Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
- Thread starter
- #101
Mda,na hali na mazingira vinachangia mkuu tuvumiliane kwa hayaMmeshafundishana huu mchezo wa itaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mda,na hali na mazingira vinachangia mkuu tuvumiliane kwa hayaMmeshafundishana huu mchezo wa itaendelea
Mkuu nimepona tayali japo nashukuru kwa mawazo yako mazuli 🙏🙏Pole, huku ukitumia dawa tafuta pia wana maombi
Hakika mkuu nisumu za kichawi sio kawaidaPole sana mkuu,ni sumu za kiushirikina,pole sana ,Kuna mtu alikulaga andazi na chai akapata dalili kama zako,sadly he died,wahi mapema kadiri siku zinavyozidi ndio hali itazid kuwa mbaya
Miili ya kuazima hii mkuuPooleee sana kaka....daah hii miili yetu ni balaa
Mmh! Pole sanaUgonjwa wa ghafra na changa Moto ya kutembea no 3/mwisho....
Baada ya Mimi kubaki na pamoja na mama yangu nilifanyiwa tiba nzito ndani ya lisaa limoja nikajikuta mwili unaanza kujiwa na nguvu
Kiza Kika ingia na Usiku wa manane ulipo ingia Hali ilikiwa ngumu Sana kwangu kwani nilijiskia mwili mzima ukiuma
Nilikuwa nikilala chali Basi mgongo uliniuma vibaya mno"
na nikilalia tumbo Basi kukunja shingo ilikiwa shida nyingine iliyo nitesa Sana
Kila kiungo Cha mwili wangu kiliuma Kwa maumivu makali kuanzia shingo mpaka kidole Cha mwisho Cha mguu wangu
Baada ya kukucha mnamo saanane za mchana mke na mtoto wakawa wamefika tayali na baada ya mda mfupi tiba zikaendelea
Cha ajabu nikwamba nilifika sitembei lakini ndani ya siku nne nilianza kutembelea fimbo
Nilianza kupata tumaini lankuishi Tena nikaanza kupata tumaini lakuungana Tena na familia yangu
Nyayo zangu zilizo kuwa zime vimba zikaanza kupungua taratibu maimivu ya mapaja na mgongo na misuri ya miguu viakaamza kuisha kadri siku zilivyo zidi
Taratiibu nikaanza kutembea Tena japo skuwa natembea umbali mlefu nikama robo ya uwanja wa mpila hivi
lakini nilimshukulu mungu kwa Hilo kwani halikuwezekana kabla
Kadri nilivyo zidi kupata nafuu ndivyo nilivyo jitahidi kufanya mazoezi zaidi na hatimaye baada ya mwezi mmoja na wiki mbili nikawa tayali naweza mpaka kukimbia
Nakumbuka Christmass ya mwaka 2024 na mwaka mpya ya 2025 nime sherehekea nikiwa huko
Hatimaye baada ya mwezi mmoja na wiki mbili ndipo mtaaramu wangu akaniambia Sasa waweza kwenda upo tayali
Nikatajiwa gharama za matibabu sikuamini Ila naamini Kama ingekuwa hospitali Basi ningepigwa pesa ndefu
Kwani gharama ambayo niliitumia pale hospital zile siku sita za mwamzo ilikuwa imeizidi gharama niliyo kuwa nime tajiwa na mzee wangu/mtaaramu pale nyumbani
Mungu mwema nikalipia gharama na ulipo fika mda wa kuondoka safari ikaanza Kisha nikaludi nyumbani na kazini
Baada ya kufika kazini watu walini shangaa kwani niliondoka nikiwa hoi lakini nililudi nikiwa mwenye
Afya tere
Niliondoka nikiwa na langi Kama majivu yaliyo lowa nikiwa hospital kwa muujibu wa mashuhuda lakini nililudi nikiwa nang'aa
Hakika sioni neno zuli lankumshukuru mungu kwa haya aliyo nitendea
nilikuwa wakufa Mimi mungu kanipa nafasi nyingine Tena ya kuishi
Sasa nime pona kabisaa hasa ninapo malizia kipande hiki Cha mwisho nimepona kabisa kabisa siumwi kabisa ndugu zangu
Japo changa Moto ninayo iona kwa sasa ningozi ya miguuni kwenye ugoko mpaka chini ya unyayo na viganjani kubanduka pasipo maumivu yoyote
Na nime jalibu kuwasiliana na mtaaramu ananiambia mwiliwako ndiyo unaludi usjali Wala usiogope
Kwankumalizia naomba niwa kumbushe ndugu zangu Wana jf kwamba..
