Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa yake?Hypotension ni hali ya kushuka kwa msukumo wa damu chini ya kiwango cha kawaida. Hali hii husababisha kudhoofika ghafla na ikizidi moyo husimama na maisha huishia hapo
Nimepokea mtumishi ,Ila na wewe nikumbuke unipe kacheo hata ka kubeba briefcase kwenye kampeni hapo baadaye maana najiona Sasa nimekwiva kukupigania chama maana level za kata na tarafa kwa kutembea na madiwani imetosha mkuuMungu wa Baraka na Neema, akupe nguvu, akujalie bidii na wepesi katika kufanikisha matarajio kwa uhakika katika mipango mikakati yako katika mwaka huu 2025, Aimen 🙏
Treatment yake ni nini mtaalamu!?Kama si tamthilia basi una bahati sana kua hai. Yaani una tatizo la hypotension halafu tena wakakupa dawa ya usingizi? Ulitakiwa kufa muda mfupi baada ya hiyo sindano, labda huyo dakatari alitaka ufe bila maumivu lakini ukaamua kufanya miujiza ya kukataa kufa
Unathibitishaje kuwa ugonjwa uliompata ni mapepo?Mkiona watu wanaombewa kwa Mwamposa msiwabeze....
Mapepo na majini huwa hayaondolewi kwa vidonge.
Inaonekana wewe umekimbilia kusoma comments ila hujasoma alichoandika mgonjwa...Unathibitishaje kuwa ugonjwa uliompata ni mapepo?
Nabii Tlaatlaah kazini 😂mwaka huu usipite bila kupokea muujiza wako, na Mungu wa Neema na Baraka akufanikishe, Aimen 🙏
Mimi si mtaalam wa afya, lakini kwa sababu nimekua na tatizo Hilo pia najua baadhi ya mamboTreatment yake ni nini mtaalamu!?
'Kunywa kiasi sahihi cha maji' ndiyo tunayoelezwa kuwa tunatakiwa kufakamia lt5 za maji kutwa?Mimi si mtaalam wa afya, lakini kwa sababu nimekua na tatizo Hilo pia najua baadhi ya mambo
Kwanza si tatizo la kutibu likaisha ila kubadilisha mtindo wa maisha ndio njia rahisi ya kujiweka salama. Kunywa kiasi sahihi cha maji, kufanya mazoezi, kunywa kahawa, kuepuka msongo wa mawazo, hayo ni baadhi ya mambo ya kufuata
Bado anaumwa msameheUnachanganya L na R uandishi mbovu.
Hiki ni kisa au hadithi!Ugonjwa wa ghafra na changamoto ya kutembea no 2
Baada ya kuzinduka nikaambiwa ni sikunya sita tangia nifike hospital pale
Nabaada ya hapo niliendelea kutibiwa hospital hapo kwasiku nyingine tatu za ziada
Lakini huku ndugu walikuwa wanaendelea kufanya mchakato wa tiba mbadara nabhatimaye wakampata mtaaramu
Baada ya kumpata mtaaramu Huyo ukafanyika mchakato ya kunitoa hospital hatimaye Mambo yaka kaa sawa nikatoka
Kuna swali nilijiuliza na hatimaye sikusita kuuliza kwamba mbona Hali yangu haija yenga maa na ndugu Wana taka nitoke mapema hivi?
Mdogo wangu akanijibu hivi wewe brother unavyo ona ugojwa huu niwa kawaida?
Skumjibu kitu zaidi nikamuuliza Kuna mpangonwowote baada ya hapa kwani?
Akanijibu tuta angalia tukifuka nyumbani
Nukawaomba wote watoke mle ndani isipo kuwa tu mdogo wangu aliye nifwata
Baada ya yeye kunako peke yake nikamuuliza hivi...
Mdogo wangu wewe nimwanaume Sasa nataka unibie Kama mwanaume ni Nini au niugonjwa gani umenifikisha hapa hospital?
Mdogo wangu aliye nifwata akasema wengi Wana amini lakini Mimi skuamini
Wengi wanahofia ukijua utaugua zaidi na hata kufa lakini Mimi siamini
Nikamuuliza Nina ukimwi?
