Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nawe umeambiwa wagonjwa wote wa kifua ni sigara na baridi!??
R. I. P Christopher Alex Massawe, Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa.
Mkuu Amalinze huyu jamaa ameumwa sana kifua, jiulize mtu ambae labda havuti sigara Wala haishi maeneo ya Baridi anaugua vipi kifua.
Hapa Mkuu ni ugonjwa wetu ule ule tu!!
Tb hata iwe sugu ukitumia dose unapona ila tb ikikutana na hiv hapo ndio balaa.huku mererani wa2 wana tb sugu hatari wanatibiwa kibongoto hosp wanapona kabisa anarudi mgodini kufanya kazi
Asante brazaa TB inajua pa kwenda
mr ebbo alikufa kwa leukemia
Hivi hawa watu wanaona shida gani kusema wamekufa kwa ukimwi?
Hivi kwanini kifua ndio kinaongoza kuua wasanii wetu? Kuna haja ya wadau wa mziki kuwapa semina elekezi inawezekana zile mic wanazozitumia zinaeneza au muda mwingi wanakuwa wanatoa show club au wanatumia pumzi nyingi kwa stage hivyo kuathiri mfumo wa upumuaji na kusababisha TB.
Mimi nadhani kule studio kuna yale magodoro yanayofanya kazi ya kuretain sauti... Yale ndio yanaleta majanga...
Ndio visababishi vikubwa bimdada,
Moyo/Kifua ni hatari sana na kimeshamiri kuua wasanii wetu #Rip-capt-komba-na-mke-wa-noorah
Mavideo queen kweli wanakula vichwa sana kwa wasanii .... M.A.P MasogangeMimi naona hawa wasanii huwa wanashea dem kma hawa mavideo queen unakuja katembea n wasanii 10 sasa akianza kuumwa kifua c mtandao wote nao unaanza kwa zamu
Mpe O basiWew kaka nakupenda unawazaga tofauti sana
Mr Ebo alikufa kwa ajali ya pikipiki, chanzo kilikuwa ni Shuka la mmasai lilipeperuka na kumfunika usoni.. akapt ajali na sio sigaraUmofia kwenu wana JF,
Heri ya mwaka mpya bonna annee happy nu year, kwanza niwape pole familia zilizoondokewa na wapendwa wao, ukiacha ngada na ajali basi kifua na moyo ni magonjwa yanayoongoza kuua wasanii wetu hapa nchini, wasanii waliotutoka chanzo kikiwa hayo magonjwa ni YP, Sherry Magali, Aston Villa, Mr Ebbo, Rukia bruno!
Ugonjwa wa kifua unasababishwa na matumizi ya kupitiliza ya pombe kali, sigara na vitu vinavyofanana na hivyo. Tunaomba wasanii muache kutumia hayo mambo msije wote mkateketea kwa kifua.
Nawasilisha.