Shetani yupo na mungu yupo lakinini pia
watu wanao kufa/mizimu wapo wanaishi
..Kingine nikwamba..
kwenye maisha hasa maisha ya mjini ili uishi maisha malefu Basi unapaswa uchague Kati ya haya yafwatayo
1)mungu au shetani
2)mchungaji au mganga
3)uokovu au uovu
Na Kama utachagua Kati ya hayo Basi hakikisha unayatumikia kweli kweli
Kinyume na hapo wewe nimnyama Poli/mnyama asiye na mfugaji/mlinzi tu
ambaye unaweza ukawi ndwa na yeyote mda wowote na pasiwepo na mtu wa kuhoji kwanini umetendwa hivyo
ndugu yangu chagua moja mda bado unao
...Mwisho,,,,
Mkuu nime pona kwa miti shamba kinyume na hapo nisinge ludi hapa Tena mkuu 🙏🙏Pole sana ndugu. Nadhani mwishoni utatuelezea njia ulizopita mpaka ukapona au kupata nafuu.
Mungu mwema mkuuMmh! Pole sana
Hakika japo Moto huuzima Moto ila upo sahihiMkiona watu wanaombewa kwa Mwamposa msiwabeze....
Mapepo na majini huwa hayaondolewi kwa vidonge.
👇👇Naombeni mtu alike comment yangu ili muendelezo ukitoka nije kusoma
Tunasubiria kwa hamu mkuu
Huyo mganga muongo hao watu wanaojifanya wa vioo wengi wezi na matapeli, utagombana na watu wako wa karibu bure..!!Ugonjwa wa ghafra na changamoto ya kutembea no 2
Baada ya kuzinduka nikaambiwa ni siku sita tangia nifike hospital pale
Nabaada ya hapo niliendelea kutibiwa hospital hapo kwasiku nyingine tatu za ziada
Lakini huku ndugu walikuwa wanaendelea kufanya mchakato wa tiba mbadara na hatimaye waka mpata mtaaramu
Baada ya kumpata mtaaramu Huyo ukafanyika mchakato wa kunitoa hospital hatimaye Mambo yaka kaa sawa nikatoka
Kuna swali nilijiuliza na hatimaye sikusita kuuliza kwamba mbona Hali yangu haija tenga maa na ndugu Wana taka nitoke mapema hivi?
Mdogo wangu akanijibu hivi wewe brother unavyo ona ugojwa huu niwa kawaida?
Skumjibu kitu zaidi nikamuuliza Kuna mpangonwowote baada ya kutoka hapa kwani?
Akanijibu tuta angalia tukifuka nyumbani
Nikawaomba watu wote watoke mle ndani isipo kuwa tu mdogo wangu aliye nifwata
Baada ya yeye kubaki peke yake nikamuuliza hivi...
Mdogo wangu wewe nimwanaume Sasa nataka unijibu Kama mwanaume .
Je! ni Nini au niugonjwa gani umenifikisha hapa hospital?
Mdogo wangu aliye nifwata akasema wengi Wana amini lakini Mimi siamini
Wengi wanahofia ukijua utaugua zaidi na hata kufa lakini Mimi siamini
Nikamuuliza Nina ukimwi?
