Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
asante michelle,
mtu anategemea asemeshwe na mjinga
sasa sijui asemeshwe ujinga????
Ili huo ujinga uendelee kumuudhi
akinyamaziwa napo analalamika
pasua kichwa, labda uwe na kidumu haya mambo ndo utayaweza.
mtu anategemea asemeshwe na mjinga
sasa sijui asemeshwe ujinga????
Ili huo ujinga uendelee kumuudhi
akinyamaziwa napo analalamika
pasua kichwa, labda uwe na kidumu haya mambo ndo utayaweza.
Nakubaliana nawe Rose, kinachofanya baadhi ya wanawake kununa ni kwasababu wanaume wengine hawana akili ya kuona/kuhisi upande wa pili utajisikiaje pale anapofanya/kusemakitu fulani..... Mi ukiniita mjnga sinuni ila kila kitu kitafanyika kijinga kwako...You do not call me mjinga and expect the best of me as a girlfriend.wife.....na nikiona ukiambiwa unaleta jeuri au kashfa zaidi,sikuambii ila ndo hivyo kama hakuna umuhimu wa kuongea na wewe then nakaa kimya......coz kuna wanaume wengine kuliko usikie neno la kinywa chake bora ukalale kwenye mtaro.....dirty.... ila inabidi tu kwa visababu fulani uwe nae....!