Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Kwa experience yangu,wanawake huwa ni wagumu kuomba msamaha
mi najua wanawake ni wanyenyekevu na wapesi kuomba msamaha hata kwa makosa ambayo sio yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa experience yangu,wanawake huwa ni wagumu kuomba msamaha
Lizzy,mi nalog off,ngoja niende kaunta nikaangalie gemu la manU vs Aseno,nitakumiss lakini,bye for now,mmmmmmwwwwwwaaaaaaa!!!!!
Ukiona nvyo, anza wewe kuvunja ukimya, zungumza nae muulize kulikoni. Utakapomkalia kooni kumuuliza uliza kila saa atafungukatu.
Km ni jambo serious lijadilini, km ni la kijinga basi jifanye mjinga mbusu, mwambie samahani, then maisha yanaendelea.
Upande wangu mm kweli huwa nakasirikaga kabisa, lakini siwezi kunyamaza hata kidogo, nilakueleza, nitakununia,then nitakkaa mbali nawe hadi hasira zangu ziishe. Ila siwezi kukununia bila kukupa live kolichonifanya ninune.
Kwani Boss, wifi kakaununia? Pole mwaya kama ndivyo.
kuna watu ukijifanya kuwabembeleza ndio 'unawapandisha bei'
baada ya mda utakuwa huwamudu ...lol
mi najua wanawake ni wanyenyekevu na wapesi kuomba msamaha hata kwa makosa ambayo sio yao.
najua umeninunia
na hii thread ya kwako...
so far ushauri wa TUKO na NDUU/MANYA ndo nimeupenda lol
Mkwe lazma umekula pilau leo, umejibu kwa busara haswaa. Wanawake majority ni wanyenyekevu, ila ukimuanza anamalizia na unaisoma namba,lol
Kumbe mwenzetu wanuniwa vyote basi pole yako.wewe ukinuna inakuwaga mdomoni peke yake?
hehehehehe! Mkwe ungejua nimepga pasi ndefu hata usingesema. Hapa napiga mihayo. Halafu son wako nishamnunia, akija mwambie tusijuane.
na nikikuona ndo tusilaumiane kabisaa lol
Utakuja na thread ingine sasa hivi! Lol!
Mie nikimnunia mtu ujue yuko moyoni mwangu, kama hayuko moyoni hata aende haja kubwa mbele yangu, nasogea hatua moja mbele yake naendelea kula muhindi wangu wa kuchoma,lol
kuna watu ukijifanya kuwabembeleza ndio 'unawapandisha bei'
baada ya mda utakuwa huwamudu ...lol
Lol! Hebu njoo nikuchinjie mbuzi kwanza supu ikuchangamshe, ama unataka kitimoto?
Na hujui wadada wangapi humu jf wanamfukuzia mwanangu, ukisema suuuu imekula kwako! Kiti cha basi hicho, badala ya kufunga seat belt unashuka shuka kununua mayai ya kuchemsha?
s
asa atakuomba vipi msamaha na wewe umenuna na hutaki kusema
tatizo ni nini?
Sasa wewe unataka kila siku uambiwe the same thing? Seriously, mwanamke akikununia ujue bado anajali. Hujawahi ona wanandoa mume anarudi after 2 days na haulizwi, hagombwi wala nini? Na anapewa maji ya kuoga, moyoni mwenziwe anasema ' huyu kenge karudi ananiharibia ratiba zangu'! Kalaghabaho!