Akani jibu hapana Kaka wanasema una pressure ya kushuka na kisukali lakini Mimi najua huna huo ugonjwa ebu tutoke hapa utaniamini kaka
Tukatimiza taratibu zote pale hospitali kisha tukaludi nyumbani
Nabaada ya hapo ndugu wakalibu wakawa wamefika pale nyumbani akiwemo.
mama,baba,mjomba,mdogo wangu wa kunifuata,bada mdogo na shangazi
Baada ya mda kidogo wakaniambia Wana mazungumzo namimi namimi sikusita kuwa sikiliza
.hivyo nikamwambia mke atupishe kidogo tuna mazungumzo
Mke akatoka baada ya kutoka mazungumzo yakaanza Kama ifwatavyo..
Alianza baba kwakusema. Tumekutoa hospital sionkwasababu umepona hapana
. Ila nikwasababu tume pata njia nyingine ambayo tuna amini itakuponya
Akaendelea kusema ulipo kuwa hospital mdogobwako alikuja aka niambia ugonjwa wako sio wa kawaida umelogwa
nami nilipo muuliza umejuaje akanielekeza nika mwelewa vizuli Sana
na hata mtu wakutu saidia amepatikana na tayali hata malipo ya awali tume kwisha kumtumia tayali na
safari inaanza Leo jioni saa kumi na moja
baada ya hapo Mimi nikawauliza kwamba Kuna haja gani ya kwenda kwa wataaramu wakati ugonjwa umejulikana na masharti yake Yana julukana?
Kabla mzee haja jibu mdogo wangu akadakia kwa kusema
ugonjwa wako sio wa kawaida umelogwa na mtu alkiku Loga huloga hata njia za kujiokoa
kwahiyo kuanzia Sasa jukumu la afya yako nila kwetu Kama family hivyo unapaswa kutuamini na kufuata maelekezo sio vinginevyo Kaka angu..
Baada ya kuona jinsi watu wanavyo uchukulia ugonjwa wangu najinsi walivyo hangaika siku zote nikiwa hospital
nikajikuta Sina jinsi ila kuwaamni tu ndugu zangu Hawa wa damu
.
Kikao Kika fungwa saa kumi na moja ikatimia simu ikapigwa kwa mtaalamu kwamba ndiyo tunakuja
Mtaalamu akatoa ratiba nyingine kwamba inatakiwa tuondoke saa Saba za usiku
pasipo mtu kujua Kama tuna ondoka kwani tayali majilani walikuwa Wana jua kwamba naumwa
Utaratibu ukafwatwa saa Saba ikafika gali ilikuwa imelala nyumbani na driver pia
tukaaa mshana Nami nikaamshwa
Nilipo pewa nguo nivae namke wangu nilijikuta nashindwa hata kuvaa mwili mzima unauma
Nikapewa viatu pia nikashindwa kuvaa kwani miguu ilikuwa inauma sana na imeanza kuvimba tayali
Nilicho kifanya nikumwambia achukue ndala azilushue kwenye kwenye gali na shati Nita vaaga mbeleni huko
Kisha akanitoa akiwa ameni shikilia mpaka kwenye gali
tukaingia Mimi,mama,mdogo wangu, na mzee wangu/baba
mke akabaki nyumbani kwani nayeye nilikuwa nimeanza kumtilia Shaka hasa nikiangalia mazingila ya kuumwa kwangu
.
safari inaanza mpaka Sheri ambapo tuka weka mafuta ya laki na hamsini safari inaanza
cha ajabu kadri nilipo kuwa nauacha mji nilizidi kujiskia hafadahali
nakingine tulipo fika katikati ya safari tukagundua hatuku beba dawa hata moja Kati ya zile tulizo pewa hospital kwa ajili ya kuzitumia nyumbani Yani dawa za kutuliza skali na presha
hapo ukatokea ubishi baadhi wakisema tuludi tuka chukue dawa na baadhi wakisema tusonge mbele
nahapo ndipo nilipo tamka kwamba hakuna kuludi nyuma Kama nimetembea nusu safari bila dawa naweza fika safari mzima bila dawa
safari ikaendelea mpaka saa tatu za hasubuhi tukawa tumefika eneo la tukio/kwa mtaaramu mwenyewe
.
