KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
ulijaribu kutumia mbegu za maboga..??Mimi pia mtoto wangu wa mwisjo alipitua hii changamoto nashukuru Mungu tulivuka salama kwenye hili.
Nachoona ni mtoto kukosa maziwa kwa wakati mimi huwa nakaa mpaks siku 2 ndo maziwa yanatoka. Waruhusu maziwa mbadala kwa wale wenye changamoto ya kukosa maziwa mara baada ya kujifungua