kwa hiyo ndo unatangaza niko moyoni mwako sio?
sidhani kama huu ujumbe wa kwangu...lol
unawaowahusu wameuona ..lol
sasa bado umenuna au mpaka nikubembeleze hapa hapa?lol
kuna watu ukijifanya kuwabembeleza ndio 'unawapandisha bei'
baada ya mda utakuwa huwamudu ...lol
Hehehe, huamini sasa? Ila unahitaji tuition ya kubembeleza kwa Rose1980 na Lizzy. La sivyo ujue humu moyoni mwangu umebakia miguu tu, magoti to the head ushatolewa nje. Kazi ni kwako!
khaaa! Kitimoto haramu. Nishachoka na maumivu ya mwanao. Ngoja niwapishe hao wanaomfukuzia.
endelea..nataka hasira zako ziishe ndo nianze kukubembeleza....
angalau miguu ipo
itakuwa rahisi kujirudisha tena....lol...
angalau miguu ipo
itakuwa rahisi kujirudisha tena....lol...
Na wanakuona we mbwiga kabisa.
Ukijirudisha king'ast atakushikia huo mtutu wake.si unajua yeye ndo mwanamke wa kwanza jf kushika mashine?
No son of mine is a heartbreaker baby gal! Manake nimemlea kwa upendo, na hajui kuumiza. Mwanangu anajua kubembeleza kama baba yake,lol!Hebu mje home leo kwa dinner tuyamalize,lol! Ntapata wapi mkwe wa kumuazima kope mie?! Ngoja nipike mwenyeewe.
haya njoo ndani basi ili yaishe vizuri...lol
last born wako ni heart breaker. Ngoja nije tutayaongea huko.
ishu sio kujishusha
ishu mtu kanuna hujui kanuna kwa nini
na hataki kuzungumza
na huyo mtu sio mtoto mdogo
Sasa hapa you are breaking my heart mkwe! I'm sure tutayamaliza. Inabidi na baba mkwe awepo sasa, atubembeleze mie na wewe kwa pamoja manake NANUNA! Hata sipiki tena,lol