Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

nini mwezi watu wananuniana miaka kadhaa na wanaishi wote mwishowe wanaamua watengane vyumba.asubhi kila mtu anatoka na gari lake anasepa kazini.ni utajibeba staili.ndo dawa ya mwanaume mkorofi.coz wanaume wanafikiri bila wao huwezi ishi kumbe wapi.manake unakuta mtu anarudia makosa yale yale kila siku,sasa kama sio makusudi ni nini??kununa mbona dogo,nahama chumba kabisa sitaki bugudha.mia
 
sasa si bora kuachana tu?
 
aisee una moyo na hili li mdomo langu siwezi nuna hata siku ikaisha nitasema tu yaliyomo moyoni maana huwa nahisi kuna kitu kinanichoma lazima nikiseme huwa najiuliza unamnuniaje mtu unalala nae kitanda kimoja wiki si mateso hayo.basi mie na matatizo maana lazima nilivurumishe tu.

nini mwezi watu wananuniana miaka kadhaa na wanaishi wote mwishowe wanaamua watengane vyumba.asubhi kila mtu anatoka na gari lake anasepa kazini.ni utajibeba staili.ndo dawa ya mwanaume mkorofi.coz wanaume wanafikiri bila wao huwezi ishi kumbe wapi.manake unakuta mtu anarudia makosa yale yale kila siku,sasa kama sio makusudi ni nini??kununa mbona dogo,nahama chumba kabisa sitaki bugudha.mia
 
Hapa kazi ipo...TB mkuu hii imekutokea from experience ama vipi

Mi nijuavyo kununa na kususa ni sign ya an underlying bigger problem
 
huko kununa na kususa a.k.a gubu kwa mwanamke ni suna, wanapeeeeenda kweli hawa watu! Any way tulishaambiwa ktk Bible anyi wanaume ishini na wake zenu kwa maarifa....maana ni wadhaifu... Hivyo unapaswa kujua akinuna ni kitu gani unaweza kufanya ili hali irudi shwari ndani ya nyumba.
'' AMANI NA UPENDO KATI YA MUME NA MKE HUANZIA CHUMBANI,KISHA SEBULENI HALAFU NDIO HUTOKA NJE''

Wanaume nyie ni wabishi kweli, ukichwa ngumu tu ndo umewajaa!! Makosa mwayaanzisha nyie mpaka kero zinazidi, mambo yakisanda mwajifanya kunawa mikono na kutupa lawama kwa wanawake!! Badilikeni.....
 
Kabla sijaolewa kuna familia moja ya rafiki yangu nilikuwa naona wananuniana mpaka inafikia hatua wanaandikiana vi note
Niachie hela ya mboga,sijui naenda wapi hela inawekwa juu ya ki-note baada ya week wanacheka na kusahau yaliyokuwepo nilikuwa nashangaa sana na siamini ni aina gani ya maisha wanayoishi
Lakini nilipoingia kwenye ndoa na mie nikawa na katabia hako akinikosea nanuna hata siku tatu sitaki kusemeshwa mwisho wa siku naanza mwenyewe kuongea
Kwa namna moja ilinisaidia kwani alijua kuna vitu sipendi kufanyiwa kaniuzi na niliona kabisa mwenzangu anabadirika baada ya huo mnuno...
Ila sasa huwa navunja ukimya na kuongea yanayonisibu moyoni nimekomaa kwenye ndoa 😛oa
 
hiyo ya kuandikiana vi note.
kuna mtu alimuandikia mkewe ki note
'niamshe saa kumi na mbili ni muhimu'
mke ilipofika asubuhi na yeye akamuandikia ki note
'saa kumi na mbili imefika amka sasa'
jamaa kaamka saa mbili ndo anaona ki note pembeni lol
 
hahaha hii ilikuwa kali huyo
,dah akili ni nywele hahahahaha
 
Inaamana The Boss wewe mwenzio akinuna huna namna ya kumfanya ili kumrudisha kwenye hali yake ya kawaida? Ndio unamuaacha akae hata mwezi hamchekeani wala nini?

Mie hiyo haipo, kwanza mwenzangu akinuna mie sina amani, nitafanya kila namna haimaliziki siku mambo yanarudi kama kawa, na siku hiyo ndio namfurahisha zaidiii! kwa mambo yote'
Sio vizuri mmoja akikosa furaha katika nyumba inatakiwa mfarijiane, mbembelezane, mambo yanaenda!
 
Wanaona wakinuna ndo watafanikiwa malengo yao.Mimi wangu siku 3 hii kanuna halafu na mimi nilivyo mgumu simshtui mzigo wala nini mpaka atakapo acha tabia yake
 
The boss sio wanawake wote wanapenda kununa nuna
Kama kuna jambo nalichukia basi ni watu mnapendana alafu mnanuniana,
Kwa kifupi siwezi kununa hata kwa nusu saa,na nikinuniwa napashida sana kiasi kwamba hata aliyeninunia atanionea huruma na kuacha kununua,
Mie mtu akiniboa huwa napata hasira na kuipotezea kwa mda ule huku nikimtafutia wa saa nimuweke chini na kumpa habari yake nikiwa sina harira na yy akiwa fresh naamin hapo atanielewa vizuri msimamo wangu na tutaenda sawa,
Huwa siwezi kununa kwan napenda kuongea naye hasa wakati wa kulala,
Kwan hakuna mda napenda wote tuwe na furaha km mda wa kuwa kitandan,niko radhi hata anifinye ili hasira yake iishe tukalale kwa aman lol!
 
