Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

Kamanda,huu ugonjwa usikie tu kwa watu. Juzi usiku wa manane ulimshka mtoto wangu hakika nilidhan nimempoteza!

Hata mimi nilidhani nimepoteza.! Nashukuru MUNGU haikuwa kama nilivyowaza.
 

Asante Mkuu.!
 
Last edited by a moderator:
kuna mambo ya kuangalia yA a muhimu ukishamaliza kushusha hiyo homa je mwanao alishawahi kuanguka ?kuangushwa akagonga kichwa?
mwanao alipozaliwa alivutwa na chuma?
je mwanao alichelewa kulia alipozaliwa tu ?
maendeleo yake ya makuzi yakoje amekaa ,kutambaa,kusimama,kutembea,kutamka neno la kwanza vyote hivi amefikia na umri gani ?ukishanipa jibu nitakupa ushauri usiku mwema huku niliko mda huu ni saa sita kamili usiku ngoja nilale tutaonana kesho mpe mtoto dawa
 

Ni EEG sio EGG
 

Yesu anausikaje japo?
 
Mkuu Domy pole sana wakwetu! Najua ulivyokuwa upset katika hili! Tusisahau kumtanguliza Mungu!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mara nyingi watoto wa umri chini ya miaka 5 huwa wanapatwa sana na tatizo ilo ushauri ukimuona mtoto ana joto kali anza kumsiponji na sio kumlundikia manguo na kumfunika funika ikiwezekana umwagie maji ya baridi ili homa ishuke watu wengi hawalijui hili hata mi nilikuwa sijui nilijua baada ya mtoto wangu kupata tatizo kama hilo, pole sana usiombe hiyo hali itokee mtoto wako unachanganyikiwa kabisa.
 

Asante kwa ushauri Mkuu....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…