Ugonjwa wa Kuwashwa Mwili Umeenea: Naomba Msaada Wenu

Ugonjwa wa Kuwashwa Mwili Umeenea: Naomba Msaada Wenu

Em weka picha ya hiyo detol hapa, watu waone wajue ni ipii.
Ni Dettol maarufu sana dunia nzima na ina miaka 90
Screenshot_20240715_062730_Google~2.png
 
Ni nzuri mno imenisaidia sana na ilichangia kiasi kikubwa kuona manadiliko ya haraka kwangu na wanangu tumepona kabisa

inaondoa uwasho? bei yake inatembeaje? inapatukanwa kwenye ma pharmacy?
 
pole sana....huu ugonjwa kama hauna uhusiano na herpes(kama nimekosea wataalamu watarekebisha) dawa yake ya kuacha kuwasha ni detol(sio sabuni detol ya maji)
ukimaliza kuoga weka maji lita 10 halafu weka kifuniko kimoja(usizidishe kifuniko kimoja utachubuka)
kila unapooga fanya hivo
mimi kwa siku naoga mara 2,asbh na jioni so nilitumia kwa siku3 tu sijawashwa tangu mwezi wa 6 hadi leo tar 13/07/2024
pole sana najua unapitia kipindi kigumu

Mkuu sjakuelewa, ni kuwa uweke kifuniko kimoja kwenye maji lita 10 halafu uogee ama?
 
🌳 MCHAFUKO WA DAMU 🌳

⚡Mchafuko wa damu ni tatizo nyeti sana na husababishwa na uwepo wa vijidudu (microorganisms) vya magonjwa kwenye damu.

SABABU ZA MCHAFUKO WA DAMU
⚡Mchafuko wa damu husababishwa na septicemia bacteremia au toxemia.
⚡Septicemia ni maambukizi ya vijidudu (microorganisms) vya magonjwa kwenye damu ambao husababisha magonjwa mbalimbali.
⚡Bacteremia ni maambukizi au uwepo wa bakteria wanaosababisha magonjwa kwenye damu. Septicemia na Bacteremia ni maambukizi mawili tofauti,
Toxemia ni madhara ya sumu inayozalishwa na bacteria waliopo kwenye damu wanaweza kua sehemu yoyote ya mwili lakini sumu zao hutolewa ndani ya damu.
⚡Septicemia, toxemia na bacteremia kwa pamoja huweza kusababisha mchafuko wa damu au blood infection. Septicemia inaweza kusababisha maambukizi ya mfumo wa lymphatic ambapo maambukizi huonekana kama mifereji au michirizi myekundu chini ya ngozi, hali inayojulikana kama lymphangitis.
Lymphocytes, hususan katika nodes, hufanya kuzuia maambukizo kwenye lymphatic na lymph nodes.
wa.me/255656303019

DALILI ZA DAMU KUCHAFUKA:
👉Homa kali (zaidi ya 38 ° C, 99 ° F)
👉Mwili kuwasha
👉Kichefuchefu, kutapika
👉Kuhara
👉Kujiskia/kujihisi vibaya
👉Mabadiliko katika hali ya akili kama vile kuchanganyikiwa
👉Shinikizo la damu la chini sana kutokana na kupanua mishipa ya damu.
👉Kupungua kwa joto la mwili
👉kupunguzua au kutokuwepo kwa pato la mkojo
👉kupumua kwa kasi
👉Damu kupungua.
👉Petechiae, ishara ya bacteremia. Petechiae ni vidonda vinavyotokea chini ya ngozi, vinaweza kuwa vidogo na vinavyoenea au vinaweza kuunganika kuunda vidonda vikubwa, vidonda vyenye seli zilizokufa.
👉Maumivu ya mifupa

BACTERIA WANAOSABABISHA MCHAFUKO WA DAMU

Bacteria au kirusi chochote huweza kusababisha mchafuko wa damu. Fangasi pia huweza kusababisha pia..
Lakini bacteria aina ya Streptococcus ni aina ya bacteria ambao husababisha mchafuko wa damu mara kwa mara..
Bakteria ya Gram-hasi, hutoa sumu inayoitwa endotoxini, ambayo imeundwa kwa lipids na Sehemu ya lipopolysaccharide (LPS) kutoka kwenye safu ya nje ya membrane ya nje ya Gram-negative, ndani ya damu.