Hakasema hapana wanasema una pressure ya kushuka na kisukali lakini Mimi najua huna wewe hebu tutoke hapa utaniamini
Tukatimiza taratibu zote pale hospitali kisha tukaludi nyumbani
Nabaada ya hapo ndugu wakalibu wakawa wamefika pale nyumbani akiwemo mama,baba,mjomba,mdogo wangu wa kunifuata,bada mdogo na shangazi
Baada ya mda kidogo wakaniambia Wana mazungumzo namimi namimi sikusita kwaninmpaka hap nilikuwa mpaka mke wangu simwamini kwani e ugonjwa umenianzia nyumbani kwangu
.hivyo nikamwambia mke atupishe kidogo tuna mazungumzo
Mke akatoka baada ya kutoka mazungumzo yakaanza Kama ifwatavyo..
Alianza baba kwakusema. Tumekutoa hospital sionkwasababu umepona hapana. Ila nikwasababu tume pata njia nyingine ambayo tuna amini itakuponya
Akaendelea kusema ulipo kuwa hospital mdogobwako alikuja aka niambia ugonjwa wako sio wa kawaida umelogwa
nami nilipo muuliza umejuaje akanielekeza nika mwelewa vizuli Sana
nahata mtu wakutu saidia amepatikana na tayali hata malipo ya Mwisho time kwisha kumtumia na safari inaanza Leo jioni saa kumi na moja
baada ya hapo Mimi nikawauza pia kwamba Kuna haja gani ya kwenda kwa wataaramu wakati ugonjwa umejulikana na masharti yake Yana julukana?
Kabla mzee haja jibu mdogo wangu akadakia kwa kusema
ugonjwa wako sio wa kawaida umelogwa na mtu aliku Logan huloga hata njia za kujiokoa kwahiyo kuanzia Sasa jukumu la afya yako nila kwetu Kama family hivyo unapaswa kutuamini na kufuata maelekezo sio vinginevyo
Baada ya kuona jinsi watu wanavyo uchukulia ugonjwa wangu najinsi walivyo hangaika siku zite nikiwa hospital
Siku sita mimelazwa na bado nipo hai nikajikuta Sina jinsi ila kuwaamni tu ndugu zangu Hawa wa damu
.
Kikao Kika fungwa saa kumi na moja ikatimia simu ikapigwa kwa mtaalamu kwamba ndiyo tunakuja
Mtaalamu akato aratiba nyingine kwamba inatakiwa tuondoke saa Saba za usiku pasipo mtu kujua Kama tuna ondoka kwani tayali majilani walikuwa Wana jua kwamba naumwa
Utaratibu ukafwatwa saa Saba ikafika gali ilikuwa imelala nyumbani na driver pia tukaaa mshana Nami nikaamshwa
Nilipo pewa nguo nivae namke wangu nilijikuta nashindwa hata kuvaa mwili mzima unauma
Nikapewa viatu pia nikishindwa kuvaa kwani miguu ilikuwa unauma na imeanza kuvimba tayali
Nilicho kifanya nukumwambia achukue ndala azilushue kwenye kwenye gali na shati Kisha akanitoa akiwa ameni shikilia mpaka kwenye gali
tukaingia Mimi,mama,mdogo wangu, na mzee wangu/baba
mke akabaki nyumbani kwani nayeye nilikuwa nimeanza kumtilia Shaka
.
safari inaanza mpaka Sheri ambapo tuka weka mafuta ya laki na hamsini safari inaanza
cha ajabu kadri nilipo kuwa nauacha mji nilizidi kujiskia hafadahali
nakingine tulipo fika katikati ya safari tukagundua hatuku beba dawa hata moja Kati zile tulizo pewa hospital kwa ajili ya kuzitumia nyumabani
hapo ukatokea ubishi baadhi wakisema tuludi tuka chukue dawa na baadhi wakisema tusonge mbele
nahapo ndipo mdogo nilipo tamka kwamba hakuna kuludi nyuma Kama nimetembea nusu safari bila dawa naweza fika safri mzima bila dawa
safari ikaendelea mpaka saa tatu za hasubuhi tukawa tumefika eneo la tukio/kwa mtaaramu mwenyewe
.
baada ya kushuka nikabebwa mgongoni na driver wangu moka ndani kwani tayali nilikuwa siwezi kutembea
baada ya kufika pale ndani tukamkuta mama mmoja mwenye wastani wa miaka 37 mpaka 38
akatupokea nakutuelekez mahali pa kukaa Kisha akasema
poleni na safari poleni Sana mgonjwa wenu ugonjwa wake nimepona niwa kawaida kwahiyo atapona" Ila atakaa hapa miezi miwili au mmoja na nusu
kila mtu akabaki anashangaa
.