baada ya kushuka nikabebwa mgongoni na driver wangu mpaka ndani kwani tayali nilikuwa siwezi kutembea
baada ya kufika pale ndani tukamkuta mama mmoja mwenye wastani wa miaka 37 mpaka 38
akatupokea nakutuelekez mahali pa kukaa Kisha akasema
poleni na safari poleni Sana mgonjwa wenu ugonjwa wake nimeuona niwa kawaida kwahiyo atapona" Ila atakaa hapa miezi miwili au mmoja na nusu
kila mtu akabaki anashangaa
.
akaendelea kusema kwasababu mmevuka geti lile mmeingia hapa amepona
Kisha akasema Tena bila longolongo nyingi inabidi tuanze kazi lakini kwanza inabidi muone nikipi kilicho msibu mpaka akaumwa Kisha tuingie kwenye tiba
ndipo akasema niwangapi wataenda kuona isipo kuwa mgonjwa tu ndiye haruhusiwi
ndipo baba,mama,na mdogo wangu wakamjibu sisi tuta enda kuona
wakapewa dawa wakanywa Kisha wakapelekwa kwenye chumba Cha kuona huko walikaa zaidi ya masaa ma tatu Kisha wakatoka
Walikuwa wamechoka ikabidi walale kwa mda Kisha waamke waoge ndipo wakaitwa nakuanza kutoa maelezo juu ya kile walicho kuwa wamekiona
Ndipo wakaanza kuzungumzia Kwamba..
wameona nilikuwa nakumywa pombe sehemu nikatoka kwenda kukojoa
baada ya kutoka Kuna mwanamke akamiminia dawa kwenye pombe hiyo Kisha akanywa kidogo nakuiweka pale ilipo kuwa
.na baada ya kuludi Mimi nikanywa ile pombe bila kujua
.
Lakini pia wakasema wame mwona rafiki yangu akijificha nyuma ya mwanamke mweupe
ambaye rafiki Huyo alikuja kunitembelea hospital nikiwa nimelala na aling'ang'ana Sana nihamishwe hospital ile kwa kudai hapakuwa na matibabu sahihi lakini ndugu walimkataa
na baada ya kumchunguza vizuli mwanamke yule ikaonekana nimwana mke aliye Wai kuwa mke wangu miaka 14 iliyo pita mungu akijalia ntaleta habari zake hapa
mwanamke Huyo tulisumbuana mno mpaka tukafikishana jera na ndipo nikaamua kumtema
Sasa kumbe ndiye aliye kuwa staring kwenye mchezo wote wa kuwekewa dawa kwenye pombe
Na mpaka kuumwa kwangu lakini pia sio hivyo tu nilishuhudiwa nikiwa kwenye jeneza nachapwa fimbo za kutosha na kiongozi akiwa ni mama chanja huyo wa zamani
.
Kumbe kipindi nasumbuana na mwanamke Huyo rafiki yangu alikuwa ndiye anaye mmiliki pasipo Mimi kujua
Nilijikuta naanza kugundua mengi juu ya mke wangu wa zamani na rafiki yangu ambayo skuya jua baada ya kufika pale na kuyaskia Yale
Lakini lingine na kubwa zaidi walimwona mwanamke Huyo na kundi lake lisilo pungua watu 30 wamemshika mtoto ambaye nime mwacha nyumbani na mke wangu
Huku wakiwa Wana mpeleka kwenye jeneza nililo kuwa nime wekwa mimi
Na baada ya yote hayo ndipo mtaaramu akasema hivi Hilo ndiyo tatizo ambalo mmelifanya
Sasa Kuna changa Moto moja hapa mme mleta mgonjwa hapa lakini mme mwacha mke na mtoto nyuma
Je! Hamuoni kwamba baada ya maadui zenu kumkosa huyu killing machine wata ona ni Bora waivamie familia iliyo baki nyumbani?
