Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ni Dettol maarufu sana dunia nzima na ina miaka 90Em weka picha ya hiyo detol hapa, watu waone wajue ni ipii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Dettol maarufu sana dunia nzima na ina miaka 90Em weka picha ya hiyo detol hapa, watu waone wajue ni ipii.
mkuu kama unapicha ya hiyo dawa scaboma naomba uitumeNi Dettol maarufu sana dunia nzima na ina miaka 90 View attachment 3042657
Hiyo hapo ya lotion nafikiri ni ya India Ila utaipata maduka ya madawamkuu kama unapicha ya hiyo dawa scaboma naomba uitume
ubarikiweHiyo hapo ya lotion nafikiri ni ya India Ila utaipata maduka ya madawaView attachment 3066705
Ni nzuri mno imenisaidia sana na ilichangia kiasi kikubwa kuona manadiliko ya haraka kwangu na wanangu tumepona kabisa
pole sana....huu ugonjwa kama hauna uhusiano na herpes(kama nimekosea wataalamu watarekebisha) dawa yake ya kuacha kuwasha ni detol(sio sabuni detol ya maji)
ukimaliza kuoga weka maji lita 10 halafu weka kifuniko kimoja(usizidishe kifuniko kimoja utachubuka)
kila unapooga fanya hivo
mimi kwa siku naoga mara 2,asbh na jioni so nilitumia kwa siku3 tu sijawashwa tangu mwezi wa 6 hadi leo tar 13/07/2024
pole sana najua unapitia kipindi kigumu
Elf 9 tu zinapatikana pharmacyinaondoa uwasho? bei yake inatembeaje? inapatukanwa kwenye ma pharmacy?
🌳 MCHAFUKO WA DAMU 🌳Habari,
Yapata mwezi sasa nimekuwa nikikumbwa na tatizo la kuwashwa mwili kama nimemwagiwa upupu, hasa mida ya saa tatu usiku ambapo mambo yanakuwa mabaya zaidi na najikuna vibaya mno. Mwanzo, mtoto wangu mmoja alianza na hali hii, kisha ikaenea kwa watoto wote. Walipokuwa wanashindwa kulala sababu ya kujikuna, sikuwa naelewa kama walikuwa wanapitia kipindi kigumu kiasi hiki.
Baada ya kupewa tiba ya siku 14, watoto walipona, lakini mmoja ameanza tena kupata vipele vibaya mikononi na miguuni. Nachanganyikiwa kuelewa ni ugonjwa gani huu. Na si sisi tu, inaonekana kama umeenea kimya kimya. Leo nikiwa kwenye duka la dawa, nilikutana na mtu mwingine aliyekuwa akiomba dawa itakayomsaidia yeye na familia yake, ambao pia wanapitia hali kama yangu. Pia, dada yangu ambaye yupo Shinyanga naye analalamika hivyo hivyo kuwa wamepatwa na ugonjwa huu wa kuwashwa mwili.
Wakuu, kuna yeyote anayepitia changamoto kama hii? Mimi nipo Ruvuma na si msimu wa joto. Cha ajabu ni kuwa hata walio katika hali ya hewa ya joto wanalalamika kama mimi. Hii ni nini? Wataalam wa mambo wanasema ni maambukizi ya fungus kwenye damu, ingawa sijui kama nilisikia vizuri au nilikuwa busy na gitaa.
MSAADA HATA WA MAWAZO UTASAIDIA. Nilipewa Ethromaisini lakini bado nakesha nikijikuna. Mpaka sasa nimejaribu dozi kadhaa bila mafanikio, kuna unafuu kidogo lakini tatizo linarejea palepale.
Habari mkuu. Pole! Ukitumia dawa gani ambayo ilikusaidia?Nilikula kitimoto mkoa fulani
Niliumwa huo ugonjwa
NIliwashwa kama chizi
Dawa nilochomwa sindano
Muwasho ukakata hapo hapo
Mapele in 3 days yaliisha.....
Hao ni parasites kuna chakula hakiko sawa au hakipikwi vizuri
Poleni Sana. Mlitumia dawa gani mkuuq
Na tuanateseka haswa aliyepona alitumia dose 2 weeks saivi kapona kabisa allikuwa na mpaka vidonda vya mapele..tushaanza dose tunasubir matokeo
Hongera mkuu. Dawa gani ulitumia imekusaidia?Wakubwa ee nisiwe kama wale wakoma kumi ,natoa shukrani za kabisa kwenu hatimae nimepona kabisa siku ya nne leo hakuna harara wala kuwashwa tena mwili ..Mungu awabariki wote mlioonesha nia ya dhati kunisaidia mawazo dawa gani nitumie asanteni sana...
Habari, nilichomwa sindano hata sijui jina mkuuHabari mkuu. Pole! Ukitumia dawa gani ambayo ilikusaidia?
Yamekukuta mkuu?Poleni Sana. Mlitumia dawa gani mkuu
Nenda duka la madawa watakupa dawa ya tube ya kupaka (lotion jina nimesahau ila niliipata hapa hap JF)vidonge vya kumeza kimoja buku vilinisaidia sanaYamekukuta mkuu?