LPS ni aina kali ya toxemia yenye mshtuko wa septic ni shinikizo la mshtuko wa shinikizo la streptococcal (TSLS), ambapo shinikizo la damu la mgonjwa hupungua kwa kasi na mgonjwa anaweza kuteseka na kizunguzungu, kuchanganyikiwa, shida ya kupumua, na kupunguzwa kwa kasi na haraka. Ini na figo zinaweza kushindwa.

kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali wasiliana nasi
what's app /call
+255656303019
CHIEF SANG'IDA
 
Habari,

Yapata mwezi sasa nimekuwa nikikumbwa na tatizo la kuwashwa mwili kama nimemwagiwa upupu, hasa mida ya saa tatu usiku ambapo mambo yanakuwa mabaya zaidi na najikuna vibaya mno. Mwanzo, mtoto wangu mmoja alianza na hali hii, kisha ikaenea kwa watoto wote. Walipokuwa wanashindwa kulala sababu ya kujikuna, sikuwa naelewa kama walikuwa wanapitia kipindi kigumu kiasi hiki.

Baada ya kupewa tiba ya siku 14, watoto walipona, lakini mmoja ameanza tena kupata vipele vibaya mikononi na miguuni. Nachanganyikiwa kuelewa ni ugonjwa gani huu. Na si sisi tu, inaonekana kama umeenea kimya kimya. Leo nikiwa kwenye duka la dawa, nilikutana na mtu mwingine aliyekuwa akiomba dawa itakayomsaidia yeye na familia yake, ambao pia wanapitia hali kama yangu. Pia, dada yangu ambaye yupo Shinyanga naye analalamika hivyo hivyo kuwa wamepatwa na ugonjwa huu wa kuwashwa mwili.

Wakuu, kuna yeyote anayepitia changamoto kama hii? Mimi nipo Ruvuma na si msimu wa joto. Cha ajabu ni kuwa hata walio katika hali ya hewa ya joto wanalalamika kama mimi. Hii ni nini? Wataalam wa mambo wanasema ni maambukizi ya fungus kwenye damu, ingawa sijui kama nilisikia vizuri au nilikuwa busy na gitaa.

MSAADA HATA WA MAWAZO UTASAIDIA. Nilipewa Ethromaisini lakini bado nakesha nikijikuna. Mpaka sasa nimejaribu dozi kadhaa bila mafanikio, kuna unafuu kidogo lakini tatizo linarejea palepale.
🌳 MCHAFUKO WA DAMU 🌳

⚡Mchafuko wa damu ni tatizo nyeti sana na husababishwa na uwepo wa vijidudu (microorganisms) vya magonjwa kwenye damu.

SABABU ZA MCHAFUKO WA DAMU
⚡Mchafuko wa damu husababishwa na septicemia bacteremia au toxemia.
⚡Septicemia ni maambukizi ya vijidudu (microorganisms) vya magonjwa kwenye damu ambao husababisha magonjwa mbalimbali.
⚡Bacteremia ni maambukizi au uwepo wa bakteria wanaosababisha magonjwa kwenye damu. Septicemia na Bacteremia ni maambukizi mawili tofauti,
Toxemia ni madhara ya sumu inayozalishwa na bacteria waliopo kwenye damu wanaweza kua sehemu yoyote ya mwili lakini sumu zao hutolewa ndani ya damu.
⚡Septicemia, toxemia na bacteremia kwa pamoja huweza kusababisha mchafuko wa damu au blood infection. Septicemia inaweza kusababisha maambukizi ya mfumo wa lymphatic ambapo maambukizi huonekana kama mifereji au michirizi myekundu chini ya ngozi, hali inayojulikana kama lymphangitis.
Lymphocytes, hususan katika nodes, hufanya kuzuia maambukizo kwenye lymphatic na lymph nodes.
wa.me/255656303019

