Ugonjwa wa Kisonono (Gonorhea): Dalili, kinga na tiba yake

Ugonjwa wa Kisonono (Gonorhea): Dalili, kinga na tiba yake

Mpnz wangu alikua anaumwa gono katibiwa bila kuniambia mm cjui hili wala lile nikasex nae. jana nikaanza kuisi maumivu wakati wa kukojoa nilipo mwambia akaniambia ni gono daa nimechanganyikiwa. please ni dawa ip naweza tumia nikapona kwasababu amesex na mm kabla ya kumaliza doz na mbaya zaidi sikujua kwasababu alikua mbali. msaada wenu jamani

panadoo afu mteme utakufa
 
Tuweni makini jamani, na siku hizi kuna jamii ya wadudu wa kisonono ambao hawasikii dawa na ukiwapata hao wanakuondoa ndani ya siku kadhaa tu. (H041 strain)
 
Mpenzi wangu alikua anaumwa gono katibiwa bila kuniambia mimi sijui hili wala lile nikasex nae.

Jana nikaanza kuisi maumivu wakati wa kukojoa nilipo mwambia akaniambia ni gono daa nimechanganyikiwa.

Please ni dawa ipi naweza tumia nikapona kwasababu amesex na mimi kabla ya kumaliza dozi na mbaya zaidi sikujua kwasababu alikua mbali.

Msaada wenu jamani






Kwani alilitoa wapi hilo dude?
 
gono ni noma
nyambua sentensi
go no ni no ma
 
Nenda hospitali rasmi, kaonane na daktari, fanya vipimo, hata vya culture and sensitivity ikibidi kwani hawa wadudu wengine wako sugu siku hizi, kisha upate dozi itakayotosha.
 
Utangulizi
Gonorrhoea husababishwa na aina ya gram negative bacteria anayeitwa Neisseriaae gonorrhoea na mara nyingi hupatikana katika kuta (mucuous membrane ) za sehemu za siri,macho, sehemu za haja kubwa na koromeo ambazo husababisha muwasho wa hali ya juu

Dalili za gonorrhea huanza kujionesha kuanzia siku ya 2-10 baada ya mtu kukutana kimwili na mtu alieathirika na ugonjwa huo, na zifuatazo ni dalili za ugonjwa huo;

  1. Kwa mwanamke
  • Mwanamke kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
  • kupata maumivu makali na pengine kuhisi kuungua wakati wa kukojoa
  • kutoa majimaji katika uke yenye rangi ya njano or yaliyochanganyikana na damu
  • Na baada ya siku ya kumi ungonjwa huu huanza kusambaa kwenda kwenye cervix... urethra na pia katika mirija ya uzazi (uterine tubes) na hivyo huweza kupelekea ugumba kwa akina mama kwa asilimia 20% kama hutopata tiba mapema kwani husababisha salpingitis
2. kwa mwanamme
  • kukojoa usaha na kusikia maumivu makali sana wakati wa kjisaidia haja ndogo
  • kuhisi kuungua au kuchomwa na sindano wakati wa kukojoa but kwa mwanaume maumizi yanakuwa makali zaidi kuzidi ya mwanamke
3. Dalili zingine kwa wote
  • misuli kukakamaa na kuuma, mwanamke kuingia katika siku zake kabla ya muda, homa, kutapika,mapunye katika ngozi za mikono viwiko na katika ufundo wa miguu na pia wakati wa kujifungua kama mama alikuwa na huu mgonjwa anaweza sababisha upofu kwa mtoto atakayezaliwa
4. Matibabu
Kuna dawa mbalimbali za antibiotic ambazo hutumika kutibu ungonjwa huu nazo ni
  • Cefixime
  • Ceftriaxone
  • Ciprofloxacin
  • Ofloxacin
  • Levofloxacin

5. Hitimisho
Jamani huu ugonjwa upo duniani kote na muda wote huambukizwa kupitia tendo la ndoa kutoka kwa mwanamke kwenda kwa mwanamme or kutoka kwa mwanamme kwenda kwa mwanamke na pia ugonjwa huu waweza kupungua kwa kuepuka ngono isiyosalama au kuwa na mpenzi mmoja na pia kutoa elimu kama tunavyofanya hapa Jf....
 
Mkuu hizo dawa zote nilishazimaliza ,,,,
Kwsbb nakumbuka huu ugonjwa kwangu ilifkia hatua nikawa nauona kama
Mafua vile...haipiti miezi mi4 au mi5 kitu na box
Natibu napona nakua fiti kabxaa..
Nikianza tu kushindua kitu na box,,,
Nakumbuka siku doctr ananambia sasa ww hii ni ishakua Cronic Gono
Nilidungwa sindano ***** wanazopigwa Ng'ombe
Kwanza ukiiona hio sindano ukubwa wake ka unaroho ndogo lazma utaingia mitini
Ni kubwa hasa ndani dawa iliomo inafanana na maziwa
ALINIDUNGA KARIBU DK7 hivi huku akinisisitiza kua mvumilivu
Maumivu yake utatamani uzaliwe upya,, baada ya hapo nikamuliza doctor hii ni doz gani akanambia pen-du sijui jinsi inavoandikwa lkn jina nalokumbuka pen-du
Akasema hii hua wanapigwa nazo ng'ombe..nilivoskia ivo [emoji15]tangia siku hio niliacha kutembelea Rim nikipata tu dem navaa tairi
Hadi leo nipo bombaaa namshkuru mungu
 
Mkuu hizo dawa zote nilishazimaliza ,,,,
Kwsbb nakumbuka huu ugonjwa kwangu ilifkia hatua nikawa nauona kama
Mafua vile...haipiti miezi mi4 au mi5 kitu na box
Natibu napona nakua fiti kabxaa..
Nikianza tu kushindua kitu na box,
Mkuu hiyo dawa inaitwa benzyl penicillin au kwa jina lingine ni penicillin-G ni kiboko wa gram negative bacterial wote include hao wa gonorrhoea..... but angekuchoma oxytetracycline ndio ungejuta kuzaliwa mkuu ungehisi huo mwili si wako mkuu all in all kumbuka kufanya ngono salama...
 
Back
Top Bottom