Wanawake viumbe wa ajabu sana

Bora sisi wanaume tunafunguka hapo hapo, utakuta wife wako ameona hata msg kwenye simu yako leo lakini anakuja kukwambia after one month wakati mnaishi nyumba moja.

Tena anakuja kukustukizia siku ambayo mmetulia mazingira mazuri romantic mood, mziki laini kwenye background na glass tayari zishakuja mezani mzee ushagonga tuxedo mama amependeza na gauni lake refu jeusi na necklace aaah stimu inakatika hapo hapo unamwambia waiter baasi usilete tena hiyo kitu!!!!!!

Mnarudi home kulala mzungu wa nne
 
Kabla sijaolewa kuna familia moja ya rafiki yangu nilikuwa naona wananuniana mpaka inafikia hatua wanaandikiana vi note
Niachie hela ya mboga,sijui naenda wapi hela inawekwa juu ya ki-note baada ya week wanacheka na kusahau yaliyokuwepo nilikuwa nashangaa sana na siamini ni aina gani ya maisha wanayoishi
Lakini nilipoingia kwenye ndoa na mie nikawa na katabia hako akinikosea nanuna hata siku tatu sitaki kusemeshwa mwisho wa siku naanza mwenyewe kuongea
Kwa namna moja ilinisaidia kwani alijua kuna vitu sipendi kufanyiwa kaniuzi na niliona kabisa mwenzangu anabadirika baada ya huo mnuno...
Ila sasa huwa navunja ukimya na kuongea yanayonisibu moyoni nimekomaa kwenye ndoa 😛oa

Mimi huwa nakaa na wife mwezi mzima tunaandikiana SMS humo humo ndani yaani...
 
The boss sio wanawake wote wanapenda kununa nuna
Kama kuna jambo nalichukia basi ni watu mnapendana alafu mnanuniana,
Kwa kifupi siwezi kununa hata kwa nusu saa,na nikinuniwa napashida sana kiasi kwamba hata aliyeninunia atanionea huruma na kuacha kununua,
Mie mtu akiniboa huwa napata hasira na kuipotezea kwa mda ule huku nikimtafutia wa saa nimuweke chini na kumpa habari yake nikiwa sina harira na yy akiwa fresh naamin hapo atanielewa vizuri msimamo wangu na tutaenda sawa,
Huwa siwezi kununa kwan napenda kuongea naye hasa wakati wa kulala,
Kwan hakuna mda napenda wote tuwe na furaha km mda wa kuwa kitandan,niko radhi hata anifinye ili hasira yake iishe tukalale kwa aman lol![/QUOTE]

hapo kwenye red mie nilikuwa nasogea pembeni kabisa ya kitanda sitaki hata kusikia pumzi ,sitaki kuguswa wala sitaki uchokozi wa aina yoyote ..ila sasa siko hivo tena
 
Wanaona wakinuna ndo watafanikiwa malengo yao.Mimi wangu siku 3 hii kanuna halafu na mimi nilivyo mgumu simshtui mzigo wala nini mpaka atakapo acha tabia yake

lol...............
 
HAHAHAA naona badhi yetu ndivyo tulivyoumbwa ,kweli mie hako katabia sikapingi hata kidogo
Loh mwezi mmoja ni mrefu sana mie nitashindwa kabisa kuvumilia

Na mkilala mnaweka mpaka wa pillows kati yenu si unajua mkishazoea kulaliana mara wife anajisahau analeta kichwa kifuani halafu akistuka anajitoa ghafla utafikiri kagusa nini sijui hehehe
 
The boss sio wanawake wote wanapenda kununa nuna
Kama kuna jambo nalichukia basi ni watu mnapendana alafu mnanuniana,
Kwa kifupi siwezi kununa hata kwa nusu saa,na nikinuniwa napashida sana kiasi kwamba hata aliyeninunia atanionea huruma na kuacha kununua,
Mie mtu akiniboa huwa napata hasira na kuipotezea kwa mda ule huku nikimtafutia wa saa nimuweke chini na kumpa habari yake nikiwa sina harira na yy akiwa fresh naamin hapo atanielewa vizuri msimamo wangu na tutaenda sawa,
Huwa siwezi kununa kwan napenda kuongea naye hasa wakati wa kulala,
Kwan hakuna mda napenda wote tuwe na furaha km mda wa kuwa kitandan,niko radhi hata anifinye ili hasira yake iishe tukalale kwa aman lol![/QUOTE]

hapo kwenye red mie nilikuwa nasogea pembeni kabisa ya kitanda sitaki hata kusikia pumzi ,sitaki kuguswa wala sitaki uchokozi wa aina yoyote ..ila sasa siko hivo tena
My dia shukuru mungu umebadilika maana,sio vizuri kulala mmenuniana maana hadi kesho mnaamuka na mamoods ya ajabu!
Mie siwezi kbs coz nina weakness ya kumaintain mnuno,naweza jisahau nikamuongelesha au hata kumkumbatia so its better tuyamalize kabla ya mida hiyo lol!
 
Back
Top Bottom