Kisha aka malizia kwa kusema..
inabidi mtoto na mama wachukuliwe Mara moja waje hapa ili waanze matibabu pamoja na killing machine
kinyume na hapo tuta okoa baba tuta poteza mtoto
Ndipo Nika mtazama driver wangu nakumuuliza unasemaje ndugu yangu?
Akanitazama kwa huruma Kisha akasema Kaka skuchangia chochote kwenye tatizo lako
Sasa Leo Nina maombi mawili Kama ifwatavyo..
Kwanza naomba uniruhusu nikamchukue shemeji na mtoto huko tuliko toka haraka iwezekanavyo
Pili nipo tayali niendeshe gali yako miezi miwili bule na usini lipe kitu Kama sehemu ya mchango wangu kwako kwani
siku fikilia Kama takuwa namatatizo kiasi hiki
Ndipo Mimi nikamjibu Hilo lakwanza nakubaliana na wewe lakini Hilo la pili haliwezi kutokea
Baada ya hapo ikabidi Mimi,na mama,tubaki kwa mtaaramu
Huyo
Lakini pia mdogo wangu pamoja na mzee waanze kuludi mjini Kisha driver kuwa tayali kuja na mke na mtoto wangu pale kwa mtaaramu
Safari ikaanza ya kuondoka kwao huku Mimi na mama tukiwa pungia mikono...
Itaendelea
.
Hii shida nahis ninayoMimi si mtaalam wa afya, lakini kwa sababu nimekua na tatizo Hilo pia najua baadhi ya mambo
Kwanza si tatizo la kutibu likaisha ila kubadilisha mtindo wa maisha ndio njia rahisi ya kujiweka salama. Kunywa kiasi sahihi cha maji, kufanya mazoezi, kunywa kahawa, kuepuka msongo wa mawazo, hayo ni baadhi ya mambo ya kufuata
Unawezaje kuniambia muongo wakati tayali Kani ponya na Sina sukali Wala presha tena?Huyo mganga muongo hao watu wanaojifanya wa vioo wengi wezi na matapeli, utagombana na watu wako wa karibu bure..!!
Na wewe huna imani ndiomana ulimuacha mkeo nyumbani kisa unamtilia mashaka na ugonjwa wako..!!
Huko hospital walivyosema una sukari wala hawakukosea, huo ugonjwa ndivyo ulivyo na hizo dalili zake ndio hizo hizo… sasa muendekeze huyo witch doctor akumalize..!!
Tayali imeisha mkuu ipo chiniTunasubiria kwa hamu mkuu
Tayali imeisha mkuu ipo chiniTunasubiria kwa hamu mkuu
Dah! Kumbe uliweka janaUgonjwa wa ghafra na changa Moto ya kutembea no 3/mwisho....
