Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

Hahaha! Moskwito banaa! Eti 'jitu halitaki kubembelezeka'! Sasa wewe unajiaminisha ushabembeleza wakati mwenzio bado hajakolea mabembelezo. Spice things up sugar boy!
Nyie wanaume bana!
On a serious note The Boss, lack of communication ni source ya matatizo yote ya mahusiano! Ila msiombe kukutana na mwanaume anaenuna, aisee! Hadi aibu!

halafu wewe, nimekununia mimi sasa!...
:A S embarassed:

Hahahaha. . . eti jitu.
Mbaya wewe Mbu, ila nadhani Boss atakua amefurahi sasa.

...wakati naandika post hiyo ulikuwa mawazoni mwangu,
imagine ulivyo mwelewa hivyo wa maisha...halafu ati siku unaamua tu kununa
'bila sababu!'...lol...

Alafu unampa doze ya kutosha, hdi akinuna tu siku moja ya pili akikumbuka yale mambo lazima tu ang'aze nyota mwenyewe. Wkati mwingine usiku mkilala jifanye umemgusa kwa bahati mbaya. Wakati mwingine jifanye umelala fofofo alafu unamuota kwa sauti, unamtaja taja. Wakati mwingine inabidi uwe creative kaka.

kumbe wakati mwingine dozi tu ndo dawa yenu eeh?lol
 
Aisee hii hali usiombe ikukute, mimi ilinikuta nikaona nyumba imekuwa ndogo nikaishia kulazwa mzungu wa nne aisee niliumia sana
 
ahhh mkijishebedua sana ni kero lol

How much is sana? Inabidi mpeane sign when u think it is too much!
Nikupe ujanja?
Ukiona amezidisha, jifanye unaumwa kiduchu, uone hali itkavyoreverse; utaanza kudekezwa na kuombwa msamaha hapo, unajua nini unachopaswa kuendelea nacho. LOL
 
Wifi, tena ukikuta wa kule kwenu na ananjijua yeye hendisamu! Kha! Atanuna hata mbele uya ndugu zake na ndugu zako, saa ingine unachekea pembeni yaani! uzuri mie napenda kucheka, so hata nikinuna I make efforts kuhakikisha I'm up and about in the next 30 mins whether with you or without you! Kazi inakuwa kwake,lol!
Hahahaha ahsante kwa dongo wifi. . . ntawafikishia wahusika. Lolz

Ahhh ila inaboa kweli, haipendezi wala haivutii. Alafu kwasababu nasikia siku hizi tabia zinatokana na kabila inabidi unitafutie kaka wa huko kwenu ili nisinuniwe.
 
Unadhani wanamme sio wale wale?
Awe na phd, awe na certificate
wanapenda sana ku-undermine female specie
na kufikiri wao wako right, na wanastahili attension na si vinginevyo.

Alijisemea Suleman 'ni kujilisha upepo' akaamua kutulia.

umeona sasa
wale wale...lol
 
halafu wewe, nimekununia mimi sasa!...
:A S embarassed:

...wakati naandika post hiyo ulikuwa mawazoni mwangu,
imagine ulivyo mwelewa hivyo wa maisha...halafu ati siku unaamua tu kununa
'bila sababu!'...lol...

Loh. . .
Kweli kazi ipo. Nimeshaamua, kwanzia sasa hivi mtu akininunia na mimi nanuna zaidi yake. Wote tunakua majitu. . . Lolz.
 
unarudia kosa 1 miaka nenda rudi then usinuniwe we nan?
mtu mpk kanuna ujue kakwambia kile atak we wafanya ttu so anaona ahhh yanini nimwambie wakat anafanya makusudically?
mi sinuni UKINIUZI NAKWAMBIA LALA APO NIKUTIE ZA CHEMBE THEN HASIRA GONE THEN .....as nimetumia chapter6 ya UN NIKAONA AIFANYI KAZI SO 6 DAWA NAENDA KWENYE CHAPTER 8...NGUVU TU ZITATUMIAKA AS DIPLOMATICALLY THE PBM IMESHINDIKANA....

nOTE;
MTU AWAEZ NUNA BILA SABABU...ni bora ukajichek umemnunisha nini b4 aujasema anapenda kununa....😛hoto:

Nakubaliana nawe Rose, kinachofanya baadhi ya wanawake kununa ni kwasababu wanaume wengine hawana akili ya kuona/kuhisi upande wa pili utajisikiaje pale anapofanya/kusemakitu fulani..... Mi ukiniita mjnga sinuni ila kila kitu kitafanyika kijinga kwako...You do not call me mjinga and expect the best of me as a girlfriend.wife.....na nikiona ukiambiwa unaleta jeuri au kashfa zaidi,sikuambii ila ndo hivyo kama hakuna umuhimu wa kuongea na wewe then nakaa kimya......coz kuna wanaume wengine kuliko usikie neno la kinywa chake bora ukalale kwenye mtaro.....dirty.... ila inabidi tu kwa visababu fulani uwe nae....!
 
