbili
Mke akafanya hivyo nikiwa nasubili Huyo boda boda kuja ubavuni mwangu upande wa kushoto usawa wa mbavu changa
Kilipita kitu Kama ngili nilijalibu kukaza tumbo na miguu lakini kilichukua mda mpaka nikaishiwa uvumilivu wa kuzibana pumzi zangu
Hatimaye mikalegeza tumbo nakuanza kuugulia maumivu yankitu kinacho.pita mwilini Kama nyoka
baada ya sekunde kadhaa nikajikuta Sasa mikono inajiendesha yenyewe vidore vya mikono nikivikunja vinatanuka nikivitanua vinajikunja
Nikivi peleka kushoto vinaenda Julia nikipeleka Julia vinaenda kushoto mpaka vidlole vya miguuni hivyo hivyo
Kwamala ya kwanza Tena mchana wa saa Saba Nikagundua mwilinumeingiliwa na kiumbe mwingine Tena jini Kama sio pepo
Mke wangunakiwa hanielewi nnacho kifanya na ninavyo kuangalia vidole vyangu
Nika muuliza unajuankinachoe da kunipata?
Akasa hapana, kwani aliona Kama naigiza bado
Nikamwambia hapa.nilipo siwezi.kutembea na huenda Nika pala laizi kabisa
Tukiwa tunazungumza boda akafika nikamwambia mke wangu kwamba inabidi anipelekee hospital chap
Ndipo nikaamka lakini nikakuta miguu inaniuma Kama mtu aliye safiri kwa miguu safari ndefu aka lala Kisha akaamka hasubuhi
Najua itakuwa unajua maumivu yake nilipo jalibu kukanyaga mguu chini ilikuwa Kama nakanyaga nisumali ambayo nchazake Kali zimeelekezwa kwenye unyayo wangu
Nikiwa nashuka ngazi za kutoka ndani huku nimeshikilowa na mkewangu ndipo boda akagundua naumwa
Kwa.mshtuko.akasema brother umekutwa na nini? Huku akija kunisaidia kunishika mkono mwingine/kuniege meza
Akaniambia kwanini tusimwite dreva wa gali? nikamwambia nimekwita sababu najua atachelewa kufika
Wakanikokota mpaka ilipo piki piki nikajitahidi na tukaanza safari kuelekea kwenye hospital mdogo yankalibu
Hapo baada ya kushuka nikapimwa faster wkasema pressure yangunimeshuka Sana nimeishiwa oksjeni
Inabidi niende kwenye hospital kubwa ambayo pia haikuwa mbali
Nikatoka hospital hapo nikiwa hoi mno nikashuka nakwenda reception nika.kuta nesi na nesi akasema umeme umekatika ilikuwa ni hospital ya selikali
HApo tayali ndugu na jamaa walikuwa wamefika tayali baada ya kupata habari kuhusu Hali yangu
Nahapo Hali yangu ilikuwa mbaya mno kwahiyo nilikuwa naanza kupoteza umakini wa kuskiliza na kuona kinacho endelea
Ila kidogo nakumbuka baada ya kutoka hapo nilipelekwa kwenye chumba Cha doctor doctor alikuwa na wagonjwa
Sasa akawa fukuza wote pale Kisha akaniambia nilale kwenye kiti Cha ofini kwake nahapo ikaletwa stand kwa ajili ya chupa za maji na damu
Nikadungwa sindano kwenye mkono wangu wa kulia nahapo Nika sinzia usingizi mzito nikiwa ofisini kwa doctor na nilipo kuja kupata fahamu
Nilikuwa wodi ya wanaume na niliambiawa zime pita siku sita tangia nifike hospital hapo
Itaendelea....