Baada ya Mimi kubaki na pamoja na mama yangu nilifanyiwa tiba nzito ndani ya lisaa limoja nikajikuta mwili unaanza kujiwa na nguvu
Kiza Kika ingia na Usiku wa manane ulipo ingia Hali ilikiwa ngumu Sana kwangu kwani nilijiskia mwili mzima ukiuma
Nilikuwa nikilala chali Basi mgongo uliniuma vibaya mno"
na nikilalia tumbo Basi kukunja shingo ilikiwa shida nyingine iliyo nitesa Sana
Kila kiungo Cha mwili wangu kiliuma Kwa maumivu makali kuanzia shingo mpaka kidole Cha mwisho Cha mguu wangu
Baada ya kukucha mnamo saanane za mchana mke na mtoto wakawa wamefika tayali na baada ya mda mfupi tiba zikaendelea
Cha ajabu nikwamba nilifika sitembei lakini ndani ya siku nne nilianza kutembelea fimbo
Nilianza kupata tumaini lankuishi Tena nikaanza kupata tumaini lakuungana Tena na familia yangu
Nyayo zangu zilizo kuwa zime vimba zikaanza kupungua taratibu maimivu ya mapaja na mgongo na misuri ya miguu viakaamza kuisha kadri siku zilivyo zidi
Taratiibu nikaanza kutembea Tena japo skuwa natembea umbali mlefu nikama robo ya uwanja wa mpila hivi
lakini nilimshukulu mungu kwa Hilo kwani halikuwezekana kabla
Kadri nilivyo zidi kupata nafuu ndivyo nilivyo jitahidi kufanya mazoezi zaidi na hatimaye baada ya mwezi mmoja na wiki mbili nikawa tayali naweza mpaka kukimbia
Nakumbuka Christmass ya mwaka 2024 na mwaka mpya ya 2025 nime sherehekea nikiwa huko
Hatimaye baada ya mwezi mmoja na wiki mbili ndipo mtaaramu wangu akaniambia Sasa waweza kwenda upo tayali
Nikatajiwa gharama za matibabu sikuamini Ila naamini Kama ingekuwa hospitali Basi ningepigwa pesa ndefu
Kwani gharama ambayo niliitumia pale hospital zile siku sita za mwamzo ilikuwa imeizidi gharama niliyo kuwa nime tajiwa na mzee wangu/mtaaramu pale nyumbani
Mungu mwema nikalipia gharama na ulipo fika mda wa kuondoka safari ikaanza Kisha nikaludi nyumbani na kazini
Baada ya kufika kazini watu walini shangaa kwani niliondoka nikiwa hoi lakini nililudi nikiwa mwenye
Afya tere
Niliondoka nikiwa na langi Kama majivu yaliyo lowa nikiwa hospital kwa muujibu wa mashuhuda lakini nililudi nikiwa nang'aa
Hakika sioni neno zuli lankumshukuru mungu kwa haya aliyo nitendea
nilikuwa wakufa Mimi mungu kanipa nafasi nyingine Tena ya kuishi
Sasa nime pona kabisaa hasa ninapo malizia kipande hiki Cha mwisho nimepona kabisa kabisa siumwi kabisa ndugu zangu
Japo changa Moto ninayo iona kwa sasa ningozi ya miguuni kwenye ugoko mpaka chini ya unyayo na viganjani kubanduka pasipo maumivu yoyote
Na nime jalibu kuwasiliana na mtaaramu ananiambia mwiliwako ndiyo unaludi usjali Wala usiogope
Kwankumalizia naomba niwa kumbushe ndugu zangu Wana jf kwamba..
Shetani yupo na mungu yupo lakinini pia
watu wanao kufa/mizimu wapo wanaishi
..Kingine nikwamba..
kwenye maisha hasa maisha ya mjini ili uishi maisha malefu Basi unapaswa uchague Kati ya haya yafwatayo
1)mungu au shetani
2)mchungaji au mganga
3)uokovu au uovu
Na Kama utachagua Kati ya hayo Basi hakikisha unayatumikia kweli kweli
Kinyume na hapo wewe nimnyama Poli/mnyama asiye na mfugaji/mlinzi tu
ambaye unaweza ukawi ndwa na yeyote mda wowote na pasiwepo na mtu wa kuhoji kwanini umetendwa hivyo
ndugu yangu chagua moja mda bado unao
...Mwisho,,,,
Shukrani mkuuDah! Kumbe uliweka jana
Pole sana mkuu hili pito lako limezidi kuimarisha imani yangu
Huyo mtaaramu anapatikana wapi?Ugonjwa wa ghafra na changa Moto ya kutembea no 3/mwisho....

Akikujibu nitagHuyo mtaaramu anapatikana wapi?