Ugonjwa wa kifafa usikilizeni redioni. Simulizi yake ni ya kutishaa!

Waafrika tunakawaida ya kupuuzia mambo sjui kwanini,mtu anaanguka mara tatu kwa siku lakin bado anaenda mwenyew sokoni na anakaa karibu na moto

Wenye kifafa wengi hasa wanawake walishawah kuungua na moto kuna binti aliungua uso

Kuna siku nilkuwa namsikiliza daktari anasema kuna vifafa vya aina nyingi sana kuna vingine vya dk chache tu na fahamu zinamrudi mgonjwa hawa huwa hawaanguki ila huwa wanazubaa kwa muda fulani na baadae anakuwa sawa

Pia kuna wengine siku anapoanguka anaanza kuhis hyo hali mapema kabisa,kwahyo siku hyo anashinda nyumban kusubir aanguke
 
Pole sana kwa yaliyokukuta

Kuhusu njia za kumsaidia mtu mwenye huo ugonjwa kwanini usiweke hapa kwa faida ya wasomaji wa sasa na wa baadae(miaka ijayo)

Naamini sio siku zote utapatikana PM lakini nyuzi za JF huwa zinaishi
Kifafa kinadawa ambazo zinazuia mgonjwa kuanguka anguka ndo maana recently ni ngumu kuona mgonjwa wa kifafa wapo Ila wanatumia dawa ambazo zinawafanya waishi normal life
 
Baba mkubwa alifariki kwa sababu ya kifafa alienda ziwani kupunga upepo .kikamkuta akadondoka kwenye ziwa .huu ugonjwa ni pepo kabisa.mjomba wangu pia alikuwa nawo but mungu alimponya yupo mzima sasa
Sasa kwanini aende ziwani peke yake wakati anajijua ana Epilepsy?

Kajitakia mwenyewe
 
Nyumbani kwa babu ni jirani na ziwa yaani mita 20 kwenda ziwani bafu ni kwenye ufukwe .ni kawaida kukaa nje kwenye mawe pembeni kupunga upepo bahati mbaya ndio hivyo
Sasa kwanini aende ziwani peke yake wakati anajijua ana Epilepsy?

Kajitakia mwenyew
 
Dawa yake ipo...



Unione private. Hapo ujue nakupanga kuja kukutapeli. Kama dawa ipo weka hapa.
 
Story au ukweli?nimetoa mchozi broo..pole Sana I can feel your pain !!!!daah..
Hiyo para ya mwisho inaonesha stori ni yakutunga... kuna watu watapigwa hapa. Mambo ya Dzm.
 
Pole sana. Kwakweli kifafa ni ugonjwa mbaya sana. Baadhi ya wagonjwa huwehuka mazima kabisa.
 
Duu pole sana kaka.
 
Hivi kifafa ni ugonjwa wa kurithi?
 
Kifafa inatibika hospitali,sio kulogwa. Tatizo la jamii yetu ni imani za ulozi.. Muda mwingi tunatumia kwa waganga wa kienyeji,(kusomewa,kupungwa,kutolewa majini..),matapeli wa imani(manabii na mitume). Tutumie huduma za tiba kisasa
 
Imagine... eti njoo dm[emoji848][emoji848]
 
Dawa yake ipo...



Unione private. Hapo ujue nakupanga kuja kukutapeli. Kama dawa ipo weka hapa.
Jamii forum mtu akisema ninajinsia ya kiume watakwambia iweke hapa tuione si Kila kitu kinawekwa hapa !!
 
Tatizo lako wewe ni tapeli ndio maana Kila kitu unakihusianisha na utapeli asilimia mia wewe ni tapeli
Upo sahihi kabisa. Na mbinu ninayotumia ni kama hii yako ya kuwaambia wanifuate private. Huko ndo naenda kuwaliza mmoja mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…