Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

Wanaume ni kama Man U
Lazima washinde hata kama ni kwa penati, red card au kubebwa
Play fair haipo kwenye kamusi yao

Hawezi sema sorry kirahisi hivyo
kuhangaika kote na comforter sijui blanket gani kwa nini, ni rahisi kusema s o r r y na kuishi kwa amani na mahaba.
 
 
Wanaume ni kama Man U
Lazima washinde hata kama ni kwa penati, red card au kubebwa
Play fair haipo kwenye kamusi yao

Hawezi sema sorry kirahisi hivyo

wanaume Manu na wanawake?Arsenal??????lol
 
kwa kweli wanawake wengi tunatabia hiyo ya kununa kwa sababu ambazo si za msingi na mara nyingi huwa tunafanya hivyo kama kukomoa, au kwa matarajio ya kubembelezwa, na pia huwa ni dalili ya udhaifu, mtu anaudhiwa na kusema hawezi either mume ni mkorofi au haingiliki basi anaamua kununa tu kama njia ya kuonyesha au kueleza hisia zake n.k n.k. na tabia hii mara nyingi huwa nao couples ambao hawana mawasiliano ya kutoasha, hawawezi kuambiana ukweli, wanaogopana n.k. ila kwa wale ambao hawana mambo ya pembeni wako wazi kuambiana mambo yote mazuri au mabaya huwa hawana tabia hizi. LAKINI WANAUME jamaniii looh ndio usiseme. wakitaka kupata sababu ya kuondoka nyumbani bila kuaga, kuacha KULA nyumbani, kuweka distance n.k. huwa nao wanatabia kama hiyo, jambo dogo atalivalia njuga, atalipaka wanja na uturi alimradi tu linukie weee liwe kubwa apate justification ya kufanya mambo yake bila bughudha! achani hizo na nyie:biggrin:
 
sidhani kama ugonjwa huu ni kwa wanawake tu hata wanaume unawatafuna wananuna wanajidai wanajibu shortcut inabidi tuwatafutie dawa ila sisi tunaweza kuwacontrol mpaka mnatabasamu why nyie mshindwe:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 

lol.....
 

asante muhanga kwa angalizo
 

Ikiwa kususa na kununa ni ugonjwa basi wanaume wamezidi, wananunia na kususia hata wanaume wenzao, ushahidi kamili - Bungeni, Dodoma.
 
Ikiwa kususa na kununa ni ugonjwa basi wanaume wamezidi, wananunia na kususia hata wanaume wenzao, ushahidi kamili - Bungeni, Dodoma.

Bungeni ni kununa au ku 'protest'????
 
Sipati picha li maza la miaka 50 limenuna, na wewe ze boc kwa mimama haaaa,umelipata ulilokuwa unatafuta hahahahaaa
binafsi kununa huwa sijui ila nitakasirika kidogo na mpenzi ananijulia nikikasirika aseme nn, nikicheka yameisha, cha muhimu
the boss, mwanamke wako akinuna, mtafutie kitu kinachomfurahisha, nakuhakikishia sidhani kama ataendelea, utasikia, huku kabana
pua" bathi mpendhi uthirudie tena" lol
 

kuna makabila jamani wanaume wao wananuna balaa...wa kwanza wa tabora sio wote ila wengi wao
 
kununa wanawake hawataacha!!!wanaume wengi wanamaudhi sana na nnaamini wanaume wote pia wana hili tatizo,mtu anafanya kosalakini kukiri au kuomba msamaha hawezi au atalipinduapindua ili mradi mkewe aonekane ndo alikuwa source.yan wanaume huwa wao huwa wanajifanya kama angels from which is not true!!na mambo ya kuwaita wanawake mjinga wewe mara huna akili,kwanini usinuniwe?
 
Ila inakera kumuona ananuna bila taarifa na sababu za msingi.. Maana na nyumba nayo inabana..
 
Sikamaanakuwa amekununia , ila anakuwa amekudharau !
Na umuhimu wako kwake ni mdogo sana
 
Wanawake kununa ni kawaida yao....Mwanamke asiye nuna ana kuwa sio mtamu kuleeeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…