mhhhhh
hadi natetemeka hapa na reaction yako hiii lol
 
How much is sana? Inabidi mpeane sign when u think it is too much!
Nikupe ujanja?
Ukiona amezidisha, jifanye unaumwa kiduchu, uone hali itkavyoreverse; utaanza kudekezwa na kuombwa msamaha hapo, unajua nini unachopaswa kuendelea nacho. LOL

kumbe tijifanye wagonjwa
nilisema humu the best husbands fo women are 'actors'...
unaona?
 
...lakini sumtym kununiwa kuna faida zake bana

...utakuta umenuniwa kisha yeye huyo chooni anapiga deki, anasugua tiles sijui vioo, mara kaingia chumbani kapangua kabati lote,....almuradi kujitia mashughuli tu...hahaha...maisha ya ndoa raha sumtym...

...madhali nimeshikilia remote mie naendelea zangu ku flick channels tu....japo masikio yamenisimama nisije nyemelewa na konzi!
 
Unadhani wanamme sio wale wale?
Awe na phd, awe na certificate
wanapenda sana ku-undermine female specie
na kufikiri wao wako right, na wanastahili attension na si vinginevyo.

Alijisemea Suleman 'ni kujilisha upepo' akaamua kutulia.

malizia hiyo hadthi ya Suleiman kwanza...ilikuwaje??????
 
...lakini sumtym kununiwa kuna faida zake bana

...utakuta umenuniwa kisha yeye huyo chooni anapiga deki, anasugua tiles sijui vioo, mara kaingia chumbani kapangua kabati lote,....almuradi kujitia mashughuli tu...hahaha...maisha ya ndoa raha sumtym...

...madhali nimeshikilia remote mie naendelea zangu ku flick channels tu....japo masikio yamenisimama nisije nyemelewa na konzi!

Mbu bora konzi
kuna jicho lingine utasema 'uko mahakamani'
na wengine kanuna lakini anazungumza kwa 'miguno'...
wanaudhi yaani...lol
 
Lol, Moskwito nisamehe bureee kabla hata sijajua kisa manake sina ubavu wa kununiwa na wewe! Mwisho wa siku utanuna alone manake mie naendelea kukuongelesha na kujichekelesha. Leo jua halizami kabla sijanyanyuka hapa magotini nilipo!

halafu wewe, nimekununia mimi sasa!...
:A S embarassed:
 
kumbe wakati mwingine dozi tu ndo dawa yenu eeh?lol

Sina maana hiyo, ila sisi bwana tukikumbushwa mazuri hata kwa vitendo, ni rahisi sana kuzika mabaya yote na kukumbuka yale mazuri. Wepesi kusamehe na kusahau, hasa pale tunapokosewa na mkosaji akakiri kosa kwa kumaanisha and then akaongeza ujuzi kidogo ktk kuduuu, kubembelezaa nakadhaloka
 
Lol! Hata hufai!
Akikujulia siku kabla haja-come forward na mnuno anachomoa tv cable na dvd/theatre cable kabisa. Tuone mjanja nani,lol!

...lakini sumtym kununiwa kuna faida zake bana

...utakuta umenuniwa kisha yeye huyo chooni anapiga deki, anasugua tiles sijui vioo, mara kaingia chumbani kapangua kabati lote,....almuradi kujitia mashughuli tu...hahaha...maisha ya ndoa raha sumtym...

...madhali nimeshikilia remote mie naendelea zangu ku flick channels tu....japo masikio yamenisimama nisije nyemelewa na konzi!
 
Mbu bora konzi
kuna jicho lingine utasema 'uko mahakamani'
na wengine kanuna lakini anazungumza kwa 'miguno'...
wanaudhi yaani...lol

...HA HA HA, piga miluzi siku ipite bana....tumia nyimbo hii kwa mluzi wako;

Last edited by a moderator:
Hahaha, wifi sio dongo bana! Na uzuri siku hizi upofu wa undugu ushatutoka. Kaka yangu nliyekuwekea ndo kimeooo! So full of himself Nyani Ngabu ana nafuu mara elfu! Ila akikuweka ndani at least una wifi muelewa na unaweza kulalamikia frustrations zako. Manake yule nahisi ananuna kuliko mwanamke mjamzito ( sijamtusi, ni kakangu kabisaa from the same mother,lol)

Back
Top Bottom