Ugonjwa wa kifua na Moyo waongoza kuua wasanii wetu

R. I. P Christopher Alex Massawe, Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa.

Mkuu Amalinze huyu jamaa ameumwa sana kifua, jiulize mtu ambae labda havuti sigara Wala haishi maeneo ya Baridi anaugua vipi kifua.

Hapa Mkuu ni ugonjwa wetu ule ule tu!!

Tb hata iwe sugu ukitumia dose unapona ila tb ikikutana na hiv hapo ndio balaa.huku mererani wa2 wana tb sugu hatari wanatibiwa kibongoto hosp wanapona kabisa anarudi mgodini kufanya kazi
 
Last edited by a moderator:
Tb hata iwe sugu ukitumia dose unapona ila tb ikikutana na hiv hapo ndio balaa.huku mererani wa2 wana tb sugu hatari wanatibiwa kibongoto hosp wanapona kabisa anarudi mgodini kufanya kazi

Asante brazaa TB inajua pa kwenda
 
Kifo kipo karibu yetu kila nukta iendayo kwa muumba..haijalishi utakufa kwa style gani lakini ukweli ni kuwa kila mmoja wetu ataonja umauti kwa wakati wake...kuendelea kujadili maladhi yatakayo tuondoa hapa duniani au kuumiza vichwa kuhusu maradhi au vifo vya wapendwa wetu bado haitusaidii kitu katika kukuepusha na kifo...jambo la msingi na la busara ni kujiandaa na kifo kwani ni njia ambayo kila mmoja wetu ataipitia na ni lazima aipitie..na maandalizi ya kifo si kulimbikiza mali nyingi bali ni kutenda yale yampendezayo muumba tu na kuyaacha yale aliyoyakataza....
 

Mimi nadhani kule studio kuna yale magodoro yanayofanya kazi ya kuretain sauti... Yale ndio yanaleta majanga...
 
Mimi naona hawa wasanii huwa wanashea dem kma hawa mavideo queen unakuja katembea n wasanii 10 sasa akianza kuumwa kifua c mtandao wote nao unaanza kwa zamu
Mavideo queen kweli wanakula vichwa sana kwa wasanii .... M.A.P Masogange
 
Mr Ebo alikufa kwa ajali ya pikipiki, chanzo kilikuwa ni Shuka la mmasai lilipeperuka na kumfunika usoni.. akapt ajali na sio sigara


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…