pole sana
nakushauri siku zote uwe na paracetamol za kushusha homa za kuweka matakoni pindi uonapo mwanao ana joto kali
pia jenga tabia ya kumpima homa uwe na thermometer nyumbani mwako,
mtoto akilalamika anaumwa usipuuze hata kidogo.
housegirl mwelekeze pia awe makini akimwona ana joto hachezi ampe paracetal ya kunywa.
Pole sana mkuu. Hiyo ni degedege (convulsions or fits) due to high fever. Anything which cause high fever in children can cause convulsions. It can be malaria (commonest cause in TZ) or any other disease which can cause high fever.
Convulsion is one of the danger sign. Whenever it occurs...immediate take your child to the hospital!
Asante Mkuu Lakini tumepima malaria hana kapewa dozi ya kunywa na Sindano ambazo ni anti-malaria.
pole sana, hapa duniani kuna mambo mengi sana yanatokea na kuwapata watu, hata hivyo usiogope kwani mungu everythings are pposible, mpeleke kwenye maombi, nami naamini kwa jina la YESU mwanao atapona kabisa. mungu akutie nguvu katika maamzi hayo niliyo kwambia nawe utauona mkono wa Bwana.
Pole sana Domy.
Kulea mtoto ni ishu kwa kweli.
Ilishawahi kunitokea hiyo maneno miaka kadhaa iliyopita, tena usiku wa manane. Niliwapigia jamaa wa ambulance wakaanza story nyiiiiingi. Mzee ilibidi nitembee umbali kadhaa usiku huo hadi zilipo taxi. Ilikuwa bahati tu nikaikuta moja ikaniwahisha hospitali.
Ni rahisi tu kuzungumza hapa, lakini ikikutokea ni balaa!
E bwana wee. Sipati picha.
Pole sana, ndo kulea. Lazima uwe brave.
Wtt wanatupelekesha sihaba mana Smtimes utaomba uumwe wewe mara elfu lkn mtt awe mzima.
Wasiishie kwenye malaria,homa kali ina sababu nyingi!!!!
Pole sana, najua unachosema na.ulivyojisikia!!!!!
Sasa sio akipona unaza kurudi saa saba za usiku,uwahi nyumbani kila siku kujua wanao wanashindaje na.maisha yao kiujumla!!!!
Iache tu hiyo makitu!!!!
Yaani ukipiga simu ukaambiwa mtoto ana joto, jasho kwapani, njaa sijui shibe hujielewi,hata ukiulizwa jinsia unaweza kukosea!!!!!
With watoto God have mercy on us!!!