DALILI ZA DAMU KUCHAFUKA:
👉Homa kali (zaidi ya 38 ° C, 99 ° F)
👉Mwili kuwasha
👉Kichefuchefu, kutapika
👉Kuhara
👉Kujiskia/kujihisi vibaya
👉Mabadiliko katika hali ya akili kama vile kuchanganyikiwa
👉Shinikizo la damu la chini sana kutokana na kupanua mishipa ya damu.
👉Kupungua kwa joto la mwili
👉kupunguzua au kutokuwepo kwa pato la mkojo
👉kupumua kwa kasi
👉Damu kupungua.
👉Petechiae, ishara ya bacteremia. Petechiae ni vidonda vinavyotokea chini ya ngozi, vinaweza kuwa vidogo na vinavyoenea au vinaweza kuunganika kuunda vidonda vikubwa, vidonda vyenye seli zilizokufa.
👉Maumivu ya mifupa

BACTERIA WANAOSABABISHA MCHAFUKO WA DAMU

Bacteria au kirusi chochote huweza kusababisha mchafuko wa damu. Fangasi pia huweza kusababisha pia..
Lakini bacteria aina ya Streptococcus ni aina ya bacteria ambao husababisha mchafuko wa damu mara kwa mara..
Bakteria ya Gram-hasi, hutoa sumu inayoitwa endotoxini, ambayo imeundwa kwa lipids na Sehemu ya lipopolysaccharide (LPS) kutoka kwenye safu ya nje ya membrane ya nje ya Gram-negative, ndani ya damu.

LPS ni aina kali ya toxemia yenye mshtuko wa septic ni shinikizo la mshtuko wa shinikizo la streptococcal (TSLS), ambapo shinikizo la damu la mgonjwa hupungua kwa kasi na mgonjwa anaweza kuteseka na kizunguzungu, kuchanganyikiwa, shida ya kupumua, na kupunguzwa kwa kasi na haraka. Ini na figo zinaweza kushindwa.

kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali wasiliana nasi
what's app /call
+255656303019
CHIEF SANG'IDA
 
Nilikula kitimoto mkoa fulani
Niliumwa huo ugonjwa
NIliwashwa kama chizi
Dawa nilochomwa sindano
Muwasho ukakata hapo hapo
Mapele in 3 days yaliisha.....

Hao ni parasites kuna chakula hakiko sawa au hakipikwi vizuri
Habari mkuu. Pole! Ukitumia dawa gani ambayo ilikusaidia?
 
q

Na tuanateseka haswa aliyepona alitumia dose 2 weeks saivi kapona kabisa allikuwa na mpaka vidonda vya mapele..tushaanza dose tunasubir matokeo
Poleni Sana. Mlitumia dawa gani mkuu
 
Wakubwa ee nisiwe kama wale wakoma kumi ,natoa shukrani za kabisa kwenu hatimae nimepona kabisa siku ya nne leo hakuna harara wala kuwashwa tena mwili ..Mungu awabariki wote mlioonesha nia ya dhati kunisaidia mawazo dawa gani nitumie asanteni sana...
Hongera mkuu. Dawa gani ulitumia imekusaidia?
 
Nilopigwa mawe hapa nilipoomba ushauri dawa gani nitumie kwamba nitafute hela umaskini unanisumbua wenye pesa hawawashwi wala hawaumwi mapele.... Nyieee kumbe lilikuwa suala la muda kila mmoja litamkuta kwa wakati wake ..poleni wahanga mziki wake sio poa suiombe
 
Back
Top Bottom