Ugonjwa wa Kisonono (Gonorhea): Dalili, kinga na tiba yake

Ugonjwa wa Kisonono (Gonorhea): Dalili, kinga na tiba yake

Basi mkuu hata kubonyeza neno (Like) unashindwa?Mkuu King'asti acha uchoyo wako huo lol

Dah.. mkuu si tuliosoma na. Practice nje haya magonjwa kwa kiswahili ni mtihani.. sikujua kisonono no gonorrhea.. nambie kaswande .. kisambusa ..etcl kwa kiingereza yanaitwaje..? Je syphilis kwa kiswahili inaitwaje.?
 
Last edited by a moderator:
paka mafuta ya ubuyu kila baada ya masaa matatu
kwa mawasailiano zaidi ni pm
nte
MAFUTA YA UBUYU AYANYEWI
 
wakubwa habari za kazi natumai mu wazima.naombe msaada wenu kwa wanaoijua dawa ya kutibu ugonjwa huu.

big up kamanda usiogope utapona mwanaume jasiri bila kisonono ujaitwa mwanaume
 
hakuna dawa, mkiambiwa tumien kondom hamsikii,

tema mate chini unless kama bado bikira. wapo wanaotumia nakama utatumia ujue za sikuhizi zinapasuka sana kaka so kujua zimepasuka mpaka umeshakojoa so unawezajua wht nexty 4urlife br.

kama unaweza msaidia msaidie hata kwa mitishamba usiogope mpm
 
Kisonono kinaweza kupona, lakini Kama umeishazoa mchwa (Kimwi), basi ujuwe umekwenda na Maji.
 
nisaidieni jamani ugonjwa wa gonorohea na madhara yake ppamoja na maambukizi yake yanatoka kwa nani na kwenda kwa nani?
 
Huu ugonjwa ni hatari sana,kwa sababu husambaa kwa njia ya macho, na mgonjwa hukaa masaa 6, asipotibiwa anafariki.
 
nisaidieni jamani ugonjwa wa gonorohea na madhara yake ppamoja na maambukizi yake yanatoka kwa nani na kwenda kwa nani?


100427211216_kisonono_226x170_nocredit.jpg


Virusi vya Kisonono



Kisonono (Gonorrhoea)

Huu husababishwa pia na bacteria. Unapofanya mapenzi na mtu mwenye kisonono unaweza

kuaathiri viungo kama vile uke, uume, sehemu ya haja kubwa na ya haja ndogo, na hata koo

au mdomo kama ukifanya mapenzi ya kunyonyana.


Dalili: Wanawake hutokwa na ute mwingi wa njano au kijani kutoka ukeni na kusikia maumivu wakati wa kukojoa. Kwa wanaume uume uliathirika hutoa ute wa njano au kijani, na kupata maumivu wakati wa kukojoa.


Pia kuna uwezekano wa kuwashwa ama kutokwa na maji maji katika sehemu ya kupitishia haja kubwa. Ingawa hivyo baadhi ya watu hawaoni dalili zozote kabisa lakini bado wanaweza kuwambukiza wanaofanya mapenzi nao.

Matibabu: Iwapo matibabu hayatapatikana kwa haraka kuna hatari ya mirija ya kupitisha mayai (fallopian tubes) kuharibika na hivyo kusababisha utasa.

Kama una kisonono usifanye tena mapenzi hadi utakapofanyiwa uchunguzi na kupewa madawa ya kutibu ugonjwa. Ni muhimu sana kumfahamisha mpenzio ili nae pia atibiwe.
 

Attachments

  • gono.jpg
    gono.jpg
    48.2 KB · Views: 561
Back
Top Bottom