akaendelea kusema kwasababu mmevuka geti lile mmeingia hapa amepona Kisha akasema bila longolongo nyingi inabidi tuanze kazi lakini kwanza inabidi muone nikipi kilicho msibu mpaka akaumwa Kisha tuingie kwenye tiba
ndipo akasema niwangapi wataenda kuona isipo kuwa mgonjwa tu ndiye haruhusiwi
ndipo baba,mama,na mdogo wangu wakamjibu sisi tuta enda kuona
wakapewa dawa wakanywa Kisha wakapelekwa kwenye chumba Cha kuona huko walikaa zaidi ya masaa ma tatu Kisha wakatoka
Walikuwa wamechoka ikabidi walale kwa mda Kisha waamke waoge ndipo wakitwa nakuanza kutoa maelezo
Kwamba wameona nilikuwa nakumywa pombe sehemu nikatoka kwenda kukojoa baada ya kutoka Kuna mwanamke akamiminia dawa kwenye pombe hiyo Kisha akanywa kidogo nakuiweka pale nipo kuwa
.na baada ya kuludi Mimi nikanywa ile pombe
.
Lakini pia wakasema wame mwona rafiki yangu akijificha nyuma ya mwanamke mweupe
ambaye rafiki Huyo alikuja kunitembelea hospital nikiwa nimelala na aling'ang'ana Sana nihamishwe hospital ile kwa kudai hapakuwa na matibabu sahihi
na baada ya kumchunguza vizuli mwanamke yule ikaonekana nimwana mke aliye Wai kuwa mke wangu miaka 14 iliyo pita mungu akijalia ntaleta habari zake hapa
mwanamke Huyo tulisumbuana mno mpaka tukafikishana Hera na ndipo nikaamka kumtema
Sasa kumbe ndiye aliye kuwa staring kwenye mchezo wote wa kuwekewa dawa kwenye pombe
Na mpaka kuumwa kwangu lakini pia sio hivyo tu nilishuhudiwa nikiwa kwenye jeneza nachapwa fimbo za kutosha na kiongozi akiwa ni mama chanja huyo wa zamani
.
Kumbe kipindi nasumbuana na mwanamke Huyo rafiki yangu alikuwa ndiye anaye mmiliki pasipo kujua
Nilijikuta naanza kugundua mengi juu ya mke wangu na rafiki yangu ambayo skuya jua baada ya kufika pale na kuyaskia Yale
Lakini lingine na kubwa zaidi walimwona mwanamke Huyo nakundilake lisilo pungua watu 30 wamemshika mtoto ambaye nime mwacha nyumbani na mke wangu
Huku wakiwa Wana mpeleka kwenye jeneza nililo kuwa nime wekwa mimi
Na baada ya yote hayo ndipo mtaaramu akasema hivi Hilo ndiyo tatizo ambalo mmelifanya
Sasa Kuna changa Moto moja hapa mme mleta mgonjwa hapa lakini mme mwacha mke na mtoto nyuma baada ya kumkosa mume atauwa mtoto
Hivyo inabidi mtoto na mama wachukuliwe Mara moja wake hapa ili waanze matibabu pamoja kinyume na hapo tuta okoa baba tuta poteza mtoto
Ndipo Nika mtazama driver wangu nakumuuliza unasemaje ndugu yangu?
Akanitazama kwa huruma Kisha akasema Kaka sjakuchangia chochote kwenye tatizo lako
Sasa Leo Nina maombi mawili Kama ifwatavyo..
Kwanza naomba uniruhusu nikamchulue shemeji haraka iwezekanavyo
Pili nipo tayali niendeshe gali yako miezi miwili bule na usini lipe kitu Kama sehemu ya let yangu yangu kwako
.siku fikilia Kama itakuwa namatatizo kiasi hiki
Ndipo Mimi nikamjibu Hilo lakwanza nakubaliana na wewe lakini Hilo la pili hakiwezi kutokea
Baada ya hapo ikabidi Mimi,mama,tubaki kwa mtaaramu Huyo na mdogo wangu pamoja na mzee kuludi mjini Kisha driver kuwa tayali kuja na mke na mtoto wangu
Safari ukaanza ya kuondoka kwao huku Mimi na mama tukiwa pungia mikono...
Itaendelea
.
DuhUgonjwa wa ghafra na changamoto ya kutembea no 2